uchimbaji wa madini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Naombeni misaada kwa wanaojihusisha na uchimbaji wa madini

    Habari wa juu Nimekuja hapa kwa lengo moja tu natafuta mtu wa kunishika mkono anayejihusisha na mambo ya madini Mimi ni kijana wa miaka 26 nipo Dar es Salaam Lengo la kuja hapa ni kuomba kama kuna mtu anayejihusisha na maswala ya madini anasehemu ambayo anafanya uchimbaji ambayo anahitaji...
  2. Rweyemamu: Hakuna uchimbaji wa madini utakaoanza Tanzania bila kupitia ngazi zote

    Mwenyekiti wa Chemba ya Wachimbaji madini Tanzania, Mhandisi Filbert Rweyemamu amesema shughuli za uchimbaji wa madini nchini haziwezi kuanza bila kufuata sheria kuu nne zinazolinda masilahi ya wananchi na mazingira. Amesema sheria hizo ni pamoja na Sheria ya Uhifadhi Mazingira ya mwaka 2004...
  3. Kuna brother huku mtaani tangu mwaka 2002 nasikiaga ni mchimba Madini ila hajatoboa kachoka mbaya

    Hii inakuaje wazee Kuna broo huku mtaani kwetu Kila mwaka anasafiri kwenda mikoa mbali mbali kuchimba madini tangia mwaka 2002 ndio kazi yake hiyo cha ajabu hakuna alichofanya hata kiwanja Cha hatua 10x10 hana. Anaishi kwenye upangaji Kila siku kelele na mwenye nyumba Kodi kulipa ni Kwa mbinde...
  4. W

    Kampuni za uchimbaji wa madini ya makaa ya mawe ruvuma zajivunia kusaidia jamii

    Kampuni za uchimbaji wa madini ya makaa ya mawe katika Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma zimeendelea kusaidia jamii ambapo wananchi wanaoishi jirani na migodi wameendelea kunufaika na ajira huku migodi ikiendelea kuboresha huduma za jamii ikiwa ni pamoja na kuchangia ujenzi wa zahanati hali...
  5. Maajabu ya biashara ya uchimbaji wa madini ya dhahabu

    Hi ni biashara pekee ambayo mtu au mchimbaji anaweza kukukopesa hata milioni 50 bila kuandikishana au kuwepo na shahidi yoyote. Ni biashara ambayo mtu anaweza kukuuzia udongo ambao hauna uhakika wa kilichomo ndani. Ni biashara ambayo pamoja na mtu anaweka pesa kubwa, ila wanaamini uchawi...
  6. China imegundua nishati yenye nguvu ya kutoa umeme kwa miaka 60,000 bila kikomo

    💡 Nchi ya China imegundua chanzo Cha nishati mpya isiyo na kikomo inaitwa thorium , imeripotiwa kugundua hifadhi hiyo kubwa ya Thorium katika eneo la uchimbaji wa madini LA bayan Obo huko Mongolia. 💭 Nishati Hiyo ambayo imegunduliwa kwenye Kaya zaidi ya 233 zenye utajiri wa thorium zimeweza...
  7. PreGE2025 Waziri wa madini apiga marufuku wageni kuingia kwenye leseni za uchimbaji mdogo

    Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amepiga marufuku raia wa kigeni kuingia na kufanya shughuli kwenye leseni za uchimbaji mdogo; hii ni kufuatia changamoto zilizobainika katika uingiaji mikataba ya utoaji wa misaada ya kiufundi kati ya wamiliki wa leseni ndogo za uchimbaji madini na raia wa...
  8. A

    DOKEZO Wachimbaji Madini Busolwa - Geita hatutashiriki Uchaguzi kama Serikali haitafungua eneo letu la uchimbaji

    Kijiji cha Busolwa eneo la Nyalugusu Mkoani Geita kuna Wachimbaji Wadogo na Wanachama cha Chama cha Ushirika cha Wachimbaji Wadogo cha Ifugandi wametishia kushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mtaa endapo Serikali haitasikiliza malalamiko ya kufunguliwa kwa eneo lao la uchimbaji baada ya...
  9. Hizo Dhahabu zinazo chimbwa Geita na kwingineko kanda ya Ziwa, mbona bado Umasikini uko juu sana?

    Ukimsikia Raisi anaongea kule Geita unaweza dhania ni eneo lenya maisha ya juu kabisa kwa Raia ila ukweli kuna umasikini mkubwa sana kwa raia pale Geita, nenda huko Geita Vijijini kwa Msukuma kule ndio balaa tupu ni full umasikini wa kuonekana kwa macho. Hio Geita ukisikia wakina Musukuma...
  10. Ubia wa Twiga waongoza mchango wa tasnia ya uchimbaji madini katika uchumi wa Tanzania

    Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa Barrick, Mark Bristow akiongea katika mkutano na waandishi wa habari ,viongozi wa serikali na wadau mbalimbali uliofanyika katika mgodi wa bulyanhulu jana,(Kushoto) ni Naibu Waziri wa Madini, Dk.Steven Kiruswa na (kulia) ni Meneja wa Barrick nchini,Melkiory Ngido...
  11. Serikali kuanza kutumia ‘drone’ kwenye uchimbaji wa madini Kijiji cha Lemishuku

    WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amefanya ziara kukagua shughuli za uchimbaji madini na kusikiliza changamoto za wachimbaji wadogo katika eneo la Lemishuku,Wilayani Simanjiro eneo ambalo ni maarufu kwa uchimbaji wa madini vito ya Green Garnet Waziri Mavunde amepata nafasi ya kukagua uwekezaji...
  12. Tanzania Yasaini Mkataba wa Dola za Marekani Milioni 77 kwa Uchimbaji wa Madini ya Chuma

    Shirika la Maendeleo la Taifa la Tanzania (NDC) limesaini mkataba wa dola za Marekani milioni 77 na kampuni ya Fujian Hexingwang Industry Tanzania ili kuwezesha uchimbaji wa madini ya chuma. Mradi huo utajengwa katika Wilaya ya Ludewa, mkoani Njombe, huku uzalishaji wa chuma wa majumbani...
  13. Uchimbaji wa Madini kwenye Hifadhi ni trela, Move ni kuuza pia baadhi ya hifadhi

    Swala la kuchimba madini kwenye hifadhi za Taifa kuna Move kari sana inachezwa ni kama zile Move za Kihindi, Stering wa move atakufa akiacha move ikiendelea. Target ya kutaka kuchimba Madini kwenye hifadhi za wanyama ni ili kumega na baade kuuza baadhi ya hifadhi kwa kutengua sheria za hifadhi...
  14. KWELI Watetezi TV imewahi kuchapisha taarifa ya Rais Samia akisisitiza kuanza uchimbaji wa Madini kwenye hifadhi za taifa

    Hello JamiiCheck, Nimeona mtandaoni ukurasa wa Mtandao wa X wa Watetezi TV ukikanusha madai ya kuwahi huchapisha taarifa ya Rais Samia akisema kuna madini kwenye baadhi ya hifadhi zetu na yanapaswa kuanza kuchimbwa kwakuwa Simba na Tembo hawali Madini. Wao wanasema akaunti iliyoposti ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…