ugonjwa wa mpox

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    Hospitali ya Rufaa na Mafunzo ya Moi iliyoko Eldoret imethibitisha kisa kimoja cha ugonjwa wa mpox kwa mtoto mchanga

    Hospitali ya Rufaa na Mafunzo ya Moi iliyoko Eldoret imethibitisha kisa kimoja cha ugonjwa wa mpox kwa mtoto mchanga; imewashauri wafanyakazi wake kuwa waangalifu ili kuzuia kuenea kwa ugonjwa huo. =================== Moi Teaching and Referral Hospital in Eldoret confirms one case of mpox from...
  2. McLaren

    Ugonjwa wa Mpox watua nchini Kenya. Kesi 226 zaripotiwa

    Wakuu, Ugonjwa wa Mpox wasambaa Magharibi mwa Kenya Kaunti za Busia, Bungoma na Kakamega zimeathiriwa na mlipuko wa ugonjwa wa Mpox, unaosababishwa na virusi. Busia ni ya pili kwa athari nchini Kenya, ikiwa na maambukizi 56 yaliyothibitishwa, wagonjwa wawili wamelazwa, wanane wanatibiwa...
  3. mwanamwana

    Gambia yaripoti mlipuko wa ugonjwa wa Mpox

    Gambia imeripoti mlipuko wa ugonjwa wa mpox baada ya kugunduliwa kisa kimoja kupitia mfumo wa uchunguzi wa kawaida. Ugonjwa huo, ambao ni dharura ya afya ya kimataifa, unazidi kuenea katika nchi za Afrika Magharibi. Wizara ya Afya ya Gambia imesema kuwa kugundulika kwa kisa hiki katika nchi...
  4. H

    Jambo muhimu ambalo sehemu kubwa ya jamaa haifahamu kuhusu ugonjwa wa MPOX

    Ugonjwa wa MPOX unaenezwa kwa njia ya ngono. Hii siyo njia pekee isipokuwa kwa kiasi kikubwa watu wazima wanapata ugonjwa huu katika mchakato wa ngono au tendo la ngono lenyewe. Vimelea hukaa katika majimaji ya mwili (ute wa mwanamke, mbegu za mwanaume, damu, mate n.k) wa binadamu au mnyama...
  5. Just Pray

    Iringa: Wawili wahofiwa kuwa na MPox, Daktari atoa tahadhari

    Wizara ya Afya Tanzania ingetoa takwimu za ukweli watu wakachukua tahadhari kuliko kusema kuna watu wawili halafu watu wanaibuka kutoka sehemu mbalimbali wakiwa wanaumwa na kupika kauli hiyo. == Kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nyani nchini (mpox), Daktari Godfrey Mtunzi Kutoka Manispaa...
  6. Cute Wife

    Wizara ya Afya yathibitisha uwepo wa wagonjwa wawili wa Mpox nchini

    Wakuu, Ila kwenye ile video jamaa alisema wapo wengi hapo hospitali, serikali inasema watu 2!🤔🤔 Pia soma: Huu ni ugonjwa gani? Wizara ya Afya semeni kitu ===== TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UGONJWA WA MPOX NCHINI Tarehe: 10 Machi, 2025, DODOMA Mnamo tarehe 7 Machi, 2025 Wizara ya Afya kupitia...
  7. Cute Wife

    DOKEZO Responded Huu ni ugonjwa gani? Wizara ya Afya semeni kitu

    Wakuu, Kuna hii video inasambaa kwenye mitandao ya kijamii, huyo jamaa anasema wako katika hospitali maeneo ya kipawa majani ya chai. Ambako yeye na wengine wanaumwa ugonjwa kama huo wametengwa, hawaruhusiwi kuonana na watu. Kuna ka ujumbe kanapita kanasema tuache kupeana mikono hovyo, maana...
  8. Cute Wife

    Serikali yatoa tahadhari kuhusu ugonjwa wa Mpox

    Wakuu, TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TISHIO LA UGONJWA WA MPOX Agosti 17, 2024, Dodoma. Ndugu wananchi, Itakumbukwa kwamba, Wizara ya Afya ilitoa tadhadhari kwa umma kuhusu ugonjwa wa Mpox mnamo tarehe 3 Agosti 2024. Katika kipindi chote, Wizara imeendelea kufuatilia kwa karibu mwenendo wa ugonjwa...
Back
Top Bottom