Ndugu zangu Watanzania,
Mwamba Paul Makonda Ataendelea kung'aa Kiuongozi ,kushika nafasi nyeti ,kupaa kiuongozi Kutokana na uchapakazi wake uliotukuka na wa kuleta matokeo chanya na ya haraka. Huyu Mwamba ni kama amekuja kwa kazi maalumu hapa Duniani.
Ni mtu ambaye ukimpatia kazi anaifanya...
Ilani iliyozinduliwa jana na mgombea wa CCM kuinadi, ni ilani dhaifu ambayo haijawahi kutokea naweza kusema hivyo
Je, hii ni kutokana na uwepo wa deni kubwa sana kama nchi au namna gani au ni umahiri na uthubutu na uduni wa kusimamia kwa mgombea wa CCM kuwa chini sana au ni nini?
Haiainishi...
Samia ni kama maji, usipoyanywa, utayaoga. Vijana hawa ambao usoni ni wapinzani lakini kwa macho ya rohoni ni CCM lialia wamemwaga pongezi kedekede zilizojaa mazezele (mafuta mafuta).
Heri Wana Jukwaa na Hongera Kwa majukumu ya leo. Nilipata nafasi kuungana na watanzania na wafiwa katika kumuaga Mhe. Mafuru (Late).
Baada ya jambo Hilo kwisha na viongoz wakuu kuondoka nani nikajitokea mdogo mdogo nikawa nawaaga wajasiria Mali waliokuwa wakiuza leso na maji pale getini...
Bwana yule alipingwa na kuandamwa hasa na daraja la juu(elites) la ndani na nje kwa pamoja kwa sababu hakuwa polished, alikuwa mtu blunt. Mawazo yake yawe mabaya au mazuri alikuwa akiyasema kwa namna ile ile tu bila kuremba, akikichukia alikuwa hajitahidi kuonyesha anakupenda, akikasirika au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.