uchukuaji fomu ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Halima Rajabu achukua fomu kuwania nafasi ya udiwani Kata ya Mtoni

    Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Halima Rajabu, amechukua fomu kwa lengo la kuwania nafasi ya udiwani katika Kata ya Mtoni, iliyoko Wilaya ya Temeke, mkoani Dar es Salaam. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
  2. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mshereheshaji Maarufu, Dr. Cheni achukua fomu kugombea Ubunge Jimbo la Kilwa Kusini

    Mambo yamezidi kupamba moto! Mshereheshaji Maarufu nchini Mahsein Awadh Said alimaarufu kama Dr. Cheni ametangaza rasmi kuchukua Fomu ya kutia nia ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Kilwa Kusini. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
  3. peno hasegawa

    GE2025 Aliyekuwa diwani kata ya Boma Mbuzi Juma Raibu, ajitosa kuchukua fomu ya Ubunge jimbo la Moshi Mjini

    Hali hii inatokana na uamuzi wa aliyekuwa diwani wa kata hiyo, Juma Raibu, ambaye ameamua kugombea ubunge katika Jimbo la Moshi Mjini. Uamuzi wa Raibu unatoa fursa adhimu kwa wanachama wa CCM kuonyesha uwezo wao na kujitokeza katika uchaguzi wa udiwani. Hii ni nafasi nzuri kwa wajumbe hao...
  4. W

    GE2025 Kambarage Wasira (mtoto wa Stephen Wasira) achukua fomu ya ubunge jimbo la Bunda Mjini

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kambarage Wasira (kushoto) akichukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea ubunge Bunda Mjini. Kambarage amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumanne Juni 30, 2025 na Katibu wa CCM Wilaya ya Bunda, Evodia Zumba katika ofisi chama hicho wilayani humo.
  5. tamsana

    PreGE2025 Maoni ya Dr. Chris Mauki kuhusu watia nia nafasi za ubunge na madiwani

    Salam wana wataalam wa masuala ya siasa. Dr. Mauki ametoa maoni yake kuhusu watia nia nafasi mbalimbali kupitia ukurasa wake wa Instagram. Unafikiri hoja yake ina mashiko? Jisomee mwenyewe kwenye picha. Ukitaka kujua kuwa hatuko siriaz na umuhimu na sensitiveness ya maamuzi yahusuyo maendeleo...
  6. W

    PreGE2025 Mhandisi Edson Ngabo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) kuteuliwa kuwania nafasi ya ubunge Jimbo la Ileje

    Mhandisi Edson Ngabo June 28,2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) kuteuliwa kuwania nafasi ya ubunge Jimbo la Ileje katika uchaguzi mkuu mwezi Oktoba 2025. Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu hiyo Mhandisi Ngabo amesema ana nia ya dhati kuwatumikia Wana Ileje...
  7. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Teddy Mayunga maarufu kama afande wa TOBOA TOBO achukua fomu ya udiwani viti maalum Nachingwea

    Teddy Mayunga maarufu kama afande wa TOBOA TOBO achukua fomu ya udiwani viti maalum NACHINGWEA
  8. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Sara Msafiri achukua fomu ya ubunge jimbo la Mvomero

    Aliyekuwa DC wilaya3 za Kigamboni, Hanang na Kibaha na mbunge wa viti maalumu kundi la vijana 2010-2015, Bi Sarah Msafiri amechukua leo jimbo la Mvomero akijinasibu kuwa Kasi ya Rais Samia inahitaji mbunge mwenye pumzi na kwamba yeye ndio mtu sahihi kwasasa jimbo la Mvomero kuelekea 2030 Soma...
  9. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Zainabu Hassani ajitokeza kwenye kinyang’anyiro cha kuomba nafasi ya Ubunge Viti Maalumu kupitia UVCCM Shinyanga

    Zainabu Hassani, kiongozi kijana, mtaalamu wa sheria na diplomasia, amejitokeza kwenye kinyang’anyiro cha kuomba nafasi ya Ubunge Viti Maalumu kupitia UVCCM Mkoa wa Shinyanga Kiu na azma yake ni kubeba sauti za vijana wenzake ili zipate kusikilizwa na hoja za vijana zifanyiwe kazi katika ngazi...
  10. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mjumbe Kamati Maalum ya Waziri Mkuu, Award Mpandila achukua fomu ya kugombea ubunge katika Jimbo la Makete

    Mjumbe Kamati Maalum ya Mh. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kushughulikia Kero za Wafanyabiashara Nchini Tanzania na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo JWK na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Makete, Award Mpandila amechukua fomu ya kugombea ubunge katika...
  11. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mhandisi Lightness Salema ajitosa kugombea ubunge jimbo la la Mwanga

    Mhandisi Lightness Ladislaus Salema amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge jimbo la Mwanga mkoani Kilimanjaro. Aidha Mhandisi Lightness Salema ni mzalendo na mpenda maendeleo kutoka Rughwini, Lembeni – Mwanga. Ni mfanyabiashara, mshauri wa maendeleo na mjasiriamali aliyebobea katika sekta...
  12. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Hamis Abeid Baruani achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Ubungo

    Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Wilaya ya Ubungo Ndugu Hamis Abeid Baruani leo 29.6.2025 amechukua fomu rasmi ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi kuwania Ubunge wa Jimbo la Ubungo. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Hii ni mara ya pili kwa Hamis Abeid...
  13. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Gwiji wa uchumi Dkt. Bravious Kahyoza atia nia ubunge jimbo la Muleba Kusini

    Mtaalamu mahiri wa masuala ya uchumi nchini, Dkt. Bravious Kahyoza, amechukua rasmi fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Muleba Kusini mkoani Kagera kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Hatua hiyo inadhihirisha dhamira yake...
  14. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Haran Sanga, achukua fomu kugombea Ubunge jimbo la Kigamboni

    Haran Nyakisa Sanga, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam, amechukua fomu yq kuwania Ubunge wa Jimbo la Kigamboni. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Leo Juni 28, 2025 amejiunga rasmi na wengine waliochukua fomu za kugombea nafasi hiyo...
  15. G

    PreGE2025 Mwitikio huu wa kuchukua fomu CCM: je CCM imeimarika au?

    Nimestushwa na utitiri huu wa Makada wa CCM ambao wanajitokeza kuchukua fomu hasa za Ubunge Majimboni katika siku ya kwanza ya Mchakato huo!Wapo ambao unaweza kusema walikuwa wamekata tamaa kabisa ya kufanya Siasa lakini this Timu wameibukwa pasipo kutarajia! Kwa upande mwingine hii inaonyesha...
  16. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 DJ wa Diamond, RDJ ajitosa kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Mbagala

    DJ wa Msanii Diamond, RDJ amejitosa kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Mbagala Kupitia CCM. RDJ amechukua fomu hiyo leo katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Temeke, zilizopo mtaa wa Taifa Pub, jijini Dar es Salaam. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  17. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Furaha Dominick ajitosa kuchukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe

    Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kutoka Wilaya ya Kinondoni, Comrade Furaha Dominick amechukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe. Tukio hili limekuja baada ya Bunge kuvunjwa rasmi na chama cha CCM kutangaza nafasi za kuchukua fomu za udiwani na ubunge. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
  18. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Kada wa CCM Elias Mdao achukua fomu kuwani Ubunge jimbo la Kongwa

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mtaalamu wa Teknolojia ya Habari, Elias Mdao, leo Jumamosi tarehe 28 Juni 2025, amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Kongwa katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Mdao amechukua fomu hiyo majira ya saa tano asubuhi...
Back
Top Bottom