uchukuaji fomu ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mickdad Abdul ajitosa kuwania Ubunge jimbo la Rombo

    Mickdad Abdul ajitosa kuwania Ubunge jimbo la Rombo kupitia CCM achukua fomu na kusema anatumia haki yake kikatiba. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Asema Chama hakina ubaguzi wa Rangi, ukabila wala ukanda.
  2. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Magembe Noni ajitosa Ubunge Jimbo la Geita Mjini

    Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Magembe Noni ambaye ni mzaliwa wa Geita, amechukua rasmi fomu ya kuwania uteuzi wa Chama chake kwa ajili ya kugombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Geita Mjini katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge...
  3. DuaZaMama

    GE2025 Hajj Manara achukua fomu ya Udiwani kata ya Kariakoo

    Mwanahabari na aliyekuwa Msemaji wa zamani wa vilabu vya Simba na Yanga, Haji Manara, amechukua Fomu ya kuwania Udiwani katika Kata ya Kariakoo, Jimbo la Ilala kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Zoezi la uchukuaji fomu...
  4. PendoLyimo

    GE2025 Francis Mihayo arejesha fomu jimbo la Ushetu

    MIHAYO AREJESHA FOMU JIMBO LA USHETU Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Kamishina Msaidizi wa Madini Wizara ya Madini, Francis Alleluya Mihayo, amerejesha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge wa Jimbo la Ushetu Wilaya ya Kahama Mkoa wa Shinyanga. Kazi na Utu, Tunasonga Mbele
  5. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Shaban Matwebe, aliyenyimwa fomu ya ubunge jimbo la Rufiji, hatimaye akabidhiwa fomu hiyo

    Kada wa CCM Wilaya ya Rufiji, Shaban Matwebe, ambaye awali alilalamikia kunyimwa fomu ya kuwania Ubunge, hatimaye amekabidhiwa fomu hiyo leo Julai 01, 2025. Matwebe amesema licha ya vikwazo alivyopitia, ikiwemo kushikiliwa na Polisi na kukatishwa tamaa kwa njia mbalimbali hatimaye amefanikisha...
  6. USSR

    GE2025 CDE Samira Khalfan Amour achukua fomu ubunge wa viti maalum Kagera

    Mfanyabiashara na mdau wa maendeleo wa mkoa wa Kagera CDE SAMIRA KHALFAN AMOUR amechukua fomu kugombea ubunge wa viti maalum mkoa wa Kagera kupitia jumuiya ya wanawake. Samira Khalfan Amour amekuwa mstari wa mbele kuinua jamii inapokabiliana na changamoto mbalimbali mkoani Kagera Soma Pia: Uzi...
  7. Carlos The Jackal

    GE2025 Wingi wa Wasanii kuchukua Fomu , ni kutafuta Wapewe Hela na Wabunge Husika Kisha wajifanye wanajiondoa

    Bongo ukiwa na Akili haufai njaa !!. Wabunge wenyewe wa CCM ndio Hawa wa Community Concerning Tainung institute !! Wasanii wameamua kucheza na akili za Watía Nuru . Ni hivi, Asilimia kubwa ya Wabunge wa CCM ni wakubebwa, hawana Uwezo, saladu ni ni Low IQ. Sasa haya makanjanja wasaniii...
  8. Stephano Mgendanyi

    GE2025 Mbunge Suma Fyandomo achukua Fomu kutetea Ubunge wa Viti Maalum UWT Mkoa wa Mbeya

    Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya (CCM), Mhe. Suma Ikenda Fyandamo amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mbeya, akiendeleza dhamira yake ya kuwatetea na kuwaendeleza wanawake pamoja na wananchi wa mkoa wa Mbeya kwa ujumla. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia...
  9. PendoLyimo

    GE2025 Francis Mihayo achukua fomu ya ubunge jimbo la Ushetu

    MIHAYO ACHUKUA FOMU JIMBO LA USHETU Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Kamishina Msaidizi wa Madini Wizara ya Madini, Francis Alleluya Mihayo, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge wa Jimbo la Ushetu Wilaya ya Kahama Mkoa wa Shinyanga. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia...
  10. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Ragi Samwel ajitosa kugombea Ubunge wa Jimbo la Ukonga

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na aliyewahi kuwa Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala (KIU), Ragi Samwel , amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Ukonga kupitia tiketi ya CCM. Samwel alipokea fomu hiyo leo, Juni 30, 2025, na...
  11. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mpwa wa Hayati Magufuli atinia kugombea ubunge wa Jimbo la Chato Kaskazini

    Aliyekuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera, Venance Stanslaus Martin, ambaye pia ni mpwa wa Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli, amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Chato Kaskazini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Venance amefika katika Ofisi za CCM Wilaya ya...
  12. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mtumishi huyo wa Ofisi ya Makamu wa Rais Kitengo cha Ununuzi na Ugavi, Ezekiel Gwatengile autaka ubunge Jimbo la Busokelo

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya, Ezekiel Gwatengile (kulia) akiwa na mke wake, Esther Gwatengile baada ya kurejesha fomu kugombea ubunge Jimbo la Busokelo. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Mtumishi huyo wa Ofisi ya Makamu wa Rais Kitengo cha...
  13. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mhadhri wa TEHAMA UDSM Mathew Mndeme, autaka Ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki

    Msomi na Mhadhiri wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mathew Mndeme, amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu hiyo, Mndeme amesema kuwa...
  14. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Ndaisaba George Ruhoro atinga na baiskeli kuchukua fomu ya kutetea ubunge jimbo la Ngara

    Mbunge wa jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruhoro amechukua fomu ya maombi ya kuomba tena ridhaa ya kugombea ubunge kwa kipindi kingine cha miaka mitano kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Fomu hiyo ameichukua...
  15. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Aliyekuwa diwani wa Viti Maalum, Veronica Damaso achukua fomu kugombea udiwa wa kata ya Mpiruka

    Aliyekuwa diwani wa viti maalum kata ya Mpiruka wilayani Nachingwea Veronica Damaso Makotha leo juni 30 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea udiwa wa kata hiyo. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
  16. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mwanahabari Aldo Sanga achukua fomu kugombea Udiwani kata ya Ipepo

    Mwanahabari Aldo Sanga amejitokeza kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa Udiwani kata ya Ipepo wilayani Makete mkoani Njombe. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
  17. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Daud Ngassa, ajitosa mbio za ubunge wa Jimbo la Urambo

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daud Ngassa, amejitosa katika mbio za ubunge wa Jimbo la Urambo, mkoani Tabora. Ngassa, ambaye pia amewahi kuwa Katibu wa Umoja wa Vijana Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, amekabidhiwa fomu leo na Katibu wa CCM Wilaya ya Urambo, Himid Tweve. Soma Pia: Uzi maalum...
  18. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mfanyabiashara maarufu, Saimon Masalu alitaka jimbo la Katoro

    nafasi za uongozi kuelekea uchaguzi mkuu, Jimbo la Katoro mkoani Geita limeanza kupata sura mpya ya ushindani baada ya mfanyabiashara maarufu, Saimon Masalu Malando, kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kugombea nafasi ya ubunge. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia...
  19. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Abdallah Nyaligwa, anaishi Uingereza, lakini ajitosa kuwania ubunge Jimbo jipya la Itwangi

    Abdallah Nyaligwa, leo Juni 30,2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania Ubunge wa Jimbo Jipya la Itwangi, ambalo limegawanywa kutoka Jimbo la Solwa. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Nyaligwa mzaliwa wa Itwangi kutoka familia...
  20. Bushmamy

    GE2025 Joshua Nassari achukua fomu ya ubunge jimbo la Arumeru Mashariki

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Magu, Mkoa wa Mwanza, Joshua Nassari leo Jumatatu, Juni 30, 2025 akiwa na fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Nassari amewahi...
Back
Top Bottom