uenyekiti chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    PreGE2025 Lissu: Nikishindwa nafasi ya Uenyekiti CHADEMA nitabaki kuwa mwanachama wa kawaida, siendi popote

    Wakuu, Lissu amesema ikitokea ameshindwa nafasi ya uenyekiti CHADEMA hapo Januari, atabaki kuwa mwanachama wa kawaida CHADEMA, hatoenda kokote, watabanana humo humo. Pia soma: Pre GE2025 - Wilbroad Slaa amuunga mkono Lissu kugombea Uenyekiti CHADEMA, asema taifa linamhitaji Lissu kwa sasa...
  2. Cute Wife

    PreGE2025 Wilbroad Slaa amuunga mkono Lissu kugombea Uenyekiti CHADEMA, asema taifa linamhitaji Lissu kwa sasa

    Wakuu, Wilbroad Slaa amuunga mkono Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti CHADEMA. Pia soma: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA Asema CHADEMA na Watanzania wanamhitaji Lissu katika kipindi hiki, akiwa ni kiongozi bora na mwenye msimamo. Mambo yanazidi kuwa moto.
  3. chiembe

    Hizi tetesi za Lissu kujiondoa kugombea uenyekiti chadema zina ukweli?

    Kumekuwa na tetesi viungani kwamba Lissu kaamua "kurusha taulo" na anaomba refa amalize pambano, kulikoni? Kwamba anataka Wenje ajiondoe kugombea umakamu, na yeye ajiondoe kwenye uenyekiti arudi kwenye umakamu
  4. M

    KISAIKOLOJIA, VITA VYA UENYEKITI CHADEMA NI UTHIBITISHO KUWA HAWANA TUMAINI LA KUSHINDA NAFASI YA URAIS KTK UCHAGUZI MKUU 2025. KINYUME CHAKE WANGEACH

    Siasa ni mchezo mchafu. Vita vya kiti cha Uenyekiti chadema kati ya chawa wa pande mbili ni vita vilivyotengezwa na Tiss. Wakiwatumia vijana wao kuna yeriko. Ni vita vya kupigania pesa za rushwa kutoka kwa chama mtaala. Wakati mbowe akiwatumia vijana wake akina wenje, yericko kupoza nguvu ya...
  5. Mindyou

    PreGE2025 Mwanaharakati Odero Charles Odero ajitosa kuwania nafasi ya Uenyekiti CHADEMA Taifa

    Wakuu, Uchaguzi huko CHADEMA umeendelea kupamba moto, watu wameendelea kujitikeza kutia nia. Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Odero Charles Odero anatarajiwa kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho ngazi ya Taifa kesho, Jumatatu, Desemba 23, 2024 katika...
  6. Mindyou

    PreGE2025 Mbowe arudisha fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Wakuu, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akirejesha fomu ya kugombea Uenyekiti wa chama hicho kwa mara nyingine tena. Soma pia: Tundu Lissu arudisha fomu makao makuu ya CHADEMA akiwa amevaa bulletproof. Hii ina maana gani?
  7. Mindyou

    Rasmi BAWACHA wamemlipia Mbowe Milioni 1.5 fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Wakuu, Inaonekana BAWACHA wametimiza rasmi ahadi yao ya kumlipia Mbowe fomu ya Uenyekiti Soma pia: BAWACHA Pwani kutoa Tsh. Milioni 1.5 kumchangia fomu ya uenyekiti Mbowe Kundi la wanawake wanaomuunga Mkono Freeman Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa Chadema kwa kipindi kingine cha miaka...
  8. D

    Kumbuka sumaye aliwahi kusema kwamba sumu haionjwi kwa ulimi akimaanisha uenyekiti chadema ni sumu

    Kile kiti ni zaidi ya siasa ni channel maalumu ya kufanya money laundering in anyway. Hivyo bora ufe kiti kibaki kwa mwenye nacho
  9. chakii

    Ushauri : Lisu imetosha kubali yaishe, Jiengue kwenye nafasi ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Wadau ... Nipende kumshauri mpinzani wa kweli na Muumini wa Demokrasia Mh Tundu A. Lisu kuwa ni busara kujiengua mapema kwenye kiini macho kinachosubiriwa cha uchaguzi CDM, watu ambao wanaenda kupiga Kura wanakula , wanalala kwa gharama za Mbowe. Wewe Nani atakupigia Kura japo wanafahamu uwezo...
  10. Minjingu Jingu

    Dr. Slaa: Mbowe ameambiwa asithubutu kuachia Uenyekiti, Ama sivyo atajiharibia kila kitu

    Ni habari ambazo zimepatikana na Dr. Slaa amezitoa usiku wa kuamkia leo katika Clubhouse. Kuwa amezinyaka hizo taarifa. Ijumaa ya tarehe 20 Mbowe alikuwa tayari atumie busara aachie nafasi. Lakini amepokea ujumbe kutoka kwa Wakubwa kuwa asijaribu kumruhusu Lissu awe Mwenyekiti. Atajiharibia...
  11. Orketeemi

    Yanayojiri mpambano wa kuwania Uenyekiti CHADEMA Taifa

    Habari. Uzi huu uwe mwendelezo wa kila kinachojiri katika mpambano huu wa kukata na shoka. Siku ya kesho December 21 kuanzia saa 5 asubuhi Mdude CHADEMA kuongea n vyombo vya habari. Dec 21 kuanzia saa 5 asubuhi Mwenyekit wa CHADEMA taifa mh. Freeman Mbowe kutangaza hatma yake. Lakini kesho...
  12. Waufukweni

    PreGE2025 Mapunda achukua fomu, ajitosa kinyang’anyiro cha Uenyekiti CHADEMA, kumvaa Lissu

    Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tawi la Mtongani, Kunduchi jijini Dar es Salaam, Romanus Romanus Mapunda amejitokeza rasmi kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Taifa wa chama hicho katika Ofisi za CHADEMA jijini Dar es Salaam. Mapunda anakuwa ni mwanachama wa pili...
  13. Waufukweni

    PreGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA, Dar: Henry Kilewo: Tunamhitaji Mbowe, Lissu Tunamjua na Mbowe Tunamjua

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Dar es Salaam, Henry Kilewo, amesema kuwa wanamuhitaji Freeman Mbowe kuendelea na uongozi ndani ya chama hicho. "Mimi ni miongoni mwa wenyeviti wa CHADEMA waliomuomba Mbowe agombee. Moja ya jibu nalotegemea kutoka kwake katika saa 48 alizotoa ni kwamba atagombea"...
  14. econonist

    Kwanini kugombea Uenyekiti CHADEMA ni dhambi?

    Nashangaa sana wazee wa mwanzoni akina Mtei na Makani walifanya uenyekiti wa CHADEMA kama nafasi huru hawakutaka kukaa madarakani mpaka waondolewe kwa nguvu. Kwa Sasa ni CHADEMA imejenga mtindo wa kwamba akitokea kiongozi mwenye ushawishi akagombea uenyekiti wa chama huwa anageukwa na kuitwa...
  15. Waufukweni

    PreGE2025 Freeman Mbowe alivyowasili tayari kwa tamko lake

    Mwenyekiti wa CHAFEMA, Freeman Mbowe akiwasili tayari kuzungumza na wanachama waliojitokeza nyumbani kwake leo Desemba 18.2024.
  16. S

    PreGE2025 Mbowe acha utoto, wanachama wamekufuata nyumbani kwako ghafla lakini wamekuta hema, viti, soda na maji, acheni utani jamani

    Vyombo vya habari vinaripoti kuwa wanachama wamevamia nyumbani kwa mBOWE kumsihi achukue fomu za kugombea uenyekiti wa chama hicho ili akamkabili msanii Tundu Lissu. Pia soma: Kuelekea 2025 - Wafuasi CHADEMA wavamia nyumbani kwa Mbowe kumlazimisha achukue Fomu ya kugombea Uenyekiti Yapo...
  17. J

    PreGE2025 Wafuasi CHADEMA wavamia nyumbani kwa Mbowe kumlazimisha achukue Fomu ya kugombea Uenyekiti

    Kundi kubwa la vijana wamejazana Nyumbani Kwa Freeman Mbowe mikocheni Baadhi ya majirani wamepiga Simu polisi Ili kuomba Ulinzi wa Makazi yao Niko hapa Chato ngoja nielekee nikashuhudie kinachojiri 🐼 == Mamia ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamefika nyumbani kwa...
  18. Waufukweni

    PreGE2025 Makada Chadema wajitosa kumshawishi Mbowe atetee uenyekiti

    Baadhi ya makada na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutoka mikoa mbalimbali, ikiwamo Dar es Salaam wamejipanga leo Desemba 18, 2024 kwenda nyumbani kwa Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, Mikocheni kumuomba agombee tena nafasi hiyo. Hadi sasa Mbowe...
  19. Waufukweni

    PreGE2025 John Mnyika alivyomkabidhi fomu Tundu Lissu kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amechukua rasmi fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho leo, Jumanne Desemba 17, 2024, katika ofisi za makao makuu ya CHADEMA zilizopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam. Pia, Soma: CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu...
  20. Waufukweni

    PreGE2025 Edgar Mwakabela (Sativa) alipia fedha za fomu ya Tundu Lissu kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Edgar Mwakalebela maarufu kama Sativa amelifadhili zoezi la Lissu kuchukua fomu yake ya kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA. "Kuna wanachama wema wanaofikiri kama mimi, wanaofikiri kwamba uchaguzi huu [Uenyekiti CHADEMA] uwe mwanzo mpya kwa chama chetu, ambao wamechanga fedha ya kulipia...
Back
Top Bottom