ufisadi tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    GE2025 Albert Msando: Ni kweli Ufisadi upo nchini lakini Rais Samia anapambana nao

    Mkuu wa wilaya ya Ubungo Albert Msando akizungumza kupitia kipindi cha Medani za Siasa cha StarTV kinachoongozwa na Mwandishi wa habari Edwin Odemba ameeleza kuhusu kuwepo na mapambano dhidi ya ufisadi nchini “Ni kweli ufisadi upo Nchini lakini Rais Samia anapambana nao, na anakereka na...
  2. Kwa maneno ya Rais Samia nyaraka zilizovuja mtandaoni kuhusu tuhuma za Ufisadi ni za kweli

    Akiwaapisha Viongozi mbalimbali leo, Rais Samia ameelezea kushuka kwa maadili ya Viongozi wa Umma na Watumishi hadi kufikia nyaraka za Serikali kupigiwa picha na Watumishi na kurushwa kwenye Mitandao ya Kijamii. Kwa maneno haya aliyotamka Rais leo hii, ni uthibitisho tosha kuwa tuhuma nzito za...
  3. J

    UMEAHIRISHWA | IPTL: Sakata la Miongo miwili. Nini hatma yake?

    Ripoti ya CAG 2023/2024 imebainisha kuwa Shirika la Umeme la Tanzania (TANESCO) linadaiwa Tsh. Bilioni 238 na Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Deni halisi likiwa ni Tsh. Bilioni 111 na Riba Tsh. Bilioni 127 Ilikuaje? Yapi yalikuwa makubaliano ya TANESCO na...
  4. A

    Kwa hizi pesa wanazochezea CCM, Tanzania ni tajiri sana, westerns wafunge misaada kabisa

    Kwa jinsi CCM wanazovyotuona mazwazwa wananchi na walipa kodi wa taifa hili kwa kuchezea pesa zetu namna hili ni hali halisi Tanzania ni tajiri sana. Hii nchi ina pesa nyingi sana. Pesa za wananchi zinaishia kusombwa na kutumiwa hovyo hovyo na CCM kwenye mambo yao. Angalieni deni la taifa...
  5. Unajua ufisadi wa viongozi wa umma unachangiwa na malezi ya "udogoni" mwao?

    Unatarajia mtu aliyelelewa katika mazingira ya ubinafsi kuanzia nyumbani hadi shuleni atakuwa na tabia gani kama siyo ubinafsi mtupu? Fikiri, alipokuwa mtoto, aliaminishwa kuwa nyama nzuri kama paja la kuku ni mahsusi kwa ajili ya baba. Anaweza akajenga matumaini kuwa naye atakapokuwa mkubwa...
  6. Athari za ufisadi Tanzania

    Athari za ufisadi nchini Tanzania zinaathiri maeneo mbalimbali ya jamii na uchumi. Hapa kuna baadhi ya athari kuu: 1. Kupoteza Rasilimali za Umma: - Mapato ya Serikali: Ufisiadi husababisha upotevu wa mapato ya serikali kupitia ulaji wa fedha zinazotokana na kodi na rasilimali za umma. -...
  7. D

    Ili jamii iweze kuendelea kiuchumi, wizi ni lazima. Efficient Market Mypothesis (EMH) haipo na wala hai-exist

    Ukiona rais anayeingia madarkani anasema atakomesha wizi huyi ni mwongo wala ukweli haumo ndani yake. Hata Mungu amesharuhusu wizi pale aliposema mwenye nacho ataongezewa na asiyenacho hata kile anachoamini anacho atanyanganywa (ataibiwa)
  8. Watanzania tuamke tunaibiwa

    Kama kichwa cha habari kinavyosema. Mimi binafsi nipo tayari kumwaga damu yangu Kwa ajili ya hili taifa, najua ipo siku nitakufa kwanini niogope kifo wakati huyo atakayenishoot na yeye ipo siku atakufa pia? Tunaona serikali inatuibia, tuzinduke usingizini tunaibiwa na wakufanya hii hali ipotee...
  9. Mahakama Kuu Tanzania yaamuru kusikilizwa upya kesi iliyokuwa inamkabili Mhasibu wa zamani wa TAKUKURU

    Kigogo huyo alikuwa anashitakiwa Kwa kosa la kuwa na Mali ambazo Hazina maelezo karibia Bilioni 4. Mahakama Kuu imemuachia huru lakini akatiwa mbaroni tena Kwa DPP kukata Rufaa. My Take Mwenye pesa hajawahi fungwa hapa Tanzania labda Gen-Z waje wajitoe ufahamu ndio heshima itakuja. ====...
  10. SoC04 Vyama vingi ni chanzo cha ufisadi Tanzania

    Makala: Vyama Vingi ni Chanzo cha Ufisadi na Umaskini Tanzania? Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imepiga hatua kubwa katika mchakato wa demokrasia kwa kuruhusu mfumo wa vyama vingi. Hata hivyo, suala la vyama vingi limekuwa na mjadala mkali, huku baadhi ya watu wakidai kuwa mfumo huu...
  11. M

    Harjee, aliwahi nieleza, ukiona kiongozi mkuu anasafiri sana ni mipango ya mafisadi katika Serikali yake, na ujue nchi hiyo ina wizi na ufisadi

    Haya yalikuwa maongezi murua. Ilikuwa mwaka 2004, pale Ethiopia na huyo rafiki yangu ambae alifika pale kuwekeza kwenye maji hasa maeneo makame. Katika story tuligusia jinsi viongozi wakuu wa Afrika wasivo na weledi kwa kuiba mabilioni ya wananchi wao na kuwekeza nje ya mataifa yao. Tukafikia...
  12. PreGE2025 Upuuzi mkubwa: Inakuwaje Rais asiyekubalika anashinda uchaguzi mwaka mmoja kabla ya uchaguzi?

    Ni ukweli usiopingika kuwa Rais Samia hakubaliki kwa 80%. Kundi lake linalosemekana liko Msoga Bagamoyo ni mafisadi. Anatoa pesa nyingi ili kuwasaidia wanannzchi zinaliwa na mafisadi. Anashindwa kudhibiti ufidadi sababu amezungunkwa na wapigaji.. Inakuaje? Kwa upuuzi na upumbavu. Rais...
  13. Je, Abdul ndio anataka kuinunua Mount Meru Hoteli baada ya Impala Hotel?

    Kuna fununu sana Arusha kwamba mtoto pendwa ndio anaichukua Hoteli ya Mount Meru, na ikumbukwe pia kuna fununu za kuinunua Impala Hoteli iliyokuwa inamilikiwa na Bilionare Mrema. Sasa ni Mount Meru Hoteli tena. Kijana ana ukwasi wa kutisha sana ndani ya miaka mitatu tu hii.
  14. The Network: Abdul kiungo muhimu kati ya Rostam Aziz na Mukhsin Patel upande mmoja na Sameer Karim Alibhai na W. Salum upande mwingine

    Kuna mambo mengi yatafunuka ndani ya siku chache zijazo kuhusiana na huu mtandao. Kwanini tunarudishwa kwenye ujinga uleule? Rostam, you can do better than this! Enzi za JK hukujifunza mzee? Elewa kuwa kila hatua, kila kinachofanyika - viko well documented. Ni suala la muda tu.
  15. Hii nchi kazi tunayo, kila mahali ni Ufisadi

    Mikipo ndo mikipo Ufisadi ndo unakithiri Uchawa ndo usiseme Rushwa, uzembe makazini, shame on us
  16. M

    DOKEZO Mkurugenzi wa AUWSA asaini Mkataba wa kifisadi wa TZS 36.3 Bilion na Mchina bila Ridhaa ya Bodi ya Ununuzi ya AUWSA na wafadhili AfDB

    Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Eng Justin Rujomba Tarehe 7.7.2022 amesaini Mkataba wa Construction of water blending system for FLOURIDE reduction wenye thamani ya TZS 36.3 Bilion na Kampuni ya Sinohdro Engineering ya china bila zabuni kutangazwa , Mkataba Ulisainiwa...
  17. PreGE2025 Mrisho Gambo ni Rais ajaye

    Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo ameonyesha siyo mnafiki na yuko tayari kukataa hongo hata kama hiyo rushwa anapewa na viongozi wake wa chama. Kitendo cha kuanika hadharani ufisadi uliokuwa unafanywa na Mkurugenzi wa jiji la Arusha pamoja na Katibu wa CCM ni cha kijasiri mno na upekee wa...
  18. Lugola: Tumegundua Lugumi hakuwa na kosa, ila Serikali ndio ilikuwa na matatizo

    Kayasema hayo kwenye video akihojiwa Kuhusu Tuhuma Juu ya Lugumi, na kusema kwamba waligundua kwamba Lugumi hakuwa na kosa ila serikali ndo ilikuwa na Matatizo juu ya suala ilo, Ni kuhusu kufunga alama za utambuzi wa vidole amesema kwamba Lugumi alijitetea na akaona kweli utetezi wake uko...
  19. UKAWA kula sahani moja na Lugumi Bungeni

    SAKATA la mkataba wa Kampuni ya Lugumi Enterprises limechukua suara mpya, baada ya Kambi ya Upinzani kusema kuwa itahakikisha mbivu na mbichi za mkataba huo, zinajulikana katika mkutano wa Bunge la Bajeti unoanza kesho mjini Dodoma. Kampuni hiyo iliingia mkataba na Jeshi la Polisi mwaka 2011 na...
  20. Y

    Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

    WAZIRI WA MAGUFULI KTK KASHFA YA UFISADI NA POLISI - Kampuni inayohusishwa naye ya Infosys ilikuwa mkandarasi Yadaiwa Infosys inamilikiwa na Kitwanga na Mkurugenzi Mkuu NIDA Ni mdau wa LUGUMI enterprises Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga atajwa kuhusika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…