uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. JamiiForums Tanzania Donald Trump atamshinda Kamala Haris kwa mbali sana Uchaguzi Mkuu Marekani

    Katika ulimwengu huu wenye ubabe mwingi sana wa kitecholojia na uchumi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu. Wamarekani wengi watamchagua Donald Trump ikiwa ni pamoja na vijana wasaka ajira, wamarekani wazalendo na kundi kubwa la undecided. Hawatapendelea tena kuongozwa na mtu myonge kupindukia...
  2. B

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchafuzi wa Uchaguzi wa TAMISEMI 2024 umeuzidi ule wa Magufuli wa 2019

    04 November 2024 Mfano daftari la mkaazi la mtaa lilifungwa likiwa na watu 138 lakini leo tunapokwenda kuelekea kampeni kwa ajili ya uchaguzi idadi inasoma 738 katika kuta za matangazo , hii ina maana msimamizi msaidizi uchaguzi ameongeza watu 600. Hii idadi ya ziada ya watu hewa inakwenda...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ujue uchaguzi wa Marekani (USA) na jinsi rais wake anavyochaguliwa

    Uchaguzi wa rais wa nchini Marekani ni tofauti sana na chaguzi za nchi nyingine duniani Kura wanazopiga wananchi hata mgombea wa urais akishindi kwa wingi wa kura hizo hazimuingizi moja kwa moja mshindi huyo madarakani Kwa kawaida nchini Marekani (USA) uchaguzi wa kumchagua rais wa nchi hiyo...
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: TBC1 kuripoti live MATOKEO uchaguzi Mkuu Marekani

    Katika kuendeleza kufungua nchi. Waandishi wa TBC1 wapo Washington tayari Kwa ajili ya kuripoti MATOKEO ya uchaguzi Mkuu nchini humo.
  5. JamiiForums Tanzania Kuna maisha baada ya uchaguzi

    📖Mhadhara (55)✍️ Waswahili husema; "Mungu hakupi vyote na wala hakunyimi vyote". Hivyo sina budi kusema watanzania hawakunyimwa amani, upendo, na utulivu. Mwaka 2024 & 2025 watanzania wanatarajia kufanya uchaguzi mdogo na uchaguzi mkuu wa kuchagua viongozi wao wa kisiasa. Ni kipindi ambacho...
  6. JamiiForums Tanzania LGE2024 Ikiwa CHADEMA au chama chochote cha upinzani kitapata mtaa au kijiji kwenye uchaguzi huu nipigwe ban milele

    CHADEMA ndicho chama kikuu cha upinzani Tanzania. Viongozi wa CHADEMA kadhaa wametekwa na wahuni na wengine kuuwawa, Serikali imeshindwa hata tu kumshika teja na kumbambikiza kesi ya utekaji na uuaji licha ya kuwa na makachero wanaotengewa billions of Tanzania shillings kila mwaka. Badala yake...
  7. S

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu mbinafsi, hajajiandikisha kupiga kura awapigie wengine lakini 2025 atataka watu wampigie kura

    Tundu Lissu mbinafsi hajajiandikisha kupiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa awapigie wengine waliogombea lakini 2025 atataka watu wampigie kura Hii sio sawa. Ukitaka kupigiwa kura pia wapigie kura wengine. Kura yake muhimu yaweza badili matokeo Sababa kagoma 2025 na yeye anyimwe kura ndio...
  8. JamiiForums Tanzania LGE2024 Chadema kitashinda uchaguzi wa mitaa? Lissu anatumia muda mwingi akiponda raha Belgium, hajishughulishi na lolote

    Nadhani chama kimekata tamaa, kimegawanyika. Nadhani sasa vyama vingine vizibe ombwe hili. Wenzetu wakija kuchochea vurugu, uharibifu wa amani, wana pa kukimbilia, kwa wajomba zao Canada na Ulaya, sisi kwetu ni hapahapa, tupatunze
  9. JamiiForums Tanzania Vyombe vya habari vya Marekani na uchaguzi wao ni somo kwa vyombo vya Tanzania

    Siku nne zijazo wamarekani watapiga kura kuchagua rais na wawakilishi wao. Mwisho wa uchaguzi ni matokeo na namna yatakavyopokelewa na jamii. Vyombo vya habari vya Marekani vimeanza kuandika kwa namna ya kuwapa jamii yao ya mwenendo wa uchaguzi katika hatua zake za mwisho na kutangazwa kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Vyombe vya habari vya Marekani na uchaguzi wao ni somo kwa vyombo vya Tanzania

    Siku nne zijazo wamarekani watapiga kura kuchagua rais na wawakilishi wao. Mwisho wa uchaguzi ni matokeo na namna yatakavyopokelewa na jamii. Vyombo vya habari vya Marekani vimeanza kuandika kwa namna ya kuwapa jamii yao ya mwenendo wa uchaguzi katika hatua zake za mwisho na kutangazwa kwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Bila Taarifa Sahihi hauwezi kufanya Maamuzi Sahihi ikiwemo Kumchagua Kiongozi Sahihi. Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unakuja, unamjua Mgombea wako?

    Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, unaleta nafasi muhimu kwa wananchi kuchagua viongozi watakaoleta maendeleo katika ngazi za karibu zaidi na maisha yao ya kila siku. Uchaguzi huu unahusisha uchaguzi wa viongozi wa mitaa, vitongoji, vijiji, na wajumbe ambao...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali yafunga Mitandao ya Kijamii Siku chache kabla ya Uchaguzi Mkuu

    Serikali ya Kisiwa cha Mauritius imezuia upatikanaji wa Mitandao ya Kijamii kuanzia leo Ijumaa, Novemba mosi hadi Novemba 11, 2024 Siku chache kabla ya Uchaguzi Mkuu Taarifa iliyotolewa na Kampuni ya Mawasiliano ya EMTEL, imesema iliamriwa Alhamisi usiku na Mamlaka ya Teknolojia ya Habari na...
  13. JamiiForums Tanzania Tetesi: Muda wowote kutoka sasa Iran ataishambulia Israel kabla ya uchaguzi wa Marekani November 5.

    Habari za kuaminika kutoka vyanzo vikubwa vya habari duniani kuwa Iran itatekeleza ahadi yake ya kulipiza kisasi kwa nchi ya Israel kutoka sasa na kabla ya uchaguzi mkuu wa Marekani unaotarajiwa kufanyika November 5. Iran preparing strike on Israel from Iraqi territory within days, Axios...
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 TAKUKURU hawana meno kwenye rushwa ya uchaguzi wa ndani CCM?

    Wananchi wa mkoa wa Dar es salama wameandamana mpaka kwenye ofisi zao, wakilalamika juu ya Rushwa, na kuiba kura kwa baadhi ya watinia nia ya uchanguzi wa serikali za mitaa. Swali je, TAKUKURU hawana meno kwa CCM? Chanzo East Africa Tv. ======= Wanachama wa chama cha Mapinduzi kutoka...
  15. S

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi yafungwa Songwe, Wanachama CHADEMA walia kufanyiwa rafu

    Ofisi ya msimamizi wa Uchaguzi kata ya Sogea Mjini Tunduma imefungwa kwa muda usiojulikana katika kipindi hiki cha Uchukuaji na urejeshaji wa Fomu za wagombea huku chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)kikilalamikia kunyimwa nakala ya Fomu walizorejesha kwaajili ya uteuzi wa wagombea...
  16. JamiiForums Tanzania LGE2024 Freeman Mbowe: Pambaneni hakikisheni hakuna kura inaibiwa katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?

    Mwenyekiti wa Chama wa chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema Freeman Mbowe ameungana na wanachama kuwasindikiza wagombea wa vijiji vinne vinavyounda kata ya Machame Narumu, Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro source https://x.com/MwanzoTvPlus/status/1851859898469863604
  17. JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchaguzi serikali za mitaa waandaaji wanafanya hujuma

    Siku ya jana niliamua kwenda kuangalia jina langu kwenye ofisi husika kama tulivyoshauriwa, nilifika kwenye ofisi na kuzikuta karatasi zenye majina zikiwa zimebandikwa ukutani. Karatasi hizo zimeandikwa kwa kalamu yenye wino hafifu kwenye karatasi ya rangi hafifu ya njano hivyo kuyafanya majina...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Wanasiasa mmejipangaje kupunguza tatizo kelele (Noise Pollution) kwenye kipindi hiki cha kampeni za Uchaguzi?

    Wakuu, Jana nilikuwa naangalia takwimu za Watanzania ambao wana matatizo ya moyo kitaalamu Cardiovascular Disease (CVD) Kulingana na report kutoka kwenye tovuti ya Geospatial Health, 13% ya watanzania wana matatizo ya moyo yaani kitaalamu CVD. Hii ikanipa kihali hasa katika kipindi hiki...
  19. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbeya: Wasimamizi katika vituo vya kuchukua na kurudisha fomu uchaguzi serikali za mitaa ni kikwazo kwa wagombea wa upinzani

    Mtendaji wakitongoji cha Idugumbi kata ya utengule usongwe Jimbo la Mbeya vijijini amekimbia Ofisi nakuzima simu zake zote. Kumekuwepo na huu mchezo ofisi za vijiji na mitaa kufungwa muda ambao wagombea wanahitaji kuchukua na kurudisha fomu. Hii ni mbinu ambayo inatumika kuweka ugumu kwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania List ya Celebrities waonamuunga mkono Kamala Vs Trump Uchaguzi wa Marekani

    Mimi kwa mtizamo wangu na kulingana na kura za awali na imani Donald Trump atashinda uchaguzi wa Marekani, ambao unategemewa kufanyika tarehe 5 November 2024. Kwa sasa Marekani inamuhitaji sana mtu kama Donald Trump kwani Marekani ina maadui wengi hivyo inahitaji Raisi shupavu, kete hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…