Habari wana jukwaa!
Kwa kinachoendelea katika kupitisha wagombea na ukitazama walioenguliwa ni dhahiri kabisa kuwa sasa hivi hata upendwe na wananchi wako vipi bila kupendwa na kiongozi wa nchi wewe huwezi kuwa mbunge wao.
Rejea kauli za rais kuhusu wabunge fulani au background ya wabunge...
Mchujo wa majina ya wagombea wa nafasi za udiwani, ubunge na uwakilishi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) unaendelea kote nchini.
Taarifa zinaeleza kuwa huenda majina matatu ya wagombea yakaanza kurejeshwa kuanzia kesho, kufuatia kukamilika kwa kazi ya kuyapitia na kujadili sifa za kila...
Wakati watia nia kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkoa wa Geita wakijitokeza kwa wingi kuchukua na kurejesha fomu za kuomba ridhaa ya kugombea ubunge, Jimbo la Bukombe limebaki na jina moja pekee—Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Doto Biteko, ambaye ameonesha nia ya...
Mark Mabula amechukua na kurudisha fomu leo 02 July,2025 ya kugombea Ubunge jimbo la Nzega Vijijini kupitia chama cha mapinduzi Ccm Wilaya ya Nzega.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Muigizaji nchini Yobnesh Yusuph Hassan maarufu kama Batuli leo amechukua fomu ya kugombea ubunge viti maalum jumuiya ya wazazi bara
Alhamdulilah Leo Tarehe 2/7/2025 Nimechukua Fomu Na Kurudisha Ya Kuomba Kuteuliwa Na Chama Changu Cha Mapinduzi Kugombea Ubunge Wa Viti Maalum Jumuiya Ya Wazazi...
Mkurugenzi Mkuu wa ChiefGodlove Foundation Taasisi yenye malengo ya kusaidia Yatima, Wajane na Watu wasiojiweza Godlove Mwakibete, amechukua na kurudisha fomu ya kutia nia kugombea Ubunge Jimbo la Kyela, Mbeya kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea...
Mwanafunzi wa Sheria katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino cha Tanzania (SAUT), Stephano Joseph (24) maarufu kama 'Steve Magufuli' amejitosa kuchukua fomu kuomba nia ya kugombea ubunge jimbo la Nyamagana kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge...
Nawatakia utulivu wa moyo na kifikra watia nia wote wa nafasi za ubunge na udiiwani kupitia CCM katika kipindi hiki cha joto la mjujo mchujo wa uteuzi kuelekea uchaguzi mkuu.
Binafsi nimechukua na kurejesha fomu za uteuzi nafasi ya ubunge nikiwa na matumaini makubwa mno, kwa haki kutendeka kwa...
Profesa Norman Sigalla King amerejesha Fomu za kugombea nafasi ya Ubunge jimbo la Makete kupitia CCM leo Julai 2, 2025. Prof. Norman ambaye amewahi kuwa Mbunge wa Jimbo hilo anakumbukwa na Wananchi wa Makete kutokana na kufanikisha ujenzi wa Barabara ya Lami kutoka Njombe - Makete.
Pia, miradi...
Hakika huu ni uzalendo. Nawapongeza sana kina Godbless Lema na makada wengine wa CHADEMA kwa kufuatilia kwa karibu zoezi linaloendelea la uchukuaji fomu za kugombea uongozi kwenye vyombo vya dola. Hii ni ishara kuwa watanzania wakiwemo makada wa CHADEMA wana imani na CCM. Makada wengi wa...
Mdau wa maendeleo Mkoani Tabora Shaban Mrutu amechukua fomu kugombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini ikiwa ni mara ya pili, Awamu ya kwanza ikiwa ni Mwaka 2020
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa CCM kutoka mkoa wa Kilimanjaro na Wakili wa Mahakama kuu Bw. Tumsifu Kweka, leo Jumanne Julai Mosi, 2025, amechukua fomu ya kuwania nafasi ya uteuzi wa kugombea ubunge katika Jimbo la Siha, akiahidi kuendeleza maendeleo ya wananchi na kusimamia itikadi ya chama...
Mwanachuo Salvatory Mwakamele ametia nia Udiwani Kata ya Segerea. Mwakamele alishawahi kuwa kiongozi wa Tawi la UVCCM - Chuo Cha Tumaini Dar es Salaam, Mkurugenzi mkazi wa AUSP ( African University student Platform) - TANZANIA.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu...
Kijana mwenye umri wa miaka 28, Ally Ngualo, mkazi wa Naipanga katika Wilaya ya Nachingwea, mkoani Lindi, ametangaza rasmi nia ya kugombea ubunge wa Jimbo la Nachingwea katika uchaguzi mkuu ujao.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Ngualo alisema kuwa sasa...
Faustin Mtui, mwanasheria na mkazi wa kata ya Marangu Magharibi, amejiunga rasmi katika mbio za kuwania nafasi ya ubunge wa Jimbo la Vunjo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiambatana na mbwa maalum wa doria waliompatia umaarufu katika mapambano dhidi ya uhalifu.
Soma Pia: Uzi maalum wa...
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Songwe kupitia CHADEMA ambaye hivi karibuni alitangaza kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM), Bi.Stella Fiyao, amechukua fomu ili kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya ubunge katika jimbo la Ileje lililopo mkoani humo.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia...
Msanii wa Bongo Fleva Dogo Janja ametangaza nia ya kugombea udiwani Ngarenaro.
“Kata ya Ngarenaro nimezaliwa, nimekulia na Nimeishi sasa ni wakati wa Kuwatumikia Wananchi wenzangu na kushirikiana nao katika kusukuma Gurudumu la Maendeleo ya Kata yetu.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia...
Mtangazaji na mtayarishaji wa vipindi wa Azam TV, Timothy Chelula, amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea wa ubunge wa Jimbo la Kongwa, mkoani Dodoma, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025...
Bwana Dunford Mpelumbe naye ajitokeza kuwania kuteuliwa kugombea ubunge jimbo la Masasi kwa tiketi ya chama chake cha CCM.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.