Baada ya taarifa kusambaa kuwa rais wa Venezuela alichukuliwa na vikosi vya Marekani, wengi waliuliza swali moja: Urusi na China walikuwa wapi? Kwa nini hawakuingilia kumlinda mshirika wao?
Jibu lake halihusiani na hisia, bali u halisia wa nguvu za dunia.
Kwanza, jiografia huamua nguvu...
Kwanza kabisa nianze na maana ya Roaming
Roaming ni huduma inayoruhusu mteja wa kampuni moja ya mawasiliano kutumia mtandao wa kampuni nyingine, pale ambapo
Mtandao wa kampuni yake haupatikani au
Yuko nje ya eneo analohudumiwa kawaida (ndani au nje ya nchi)
"Unapotumia nyumba ya jirani kwa...
Msigwa alisema serikali inachunguza video kisha itatoa ufafanuzi lakini imekuja na malalamiko ya kutangazwa kimataifa tu na sio ufafanuzi wa video.
Aidha vyombo vya kimataifa vili itafuta serikali kabla ya kuripoti ili kutoa ushirikiano lakini serikali iliingia mitini kwa siku takribani 25 sawa...
Kuna watu wanaojiuliza: “Kama Mungu ni mmoja, kwa nini Wakristo husema kwamba kuna Baba, Mwana na Roho Mtakatifu? Je, wanaabudu Mungu watatu?"
Kabla ya kujibu swali hilo ngoja nieleze nafsi ya mwanadamu ni nini. Ukiielewa nafsi ya mwanadamu itakuwa rahisi kufahamu vizuri nafsi tatu za Mungu au...
Kila mara naona kwenye mitandao waandishi wa habari wanamfuata dudubaya kumhoji kuhusu mambo flani flani.
Recently nimeshangaa eti waandishi wamemfuata atolee ufafanuzi kinachoendelea huko middle east na upi ni msimamo wake.
Imenishangaza kidogo, sasa msimamo wa dudubaya kwenye siasa za middle...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamikia ucheleweshwaji wa Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kupoza Umeme cha Imalilo kupitia andiko hili ~ Miaka mitano Serikali inajenga kituo cha kupozea Umeme Simiyu. Hakuna kinachoendelea, tumedanganywa? Shirika la Umeme Tanzania limetoa ufafanuzi...
Habari za mchana.
Leo nimepata nafasi ya kusikiliza hotuba ya bajeti toka kwa Waziri. Pamoja na deni la Taifa kuendelea kukua, hii itupe ishara kwamba tunaenda uelekeo usio sahihi. Sijui ni kwa nini wananchi huku chini wanasononeka ila wakubwa huko juu wako kimya.
Kubwa ninalotaka kulisemea...
Kwanza nitoe pole kwa mamlaka za Serikali kwa changamoto hii kubwa ya kudukuliwa kwa account za Serikali
Tatizo hili limesababishwa na baadhi ya viongozi wa Serikali wasio na uadilifu walioamua kuwapa wahalifu nywila za kuingia kwenye kurasa za Serikali
Taarifa inayosambaa mitandaoni kuhusiana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.