Baada Irgc kushindwa vita wameamua kuwatoa na kuwalazimisha wananchi wao kuwa kafara.
Hii inaonyesha hili jeshi ni la kigaidi kabisa, inakuwaje. Wao wabaki kwenye mahandaki wajikinge watangulize wananchi mbele.
Hii ni aibu kubwa bahati mbaya hao wananchi watahesabiwa kama magaidi na wanajeshi .
Jitu limeua watu kibao, leo eti kifungo miaka 20. Huu ni utani! Ilibidi anyongwe maana ameua wanadamu wengi Darfur!
Kwahiyo na huyu wa kule Visiwa vya Indonesia atahukumiwa miaka 20 na mauaji ya zaidi ya watu 10,000 aliowaua majumbani!!!
Sheikh Hasina, waziri mkuu wa zamani wa Bangladesh, amehukumiwa kifo na Mahakama Maalum ya Uhalifu (International Crimes Tribunal) kwa tuhuma za “Uhalifu dhidi ya binadamu” (crimes against humanity).
Mahakama ilibaini kwamba aliongoza ukandamizaji mkali wa maandamano ya wanafunzi mwaka 2024...
Wakuu, katika hali isiyo ya kawaida, Waziri mkuu wa Israel leo ametumia njia isiyoyakawaida kuelekea New York, kitu kilichoibua mjadala juu ya waziri mkuu huyo kukimbia kukwepa kupita katika anga la nchi za Ulaya ili kukimbia kukamatwa kwa Uhalifu wa Kivita.
Netanyahu aliondoka Telaviv...
Mwendesha mashitaka mkuu wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita Mh Karim khan amesema mahakama ya ICC na mamlaka za DRC zinashirikiana kuchunguza madhila na madhara ya uhalifu huo, aidha Khan amesema ushahidi bado unaendelea kukusanywa ili kuwabaini pasipo shaka wahusika wote waliohusika...
Kufuatilia vikao vizito vinavyoendelea vyenye agenda ya kurudisha utulivu na amani DRC pia ushahidi na hesabu za idadi vta vifo vya raia, ubakaji, utesaji na mauaji kadhaa mamlaka za haki zinategemea kukaa na kumshauri mwendesha mashtaka mkuu wa ICC kuorodhesha ushahidi na wahusika katika...
Guterres asema shambulizi la jeshi la Israel dhidi ya kikosi cha muda cha UM nchini Lebanon linaweza kuwa uhalifu wa vita.
Msemaji wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres tarehe 13 Oktoba alitoa taarifa kuhusu kikosi cha muda cha UM nchini Lebanon, akiweka bayana msimamo kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.