uchawi upo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi uchawa upo?

    Ni wangapi mpaka sasa tunajiuliza kama nchini Tanzania kuna wachawi kweli? Wale wanaojiita waganga kwanini wasiutumie uganga wao sasa?
  2. M

    Wakuu ni kweli uchawi upo ? Weka tukio hata moja lililowahi kukuta wewe, sio kusikia kwa wengine au vijiweni

    Siamini uchawi, Hakuna uchawi
  3. Je, uchawi upo au ni uzushi tu?

    Wadau naombeni mnijuze maana siamini kama hiki kitu kipo nasikia tu stori kwa watu sijawahi kuthibitisha he ni kweli au ni stori tu?
  4. Uchawi upo, asikuambie mtu

    Walisema Serikali haiamini katika uchawi. Ila uchawi upo na asikuambie mtu aisee nimeona mwenyewe.
  5. Hivi ni kweli uchawi upo Duniani ?

    Hii imekaaje jamani... Leo usiku majira ya sa 8 kasoro niliamka na kutoka nje Kuna kitu nilisahau nilienda kuchukua hapo nje ( ndani ya fence) Nilivyofika kwenye varanda la nje sijui nini kilitokea Mimi nilianguka sehemu ambayo hata mtoto mchanga anayejifunza kutembea hawez kuanguka...
  6. Video: Askari wa Dubai wako serious! Mtanzania akamatwa na Quran feki akiitumia kwa uchawi alipokuwa airport

    Wakuu, Kumbe kwenye masuala ya kudihibiti ulozi nchini mwao, Serikali ya Dubai ndo iko serious hivi? Huyu jamaa kakamatwa Airport na askari wa Dubai akiwa anaingiza mambo yanayohusishwa na shirki au uchawi Kibaya zaidi alikuwa anadanganya kwamba hayo mambo yanahusiana na Uislam na alikuwa na...
  7. Uchawi upo! Ni kama gravitation force, huwezi kuuona ila utaona effect yake

    Hellow wakuu, Nawakaribisha watu wote wanaoishi ktk mfumo wa PENTA LIFE CYCLE yaani primary school---secondary school----high school----college---employment . Hawa ndugu zetu walio wengi hawajawahi kuishi ktk mfumo ulio nje na hiyo life cycle, hawana experience ya masuala ya jadi au imani...
  8. Je ni kitu gani kilikufanya uamini Uchawi upo?

    Kuna wadau wanaamini katika uchawi mdau karibu utujuze je ni jambo gani lilikufanya uamini kuna uchawi?
  9. Uchawi upo, asili yake ni uharibifu, hata mafanikio yatokanayo na ushirikina yana makandokando yasio ya kawaida

    Nitashangaa hadi leo kama bado tutaendelea kufanya debate kuhusu uwepo wa uchawi. Wengi tuna downplay uwepo wa uchawi sio kuwa tuna uhakika kuwa haupo ila basi tu tujioneshe wenye status ya usasa na umjini mjini ila ukweli ni kuwa yajatukuta ya kutukuta. Uchawi sio stori za kufikirika, uchawi...
  10. Mnaoamini kuwa uchawi upo mnatumia vigezo gani?

    Katika miaka niliyo nayo mpaka sasa sijawahi kukubali kuwa eti kuna uchawi sijui mtu anaweza kuloga sijiui mambo yako yasiende. Kama kweli uchawi upo kwanini hao wachawi wasiende benki wakaloga wakachukua pesa. Kama kuna mtu humu ndani alishawahi kulogwa njoo utupe mrejesho ilikuwaje. Pia...
  11. U

    Kama ni kweli Ushirikina au uchawi upo maeneo yote nchini kwanini wengine wamepiga hatua kimaendeleo kuliko wengineo?

    Wadau hamjamboni nyote? Naambiwa kuwa mikoa/ Wilaya/ kata/ vijiji vyote tanzania vina Imani za Ushirikina/uchawi Ndugu kama huo ndiyo ukweli kuwa Imani hizo za Ushirikina ziko maeneo yote nchini, Swali langu kwanini baadhi ya Mikoa imepiga hatua kubwa kimaendeleo na watu wake wamestawi...
  12. PreGE2025 Dr. Dorothy Gwajima amepatwa na nini tena? Kweli Uchawi upo

    Kweli uchawi upo. CCM hawaaminiki kabisa. Huyu Wazir juzi juz hapa tumetoka mpa maua yake. Haujapita mwezi amefanya kituko Bungeni. Hapa ukiuliza shida nini huwezi elewa. Alikuwa amelewa? Alikuwa anafanya masikhara? Mbona haeleweki?
  13. Kwanini serikali haifanyi uchunguzi na kuchukua hatua dhidi ya mila hizi potofu?

    Yah habar ndio hio, wakati Dunia ikizidi kusonga mbele Kwa science na technology, tz ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Hali ni tofauti kabisa , Wao wanarudi zama za mawe (stone Age). Hii habari ime reportwa shinyanga mwaka 2023 July na BBC Swahili, Lakin hatukusikia tamko la serikali, la kufanya uchunguzi AU Hata kukemea...
  14. Dah! Nimeamini Kwenye Mpira uchawi upo, Sio kwa Alichokifanya Ivory Coast leo!

    ***** yaani Mali akanifanya nijione leo namkalisha kanji kipindi chote cha kwanza mpaka cha pili baada ya goli nikajiona nimemaliza kazi! ***** alooo Ivory coast walinishangaza kama mtu kavamiwa na nyuki, sio kwa boli lile jamani ule ni uchawi, yaani timu iko pungufu baada ya red card halafu...
  15. Wasioamini juu ya uwepo wa Mungu wanasemaje kuhusu mchawi aliyedondoshwa na nguvu za Mungu?

    Walitaka "kumshughulikia" Mchungaji aliyekuwa akikwamisha kazi zao, lakini wakaishia kukutana na nguvu za Mungu na hatimaye kiongozi wao kudondoka na ungo. "Atheist" atalichukuliaje tukio hilo? Mungu Yupo, na watu wanaomwamini si wa kuchezewa na wachawi. Video hiyo hapo. Sheria inasemaje...
  16. Kweli uchawi upo kwenye mpira, awa Jwaneng walimfungaje Wydad? Licha ya kukutana pipa na mfuniko bado simba ni wale wale tofauti ni kocha tu!

    Ama kweli la kuvunda alisikiii ubani, Simba kakutana na timu ya ovyo kabisa lakini wanatia huruma! Napata mashtaka awa jwaneng walimfungaje whydad? Nilisikia mashabiki wa whydad walisema jwaneng walishinda kwa ndumba naanza kuamini kwa ninachokiona uwanjani! Mechi hii Simba alitakiwa ashinde...
  17. L

    Kwa uzoefu na uelewa wangu wa soka la Bongo, Leo Azam washinde au washindwe kocha atatimuliwa

    Kiwango cha Azam ni kibovu sana, mtu yeyote mwenye akili hawezi kwenda na kocha huyu, azam wanaongoza bao 2 1 hadi sasa dakika ya 59 lakini nina uhakika hata kama wataiondoa Bahir leo, kocha hana kazi. Timu imesajili vyuma hasa lakini kiwango sifuri, asipofukuzwa kocha kesho mtaniambia
  18. Hii ngoma mpya ya Harmonize isiponyakua Grammy nitaamini uchawi upo

    Asubuhi wakati naingia harakati nipo ndani ya daladala mara ghafla hili goma likapigwa redioni, ebwanaeee. Kila aboria aliyekuwemo kwenye gari akaamuka kuanza kucheza, wakina mama, wakina baba, vijana, wanafunzi nk, wote wakaachia siti zao wakaanza kuyarudi bila aibu. Kulikuwa na abiria wanne...
  19. Nimeamini kweli uchawi upo

    Ilikuwa ni alhamisi wiki iliyopita nikiwa Mbeya uyole niliona kitu cha kushangaza. Leo nawaletea hapa. Siku hiyo nikiwa stend uyole mbeya nikisubiri gari za kwenda Dar maarufu "hakuna kulala" nikiwa sina hili wala lile ghafla mama wa makamo kwa muonekano ni msafiri pia akawa analalamika...
  20. Ni kitu gani kilikufanya uamini uchawi upo?

    Ni kitu ganikilikufanya uamini uchawi upo? Ebu tujuzane hapa ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ