uhuru wa dini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    M/Kiti Kamati ya Kimataifa ya Uhuru wa Dini Ameeleza Kuwa Samia Amekuwa Akiua Uhuru wa Dini, Ikiwa ni Pamoja na Kuteka na Kushambulia Viongozi wa Dini

    Mwenyekiti wa kamati ndogo ya ulinzi wa uhuru wa dini wa Bunge la Marekani, bwana Chris Smith, wakati akifungua kikao cha mwaka, ameeleza kuwa Tanzania imerudi nyuma kwenye ulinzi wa uhuru wa dini. Ameeleza kuwa mapadre kadhaa wa Kanisa Katoliki, akiwemo katibu wa TEC Fr Kitima, ama walitekwa...
  2. Mkalukungone Mwamba

    Ojambi Masaburi: Rais Samia ni Kinara wa haki za Binadamu, uhuru wa dini, uhuru wa vyombo vya habari

    Hivi huyu kichwa chake kipo sawa kweli? Anaongea maneno ambayo hata nafasi yake inamsuta na kumutkana. Yalitokea Oktoba 29 na 30 ndio maana ya haki za binadamu? Kuna familia hadi leo hawajui ndugu zao wapo wapi ============ Rais Samia ni Kinara wa haki za Binadamu, uhuru wa dini, uhuru wa...
  3. Oppo A17k

    Mafundisho ya Uislamu kuhusu uhuru wa dini

    Uislamu unasisitiza uhuru wa dini na haki ya kila mtu kuchagua dini yake bila kulazimishwa. Hii inathibitishwa katika aya maarufu ya Qur'ani: - Qur'ani 2:256 (Surat Al-Baqarah): Aya hii inaonyesha kuwa Uislamu unaheshimu haki ya mtu binafsi kuchagua dini yake, na hakuna mtu anapaswa...
  4. W

    Messi alikataa kucheza uarabuni kwa shilingi Trilioni 4 kwa mwaka sababu ya sheria kandamizi za dola ya kiislamu zinanyanyasa na kubagua wakristo

    Ni mchezaji mkimya na mtulivu sana lakini ana balaa uwanjani, mchezaji pekee ambae ana uwezo wa kupiga chenga mpaka wachezaji 6 na kipa, n.k. Mwaka 2023 waarabu walikuwa tayari kumlipa Euro bilioni 1.4 kwa mwaka sawa na Shilingi za kitanzania Trilioni 4 na bilioni 30 lakini aliwapiga chini...
Back
Top Bottom