uganda

Uganda, officially the Republic of Uganda, is a landlocked country in East Africa. It is bordered to the east by Kenya, to the north by South Sudan, to the west by the Democratic Republic of the Congo, to the south-west by Rwanda, and to the south by Tanzania.

The southern part includes a substantial portion of Lake Victoria, shared with Kenya and Tanzania. Uganda is in the African Great Lakes region, lies within the Nile basin, and has a varied equatorial climate. As of 2024, it has a population of nearly 46 million, of which 8.5 million live in the capital and largest city, Kampala.

Uganda is named after the Buganda kingdom, which encompasses a large portion of the south, including Kampala, and whose language, Luganda, is widely spoken; the official language is English. The region was populated by various ethnic groups before the Bantu and Nilotic groups arrived around 3,000 years ago.

These groups established influential kingdoms such as the Empire of Kitara. The arrival of Arab traders in the 1830s and British explorers in the late 19th century marked the beginning of foreign influence. The British established the Protectorate of Uganda in 1894, setting the stage for future political dynamics.

Uganda gained independence in 1962, with Milton Obote as the first prime minister. The 1966 Mengo Crisis marked a significant conflict between the Buganda Kingdom and the country's conversion from a parliamentary system to a presidential system. Idi Amin's military coup in 1971 led to a brutal regime characterized by mass killings and economic decline, until his overthrow in 1979.

Yoweri Museveni's National Resistance Movement (NRM) took power in 1986 after a six-year guerrilla war. This led to stability and economic growth, but authoritarian practices and human rights abuses continued. The abolition of presidential term limits, allegations of electoral fraud and repression, have raised concerns about Uganda's democratic future.

Museveni was elected president in the 2011, 2016, 2021, and 2026 general elections.

Human rights issues, corruption, and regional conflicts, such as involvement in the Congo Wars and the struggle against the Lord's Resistance Army (LRA), continue to challenge Uganda.

Despite this, it has made progress in education and health, improving literacy and reducing HIV infection, though challenges in maternal health and gender inequality persist. The country's future depends on addressing governance and human rights, while leveraging its natural and human resources for sustainable development.

Geographically, Uganda is diverse, with volcanic hills, mountains, and lakes, including Lake Victoria, the world's second-largest freshwater lake. The country has significant natural resources, including fertile agricultural land and untapped oil reserves, contributing to its economic development.

The service sector dominates the economy, surpassing agriculture. Uganda's rich biodiversity, with national parks and wildlife reserves, attracts tourism, a vital sector for the economy.

Uganda is a member of the United Nations, the African Union, G77, the East African Community, and the Organisation of Islamic Cooperation.

View More On Wikipedia.org
  1. Uganda: Wabunge kwenda Mahakamani kupinga sheria ya Mtandao

    Bunge la Uganda limepitisha Sheria ya Mtandao ikilenga watumiaji wa kompyuta Nchini humo. Baadhi ya Wabunge wamenukuliwa wakisema kwamba watakwenda kuipinga Mahakamani itawahusu watu wanaochapisha taarifa za uongo mitandaoni, taarifa ambazo hazijathibitishwa na wahusika, pia kuchapisha taarifa...
  2. Tanzania tumepigika tena, safari hii 3-0, Uganda haooooo wamefuzu CHAN 2023

    Safari ya timu ya taifa ya Tanzania kufuzu kucheza Kombe la Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN 2023) imefikia tamati baada ya kupata kipigo cha magoli 3-0 dhidi ya Uganda, leo Jumamosi Septemba 3, 2022. Kwa matokeo ya mechi hiyo iliyochezwa Uganda, Tanzania imetolewa kwa jumla ya...
  3. M

    Mkipanga hiki Kikosi changu MINOCYCLINE Leo Taifa Stars anashinda 3-1 au 2-0 hivyo Kazi Kwenu mlioko Kampala Uganda.

    1. Aishi Manula 2. Kibwana Shomary 3. Mohammed Hussein 4. Dickson Job 5. Kennedy Juma 6. Jonas Mkude 7. Abubakary Salum 8. Feisal Salum 9. Anwar Jabir 10. John Boko 11. Farid Mussa Tafadhali wanaoanza wawe hawa niliowataja na baadae waingizwe akina Lyanga, Sopu, Mwamnyeto, Kibu na Tepsi...
  4. Tanzania 0-1 Uganda, kipigo kilikuwa ni haki yetu Watanzania, kwa sababu hizi....

    Timu ya Tanzania imepoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Uganga katika mchezo wa kuwania kufuzu CHA, leo Agosti 28, 2022 Japokuwa kuna mchezo wa marudio baina ya timu hiyo unaotarajiwa kuchezwa Septemba 3, 2022, lakini niwe mkweli ili kufanikiwa kufuzu basi kuna kitu kikubwa cha ziada kinatakiwa...
  5. L

    Live Taifa Stars Vs Uganda CHAN

    Niko nacheki kipute hapa live. Ukweli ni kuwa , back pass zinaicost sana TZ. yan Kina zimbwe wameshaharibika kichwan, wanawaza kurudisha mpira nyuma muda wote. Namlaumu sana muasisi wa back pass hapa TZ. mbinu za simba na ya yanga naziona hata kwenye timu ya Taifa. Kwa uchezaji huu, kushinda...
  6. Historia ambayo wengi hawaifahamu kuhusu Chuo Kikuu cha Makerere na Hospitali ya rufaa ya Mulago nchini Uganda

    Nikiwa katika mahafali ya wanafunzi waliohitimu masomo yao katika chuo Cha Kingdom Builders Bible Academy (KBBA) kilichopo Isole mkoani Geita tarehe 18/08/2022 ndipo nilipofahamu kwa ufupi historia ya chuo kikuu Cha Makerere na Hospitali ya rufaa ya Mulago iliyopo nchini Uganda” Faraja Gasto...
  7. Askari wanne washtakiwa kwa kumkamata Bi Harusi kwenye sherehe

    Polisi nchini Uganda imewafungulia mashtaka maafisa wake wanne waliovamia sherehe ya harusi wiki iliyopita na kumkamata bibi harusi wakimtuhumu kwa wizi. Kwa mujibu wa Msemaji wa Polisi, Fred Enanga, Askari hao hao wamefunguliwa mashtaka ya utovu wa nidhamu, na endapo watakutwa na hatia jeshi...
  8. Raia wa Uganda afungwa miaka mitano Marekani kwa ujangili

    Moazu Kromah raia kutoka nchini Uganda amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitano jela na Mahakama ya jijini New York kwa kosa la kula njama za kusafirisha Pembe za Faru na Pembe za Tembo. Shehena iliyokamatwa ilikuwa na Kilo 200 za Pembe za Faru na Tani 10 za Pembe za Tembo ambazo thamani...
  9. N

    Habari kutoka Uganda zinasema kuwa Yanga wamefikia dau la $200000 na mshahara wa $12000 kwa ajili ya kumsajili Manzoki

    HAYA HAYA HAYA HAYAAAAA KESHO TUTAKOMA DADEEEKI UUUWIIII CONFIRMED kabisa na mtangazaji wa michezo huko Uganda ka confirm kwamba SIMBA WALIKATAA KUTOA USD 200K na walimpa offer ya mshahara usd 8000 Utopolo wametoa hizo usd 200k na mashahara wanampa usd 12,000..CASE CLOSED ASANTENI SANA BARBARA...
  10. Kenya2022 Ushindi wa Ruto, Uganda yalipuka kwa shangwe, hii maana yake ni nini?

    Naomba kujuzwa wadau wenye uelewa mpana zaidi. Ugandans are Kenyans are brothers. Ruto is a Kalenjin who are relatives with the Sabiny of Uganda and these people speak the same language. Its the reason you find Kenyan and Ugandan athletes having the same names. The same way the Luos where...
  11. Mechi ya Tanzania na Uganda inachezwa Lini?

    Mimi ni mzalaendo wa michezo Tanzania, nataka nijue siku ya hii mechi muhimu. Karibuni
  12. Kenya2022 Polisi Wakamata Malori Mawili yakidaiwa Kusafirisha Wapiga Kura Kutoka Uganda

    Polisi walinasa malori mawili katika eneo bunge la Endebess Kaunti ya Trans Nzoia yakidaiwa kuwabeba wapiga kura 91 kutoka taifa jirani la Uganda kulekea vituo mbalimbali vya kupigia kura. Watu 65 walifanikiwa kutoroka kufuatia usaidizi wa Mbunge wa Endebess Robert Pukose ambaye alipaza kilio...
  13. B

    Uganda yapinga Benki ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa na Makao Makuu Tanzania

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Uganda ambaye pia ni waziri wa EAC Bi. Rebecca Kadaga apinga wazo hilo kwani Tanzania tayari ni makao makuu ya taasisi kadhaa za Jumuiya ya Afrika Mashariki. Uganda ina Taasisi 3 za Jumuiya ya Afrika Mashariki zenye makao yake makuu Uganda. Jumuiya ya Afrika...
  14. Tusidanganyane kwa Kiwango cha Vipers FC, Kiwango cha Wachezaji wa Uganda na Ubora wa Kocha Wao hata Simba SC nayo ingefungwa tu

    Kiutani GENTAMYCINE nawacheka mno Yanga SC na nimefurahi sana kwa Kufungwa Kwako ki 'Beauty Beauty' Goli ( Bao ) Mbili za Vipers FC ila tukiondoa Utani Wetu wa Simba na Yanga kwa ninavyowajua Waganda, walivyowekeza katika Soka na kuwa very Serious hata Simba SC yangu ingecheza nao Leo nayo (...
  15. Uganda sasa wanazalisha mafuta ya maparachichi. Je, Tanzania tunakwama wapi?

    Ukiangalia katika ubunifu na technologia bado tuko nyuma sana. Kifupi tunamatatizo mengi kuliko majibu (ufumbuzi) Parachichi tulikua tunalima miaka yote mi tangu mtoto!!!..lakini bado tumelala
  16. Raia katika Miji mitatu nchini Uganda waandamana kupinga Ongezeko la gharama za Maisha

    Polisi nchini Uganda wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya raia walioandamana katika Miji Mitatu kupinga kupanda kwa bei ya mafuta na vyakula muhimu huku wakiwashikilia watu kadhaa. Maandamano hayo ni ya pili katika mwezi mmoja ambapo waandamanaji wamejitokeza barabarani katika Miji ya Jinja...
  17. Je, uamuzi wa kuwafukuza wahindi Uganda ulikuwa ni mbaya, au utekelezaji wake ndio ulikuwa mbaya?

    Iddi Amin Dada ukimsikiliza kwenye kile kikao alichofannya na waandishi wa habari ili kutangaza lengo lake la kufukuza wahindi wote mchini Uganda, utaona kabisa kwamba lengo lake lilikuwa kurudisha uchumi wa Uganda mikononi mwa waganda wenyewe. Pia aliamini kwamba uhuru wa mwaka 1963 haukuwa...
  18. Museveni: I didn’t say Uganda was middle income

    President Museveni has disavowed reports that Uganda is now a middle-income status nation "I didn’t say we have already become but I said we are entering middle income status,” Mr Museveni said after weeks of a protracted-factual confrontation involving the World Bank (WB) and Uganda Bureau of...
  19. M

    SI KWELI China kuchukua Uwanja wa Ndege wa Entebbe baada ya Uganda kushindwa kulipa deni

    Mwishoni mwa mwaka 2021 kuliibuka taarifa kuwa Serikali ya Uganda imeshindwa kulipa deni kiasi cha dola milioni 207 na kusababisha kutaifishwa uwanja wake wa nddege wa Entebbe. Taarifa hizo zilizochapishwa na vyombo mbalilmbali duniani vilieleza kuwa Uwanja wa Entebe sio mali ya Uganda tena...
  20. Mke toka Uganda kuja Tanzania

    Safari yangu ya kuelekea Uganda imekaribia na licha ya kujifunza humu kuwa kuna fursa nzuri ya biashara kule nimeona nikatafute mke mwema huko nirejee naye Tz niagane na ubachela. Si kwamba kwetu sijaona, la hasha nataka! Kuchanganya damu. Wataalam kuna shida ya kuvusha mke mpakani au nikioa si...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…