Nilifanya maombi yangu mwezi Februari 2026 na nikalipia gharama zote zinazohitajika kwa mujibu wa taratibu. Baada ya kusubiri kwa muda mrefu bila kupata mrejesho, nilipofika kufuatilia niliambiwa kuwa maombi yangu hayaonekani kwenye mfumo.
Jambo lililonishangaza zaidi ni kwamba niliambiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.