Wakuu,
Baada ya Tuzo za Kalamu ya Samia Mhariri wa Gazeti la Daily News alirusha jiwe angani, akasema, wenye D mbili na hata wale wenye F wameelewa. Maana kilichofanyika pale ni kuzika uhuru wa vyombo habari, kuwazuia vidomo domo kwenye kuchimba na kuwapiga mkwara, tumewapa hela hizi sasa ole...
Baadhi ya wageni
Msanii Vitalisi Maembe akitoa burudani
Leo Aprili 28, 2025 ni siku ya pili ya Maadhimisho ya Siku ya Vyombo vya Habari Duniani (World Press Freedom Day 2025) ambapo shughuli zinafanyika kwenye Hoteli ya Gran Melia - Arusha, ambapo maadhimisho hayo yatarajiwa kufanyika kwa kwa...
Picha zikionesha matukio tofauti ya Washiriki mbalimbali wa mbio (Fun Run) za Kilometa Tano zilizofanyika leo Aprili 27, 2025 ikiwa ni kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari ambayo yanafanyika kwa siku tatu Jijini Arusha
Mbio hizo zilizoshirikisha Wadau mbalimbali...
Kadiri Teknolojia ya Akili Mnemba (AI) inavyoendelea kukua kwa kasi katika maisha yetu ya kila siku, sekta ya Habari nayo haijaachwa nyuma. AI inabadilisha namna tunavyokusanya, kuchakata na kusambaza taarifa. Lakini je, inaathiri vipi Uhuru wa kujieleza? Inasaidia au inahatarisha Uadilifu wa...
Wakuu,
Msigwa kaamua kuchagua vayolensi na kusema Mwananchi imefanya uchochezi kwa kusema barabara 4 Dar zimefungwa kwa muda sababu ya mgogoro wa DRC na M23.
Pia soma: Pre GE2025 - Hali ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Kuna uhuru wa kutosha katika utekelezaji wa majukumu yao...
barabara kufungwa dar
freedom of expression
freedom of media
gazeti la mwananchi
gerson msigwa
kuelekea 2025
mgogoro drc m23
mkutano sadc eac
uhuruvyombohabariuhuru wa kujieleza
uhuru wa magazeti
Wakuu,
Kama mnavyojua tumetoka kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na sasa tunauchungulia Uchaguzi Mkuu pale Oktoba 2025. Tumeshuhudia karibia na uchaguzi wa serikali hali ya media ilivyokuwa, Mwananchi walishika 'sharubu' wakapumzishwa kwa mwezi wale urojo kidogo, jambo nao walikuwa...
Waandishi wa Habari Wawili wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) na mmoja wa EATV wamekamatwa na Jeshi la Polisi walipokuwa wakiripoti katika #Maandamano ya Amani yaliyoitishwa na CHADEMA.
Waandishi wa MCL waliokamatwa ni Michael Matemanga aliyekamatiwa Msimbazi na Lawrence Mnubi...
Akizungumza mbele ya Media Council of Tanzania, waziri mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba
Ninatazama bunge la Dodoma, imekuwa fasheni kila mbunge kuanza mchango wake wa hoja kwa kutaja na kumsifia rais.
Vyombo vya habari kwa nyakati ya sasa hivi badala ya kutoa habari vimegeuka kuwa...
jaji warioba
joseph warioba
press freedom
uhuruvyombohabariuhuruvyombo vya habariuhuru wa maoni
uhuru wa vyombo vya habari
waandishi na uchawa
waandishi wa habari chawa
Wakuu mpo salama? Twende moja kwa moja kwenye mada.
Wakuu, haya mabango mawili ni shughuli mbili tofauti ambapo serikali ilialikwa na wadau kushiriki kwenye shughulii hizi.
Hii ya kwanza ilikuwa ni Siku ya Uhuru wa Vyombo wa Habari Duniani na ya pili ilikuwa ni kuadhmisha Siku ya Kimataifa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.