ufugaji wa nguruwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Imani rubaba

    Kwanini Ufugaji wa Nguruwe Unaweza Kuwa Utajiri Mkubwa?

    Unajua? Wafugaji wengi bado hawajagundua siri kubwa iliyopo kwenye ufugaji wa nguruwe. Wakati sekta nyingine za mifugo zikionekana waziwazi, nguruwe mara nyingi huachwa nyuma—lakini kibiashara, ndilo kundi linaloleta faida ya haraka zaidi. ✅ Uzalishaji wa Haraka: Nguruwe hubeba mimba kwa miezi...
  2. tinWyn

    10m capital/mtaji -Mpango wa mradi wa ufugaji wa nguruwe na biashara ya butcher

    Jumla ya Bajeti: Tsh 10,000,000 1. Malengo ya Mradi 1. Kufuga nguruwe wa kisasa kwa ajili ya kuzalisha na kuuza nyama. 2. Kuongeza mtaji wa butcher ili kuongeza mzunguko wa mauzo. 3. Kujenga uthabiti wa kifedha wa familia kupitia kipato cha kilasiku (Butcher) na cha muda mrefu (Ufugaji). 2...
  3. Imani rubaba

    Ufugaji wa nguruwe unalipa: Huu ndio muda sahihi wa kuanza! 🐖💰

    Katika harakati zetu Rubaba Media kuelimisha na kushauri wakulima na wafugaji kote nchini, tukishitikiana na Koudijs safari yetu ya hivi karibuni ilitufikisha mkoani Mara — hasa maeneo ya Tarime, Nyamongo, na vitongoji vyake. Tulikutana na wafugaji wapya na waliopo tayari waliodhamiria kwa dhati...
  4. Richie Henry

    Ufugaji wa nguruwe

    Jamani habarini tena! Napenda kusaidiwa kwa wazoefu juu ya hili jambo, je eneo la robo ekari linatosha kwa kuanzia UFUGAJI WA NGURUWE.?
  5. tinWyn

    Mradi wa ufugaji wa nguruwe – Mtanzania mwenye maono

    1. UTANGULIZI WA MRADI Mradi huu unalenga kuanzisha ufugaji wa nguruwe kwa kiwango kidogo kwa lengo la kukuza kipato na kujenga msingi wa biashara endelevu ya mifugo. Mradi unaweza kuanzishwa kijijini au mjini, kulingana na upatikanaji wa eneo na maji. Shughuli za awali ni: Kuandaa eneo la...
  6. Imani rubaba

    Ufugaji wa Nguruwe ni Fursa ya Utajiri- Hili Alina Mjadala

    https://youtu.be/2w3zUtsShD0 Leo nilikaa nikawaza kitu kimoja… Kwa nini wafugaji wachache sana wanafanikiwa kweli, ilhali nguruwe ni mnyama mwenye uwezo mkubwa sana wa kutajirisha? 🤔🐖 Hebu fikiria hii: Nguruwe mmoja wa kisasa anaweza kuzaa hadi watoto 21 kwa mara moja, mara mbili kwa mwaka. Hii...
  7. Qa people

    Mradi wa Ufugaji wa Nguruwe unaohitaji Mwekezaji/Mfadhili

    Habari yako mwana Jamiiforum. Naomba muda wako kidogo kusoma hili wazo langu. Nina ndoto ya ufugaji wa nguruwe 10 nikiwa na malengo ya kujiajiri na biashara hii. Nimefanya utafiti na kupanga mpango wa biashara, na najua nikipewa nafasi na msaada wa mtaji, nitaweza shughuli hii kwa utumishi...
  8. R

    Nguruwe anaweza kupitisha muda wake wa kuzaa?

    Hivi nguruwe anaweza akapitiliza siku zake za kuzaa na husababishwa na nini?
  9. MEK_TZ

    Naomba Ushauri katika ufugaji wa nguruwe

    Habari ya leo wana JF matumaini yangu tu wazima kwa uweza wa muumba atutiaye nguvu na uzima. Naomba kurejesha ombi langu juu ya kupata msaada namna gani naweza fanikiwa katika ufugaji wa nguruwe. Niliwahi andika uzi juu ya kutaka ushauri wa biashara ipi itanifaa kupitia mtaji/kiasi nilicho...
  10. U

    Ufugaji wa kuku saso na ufugaji wa nguruwe

    wadau niko kwenu hapa najaribu kufikiri kuanza UFUGAJI Sasa nawaza kuhusu UFUGAJI WA NGURUWE au kuku SASO naombeni ushauri wenu nataka kutengeneza pesa za ada mwakani. NIKO MKOANI NA MTAJI WANGU NI LAKI TANO
  11. Mzee wa kusawazisha

    Msaada: Nguruwe wangu wana kasi ndogo ya ukuaji

    Wakuu tafadhali mwenye uzoefu na masuala ya ufugaji nguruwe wanakaribia miezi 5 lakini bado kasi sio nzuri ya ukuaji kwa waliowaona utahisi wa miezi 3 na nusu tatizo nini. NB naishi maeneo yenywe baridi chini ya centigrade 20 kwa wastani. Lakini Kuna mitaa mingine nguruwe wanakimbia lakini ni...
  12. FRANC THE GREAT

    Huawei yageukia kwenye ufugaji wa nguruwe kutokana na kushuka kwa mauzo ya smartphone

    Habari! Kampuni kubwa ya teknolojia ya Kichina Huawei (Huawei Technologies Co., Ltd.) imezindua mradi wa ufugaji wa nguruwe kupitia teknolojia ya Akili Bandia (Artificial Intelligence) Jumatatu wakati kampuni hiyo ikigeukia katika maeneo mengine ya kibiashara wakati biashara yake ya simu janja...
  13. Amoeba

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    - Nguruwe watoto 20 @ 20000 = 400000 - Banda la mabanzi=1,000,000 - Chakula = 1,000,000 - Dawa= 200000 After 1yr: Nguruwe 20 watazaa vitoto kama 160,utachakuwa vitoto jike 100, mama zao wote watauzwa, huku shambani kwetu nguruwe mkubwa ni Tsh 200,000 tu...
  14. Degelingi_One

    Ufugaji wa Nguruwe

    Wakuu salaam. Kutokana na hali ilivyo ngumu huku mtaani, kijana nimejipiga na kupambana nikakusanya kiasi cha 300k. Nataka nijitupe kwenye ujasiliamali wa ufugaji wa nguruwe. Wataalamu wa haya mambo nipeni uzoefu hasa: 1. Mabanda ya kufugia 2. Muda sahihi wa kuuza 3. Ulishaji, Mara moja au...
Back
Top Bottom