uchumi wa nchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pakome

    Mtu yeyote anayedhoofisha Uchumi wa nchi ni Mpumbavu, hii ni kwasababu matendo hayo yanaongeza idadi ya maskini

    Mtu yeyote anayedhoofisha Uchumi wa nchi ni Mpumbavu, hii ni kwasababu matendo hayo yanaongeza idadi ya maskini Mataifa yote duniani huwa yanapambana kuongeza idadi ya matajiri ili kiwango cha umasikini kishuke ikiwezekana kuondoka Taifa lolote duniani linakua haraka endapo idadi ya maskini ni...
  2. Carlos The Jackal

    Wale wooooote mlohusika Kushabikia , na Matendo ya Kichawa kuanzia Wasanii mpaka Viongozi wa Ngazi zote

    Kesho Kutwa, Nawewe utatueleza tu. Na hapa niwahakikishie, Wale wooooote mlohusika Kushabikia , na Matendo ya Kichawa kuanzia Wasanii mpaka Viongozi wa Ngazi zote . Hatutakua na nafasi ya uchawa, hakutakua na nafasi yenu kujitetea. .
  3. tonicimmobility

    Rias Samia: Ulaya na marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi

    Hebu tumskie kidogo Rais wetu akijaribu kutuambiwa kuwa hii ni nyeupe na wakati sisi kwa macho yetu tunaona ni nyeusi. Ulaya na marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi.
  4. tonicimmobility

    Sekta ya utalii inakua shilingi inapoteza thamani, hizi drama zitakuja kuisha lini?

    Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (Tawa) imesaini mikataba minne ya uwekezaji wa utalii kupitia utaratibu wa Uwekezaji Mahiri (Swica) na kampuni ya Kitanzania ya Uhusiano International ICT Limited. Mikataba hiyo inatarajiwa kuingiza mapato ya Dola za Marekani milioni...
  5. Mto wa mbu

    Rais Samia hivi unajua uchumi wa la jimbo la South Carolina ni mara tatu ya uchumi wa nchi yako?

    Nilicheka sana, Samia mbele ya public alisema uchumi wa Tanzania unafanya vizuri kuliko uchumi wa Ulaya na Marekani, what a shame. Samia unaijua Marekani? Ngoja nikupe elimu ndogo, hivi unajua Jimbo la South Carolina Lina uchumi mkubwa mala tatu ya Tanzania? South Carolina ni jimbo dogo sana...
  6. PSPA Pundit

    Wafahamu "Economic Hitmen" na jinsi wanavyoharibu Uchumi wa nchi

    Kuna watu wanaitwa 'ECONOMIC HITMEN". Hawa ni wataalamu wa uchumi wa mataifa ya Ulaya, Uarabuni, na Taifa la Marekani ambao kazi yao Pekee ni kujenga urafiki wa karibu na Marais na watawala wa nchi za Africa na America ya Kusini. Baada ya kujenga urafiki na ukaribu na Marais pamoja na...
  7. Roving Journalist

    Vigezo vinavyotumiwa kupima uchumi wa nchi na kuona kama uchumi umekua au lah!

    Mtaalamu wa Uchumi na fedha, Ally Mkimo amefafanua dhana ya Uchumi wa Taifa, Vigezo vinavotumika kutambua iwapo Uchumi wa nchi Umepanda ama Umeshuka, Upimaji wa Uchumi Kimataifa lakini pia nini kifanyike ili dhana ya ukuaji wa uchumi na taifa uendane na ukuaji wa uchumi wa mtu mmoja mmoja...
  8. J

    VIDEO: Ifike wakati kwenye mambo ya kiuchumi serikali imsikilize pia David Kafulila. Anaeleweka kwa makundi yote, ni mmoja wa hazina za Taifa

    Sitaki kutia neno kwenye hili ila sikiliza documentary hii mpaka mwisho kisha njoo sasa tubishane kwa hoja, Kwa maoni na uelewa wangu Kafulila Kwa Sasa anahitajika kukabidhiwa majukumu ya kisiasa na kiutendaji nadhani hakuna mwenye ubishi na maoni haya. Nikweli, Hii PPP ameiweza sana...
Back
Top Bottom