Mmeharibu sana mandhari ya eneo lenu kila mahali majengo na magofu hata parking, sehemu za garden, sehemu za kukimbilia dharura kama moto ukitokea hakuna?
Aisee! Hivi mule kwenye jengo la kanisa waumini wanapata hewa ya kutosha kweli wakati wa ibada? Maana kanisa pande zote limezibwa na majengo...