ujao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ukitaka kujua Serikalini hakuna mwenye akili angalia Press ya Msigwa muda mchache ujao

    Waswahili waliposema ukivuliwa nguo chutama hawakuwa wamekosea kabisa. Muda mchache ujao Msemaji wa Serikali anaenda kuongea na Waandishi. tena baada ya CNN kutoa habari ya kutisha kuhusu mauaji yaliyofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama wakati na baada ya Uchaguzi wa mwaka huu. Tuhuma...
  2. Japo kwenye uchaguzi ujao CCM inapambana na CCM B, itakuwaje kama Samia atabwagwa?

    Japo hii ni hypothesis, mambo hubadilika na visivyotegemewa hutokea. Hivi itakuwaje kama Samia atabwagwa na vibaraka wake aliowaweka ili kuhalallsha uchafuzi wa demokrasia uitwao uchaguzi?
  3. Cadillac kuingia Formula 1 GP kuanzia msimu ujao wa 2026. Kwa kuanza, watatumia engine za Ferrari.

    Wazee, kuna hii habari nzuri kwa wapenzi wa Formula 1. Tumezoea kuona team 10 kwenye F1 Grand Prix, ila kuanzia mwakani 2026 zitakua 11 ikiongezeka ya Cadillac, ilio chini ya General Motors (GM), Ila watatumia power unit na gearbox kutoka kwa Ferrari. Habari nzuri haijaishia hapa, ila ni...
  4. Jezi za Young Africans kwaajili ya msimu ujao wa 2025-26.

    π‡πŽπŒπ„ πŠπˆπ“ πŸπŸŽπŸπŸ“/πŸπŸ”. πŸ”° π€π–π€π˜ πŠπˆπ“ πŸπŸŽπŸπŸ“/πŸπŸ” πŸ”° π“π‡πˆπ‘πƒ πŠπˆπ“ πŸπŸŽπŸπŸ“/πŸπŸ” πŸ”° πŒπ“πŽπŠπŽ 𝐖𝐀 πŠπˆπŒπ€π“π€πˆπ…π€ π”πŒπ„π…πˆπŠπ€ 🀩Sogea hapa Makao Makuu ya klabu yetu Jangwani upate mtoko wako MwananchiπŸ”°.#timuyawananchi #daimambelenyumamwiko Kwa elfu 45 tu mwananchi πŸ’šπŸ’›
  5. Timu ya wananchi Yanga rasmi imetambulisha jezi zao za msimu ujao 2025-2026

    Unazipa asilimia ngapi jezi za wananchi?
  6. CHADEMA, mkakati wa kisheria na kisiasa kwa ajili ya uchaguzi ujao 2025

    Kwa kuzingatia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (kama ilivyorekebishwa), haki za kisiasa na za kijamii zimewekwa wazi, ikiwa ni pamoja na uhuru wa vyama vya siasa kushiriki katika shughuli za kisiasa kwa mujibu wa Ibara ya 20(1) inayosema: β€œKila mtu anao uhuru wa kuungana...
  7. Wapiga kura tusichague wacheza kamari uchaguzi ujao, watoto wetu wanaathirika

    Kamari zimetapakaa hadi kwenye vitongoji vya vijijini kila mahali penye umeme nchini. Redio zote kuanzia za umma na watu binafsi zote ni kamari tu. Kijijini nimeshuhudia kijana kauawa kwenye dubwi kwa kugombea TSH 4000 tu wakati wakibishana juu ya nani amekula, ni za nani. Wanafunzi wanabet...
  8. Huyu hapa mbeba maono wa Simba SC kuelekea msimu ujao 2025/26

    Wakuu, Ngungu kama ngungu, maono ya simba sc yamebebwa na huyu mwamba, ukimuangalia tu kwa jicho la kawaida unaona kabisa ni tapeli pamoja na jopo lake lote. Nadiriki kusema, kama huyu mwamba pamoja na jopo lake hawatong’atuka simba sc, ni vilio tena. Kwanza wapinzani wao wanawamudu. Kugungwa...
  9. Kuelekea msimu ujao wanasiasa mkae mbali na mpira wa Tanzania: Yanga ni wanufaika wakubwa na upepo huu wa siasa

    A matter above is concerned, Msimu huu wa NBC premier league umekuwa wa kituko Sana hasa referees wa league yetu ni shida. Moja ya matukio ya ajabu ni offside na watu kufunga hadi na mikono na wanufaika wakubwa ni Yanga na Simba. Msimu umeisha Yanga ilijipangia nani awe referee wa mchezo...
  10. GENTAMYCINE nikiulizwa nataka Simba SC iachane na Wachezaji wangapi ili ya Msimu ujao iwe Tishio nitasema wakubakia wawe 3 tu ila wengine wafukuzwe

    Camara, Mukwala na Mpanzu kwa Wageni wabaki na kwa Wenyeji abakie tu Kagoma, Tshabalala ila wengine Watemwe.
  11. Kama uchaguzi ujao ungekuwa halali bifu za Samia na wenzake zingesaidia au kuiumiza CCM?

    Tangu aingie madarakani, rais Samia Suluhu Hassan amekuwa na bifu na baadhi ya wanachama wenzake. Alianza na Job Ndugai spika wa zamani wa bunge letu. Baadaye, akafuatia Dk Bashiru Ally akiwakilisha kile kilichokuja kujulikana kama Sukuma gang. Juzi alianza bifu na Josephat Gwajima kidhabu...
  12. Yanga yaungana na Tabora United kupendekeza Wallace Karia kugombea bila mpinzani katika uchaguzi ujao wa TFF

    -------------------------------------------- --------------------------------------------
  13. C

    Msimu ujao TFF idhibiti vikali mechi za mipango katika ligi yetu

    Malalamiko ya mashabiki wa yanga ni mengi sana kwa sababu mipango yao ya kuwa mabingwa wanaona inakuwa migumu licha ya kuwekeza sana kwenye timu pinzani na kufikia kutengeneza baadhi ya timu za kuipa pointi kama ilivyo kwa Singida big stars. Malalamiko yamekuwa dhidi ya waamuzi hususan...
  14. Uchaguzi ujao hauna maana kwa haya ninayoyaona mitaani

    Huku mitaani kuna viongozi wa CCM wanatembea na mafungu ya vitambulisho vipya vya wapiga kura, vitambulisho hivi ni vinavyotengenezwa kinyume na utaratibu na siyo kutengenezewa, hapa mamlaka husika na vitambulisho zinahusika.
  15. N

    CHADEMA kuelekeza wafuasi wao kuwapigia CCM kura Uchaguzi ujao!

    Mkakati unaendelea kupangwa hivyo kwa maana kuwa CHADEMA wanaona ni bora CCM waibuke na ushindi wa zaidi ya 95% ili kujustify hoja yao ya CCM kujipachika uongozini. Hili litazidisha vuguvugu kuonesha kuwa Uchaguzi haukuwa wa huru na wa haki hata kama Tume na Wasimamizi wa Uchaguzi wataamua...
  16. Mpaka sasa Simba ndiyo timu pekee iliyo na uhakika wa kucheza Klabu Bingwa ya CAF msimu ujao

    Tuweke mengine yote pembeni tuangalie namba zinasemaje. Baada ya ushindi mnono wa leo wa Simba dhidi ya Pamba, ni rasmi sasa Simba imejihakikishia tiketi ya kucheza mashindano ya CAF ya Klabu Bingwa msimu ujao. Timu ambazo bado zinawania tiketi ya pili ya kucheza mashindano hayo ni Azam...
  17. PreGE2025 Kesi ya Lissu inapigia promo uchaguzi wetu ujao kufuatiliwa kimataifa na kutegewa sikio na inamsogeza Lissu karibu na Ikulu

    Kama ukifuatilia siasa zilivyoenda kwa trump hadi kushinda uraisi ni pamoja na kesi zilizokuwa ziki mkikabili kumpush hadi ikulu na kufanya uchaguzi ule kufuatiliwa zaidi duniani. Tukiangalia kesi ye lissu iliyotokana na kuhamasisha kwake mageuzi ya kiuchaguzi na kufunguliwa mashtaka ya uhaini...
  18. Yanga wanatumia janja ya kususia derby ili msimu ujao washiriki Kombe la Shirikisho la CAF

    Wenye mamlaka za soka Tanzania inabidi watulie na wawasome hawa Yanga na nini hasa wanataka kufanya wanaposema wanasusia derby. Yanga wameshapiga mahesabu kuwa hawawezi kushushwa daraja hata wafanye makosa gani hata yale ambayo adhabu yake ni kushushwa daraja. Pia wanajua CAFCL ni mashindano...
  19. Kwa hii timu, Man Utd tunaingia top 4 msimu ujao

  20. Maswali magumu kwa rais Samia kuhusu uchaguzi ujao

    Mheshimiwa Rais Daktari, mbemba maono, kipenzi cha Watanzania Samia Suluhu Hassan, Naomba unijibu maswali haya kuhusiana na msimamo wako juu ya uchaguzi ujajo uliosema utakuwa wa amani. Amani vipi bila maridhiano ya namna ya kuufanya? Amani vipi wakati polisi wanatumika vibaya na kinyume cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…