udumavu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Kassim Majaliwa: Viwango vya udumavu na ukondevu vimepungua nchini

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa kiwango cha udumavu miongoni mwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano nchini kimeshuka kutoka asilimia 48 mwaka 1992 hadi asilimia 30 mwaka 2022. Ameongeza kuwa, kiwango cha ukondefu miongoni mwa watoto walio chini ya miaka mitano kimepungua...
  2. Roving Journalist

    DC wa Nyasa awataka Wananchi kutambua umuhimu wa Lishe Bora, asema Nyasa bila utapiamlo, udumavu, upungufu wa damu inawezekana

    Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Peres Magiri ametoa wito kwa wananchi kutambua umuhimu wa lishe Bora kwa afya ya mwili wa binadamu kwani ni Msingi wa mambo mengi ikiwemo kufanyakazi na kufikiri sawasawa. Mhe.Magiri ameyasema hayo wakati wa kikao cha tathimini ya lishe kilichofanyika mwanzoni mwa juma...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Moja ya sababu haufanikiwi katika Maisha yako ni udumavu wa Kiroho

    MOJA YA SABABU HAUFANIKIWI KATIKA MAISHA YAKO NIi UDUMAVU WA KIROHO. GROWTH AND DEVELOPMENT. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mwaka wa kumi sasa huna mbele wala nyuma. Umedumaa. Chumba kimoja hichohicho. makochi yaleyale. Yaani hukui wala huongezeki. Kila unachogusa unakwama. Miaka unaenda...
  4. Blasio Kachuchu

    Naibu Waziri Mkuu Dk. Biteko asisitiza Serikali kuendelea Kupambana na Udumavu, Uzito kupita kiasi

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. NAIBU Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Doto Mashaka Biteko, amesema kuna uhusiano mkubwa kati ya kilimo na lishe huku akisisitiza kilimo chenye mwelekeo wa lishe kinaweza kupunguza utapiamlo na magonjwa yatokanayo na lishe duni. Akizungumza...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Nancy Nyalusi aibana Serikali juu ya mikakati ya kukabiliana na udumavu Nchini

    Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema inaendelea kutekeleza mikakati ya kupambana na tatizo la udumavu nchini kupitia Mpango kazi Jumuishi wa Lishe wa mwaka 2021/22 – 2025/26. Akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Nancy Hassan Nyalusi, Aprili 16, 2025 Bungeni jijini Dodoma, Naibu...
  6. Stephano Mgendanyi

    Ulaji Chakula cha Aina Moja Chatajwa Chanzo cha Udumavu, Sylvia Sigula Ahoji Bungeni

    ULAJI CHAKULA CHA AINA MOJA WATAJWA CHANZO CHA UDUMAVU, SYLVIA SIGULA AHOJI BUNGENI Serikali imesema kuwa moja ya sababu za udumavu wa watoto katika baadhi ya mikoa nchini ni tabia ya ulaji wa chakula cha aina moja, licha ya mikoa hiyo kuongoza kwa uzalishaji wa mazao ya chakula. Kauli hiyo...
  7. Samia atosha tukutane2030

    Nchi ya Tanzania ina wananchi wenye udumavu wa akili

    Kuna shirika moja la kiutafiti liliwahi kufunga mjadala kwa kusema 3/4 au tuseme 75% ya Watanzania ni wendawazimu. Yawezekana ni zaidi ya 75% ila waliogopa tu kusema ukweli. Mwaka wa uchaguzi mkuu Tanzania kuanzia JANUARI mpaka November kuna mambo mengi sana yanafanyika ambayo yanadhihirisha...
  8. Just Pray

    Mafinga waagizwa utoaji wa chakula shuleni kuwa agenda kuu ili kukomesha udumavu

    Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Dkt. Linda Salekwa amewataka Watumishi Halmashauri ya Mafinga Mji kuweka agenda ya chakula shuleni. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mheshimiwa Dkt. Linda Salekwa kwenye kikao cha kupitia Tathmini ya viashiria vya Mkataba wa Lishe kwa robo ya pili...
Back
Top Bottom