uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. JamiiForums Tanzania Hawa ndo watu maarufu wasiopendwa zaidi Tanzania kwa sasa, hata wakianguka Watanzania watawapita kama wanaaga marehemu

    Wakuu, Huu uzi ni kwa ajili ya reference tu. Siku mambo yakirudi kuwa normal watu wapate reference Hawa wasanii kwa sasa ni lazima wawe na security guards maana ni hawakubaliki kabisa mtaani. Huyu Queen Darleen ndo alikuwa ana-advocate Watanzania wavunjwe miguu a few days before Uchaguzi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Salim Ahmed Salim na uchaguzi

    SALIM SALIM SOUNDS OFF ON ELECTIONS, POLITICAL MACHINATIONS, PROSPECTS FORVIOLENCE IN ZANZIBAR Date:2005 May 17, 13:28 (Tuesday) Original Classification: CONFIDENTIAL Classified by Charge d'Affaires Michael S. Owen United States Embassy, Dar es Salaam, Tanzania In a wide-ranging two-hour...
  3. JamiiForums Tanzania Je, wakati wageni wanamiminika kwa wingi kuja Tanzania kuleta fujo JWTZ wenye jukumu la kulinda mipaka walikuwa wapi?

    Haya Samia kasema walioandamana siku ya uchaguzi walitoka nje ya nchi, tunajifanta kukubaliana naye. Je, JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi na usalama wenye jukumu la kulinda mipaka yetu walikuwa wanafanya nini wakati wageni waleta fujo wanaingia nchini? Mbona hakuna wageni waliokamatwa baada...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watuhumiwa 93 wa kesi ya kudai uchaguzi huru na wa haki, na mabadiliko ya katiba wamefikishwa mahakamani wakiwa wanalia, je wanateswa vizuizini ?

    Watuhumiwa 93 wa kesi ya kudai uchaguzi huru na wa haki, na mabadiliko ya katiba wamefikishwa mahakamani wakiwa wanalia, je wanateswa vizuizini ? Vyombo vya habari vya ndani vimechapisha vijana hao wasio na hatia walionekana kwenye vilio, ikumbukwe vyombo vya usalama vimeshtumiwa zaidi ya mara...
  5. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais unda tume ya kuchunguza mauaji ya halaiki wakati wa uchaguzi na si uvunjifu wa amani

    Correct naming ni hiyo. Tusimpambe maiti kuwa amesinzia. Ni kuwa Mwanadamu amekufa.
  6. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tatizo la Mtandao Tanzania kipindi cha Uchaguzi: Uchambuzi wangu wa kitaalamu na ushauri ili kukabiliana na janga hili

    Tanzania ilipitia kipindi ambapo internet haikuweza kufunguka vizuri, jambo lililochangia kuchanganyikiwa kwa watumiaji wengi. Utafiti na uchambuzi wangu wa kitaalamu kabla na baada ya kufungwa na kurudishwa kwa mtandao nimebaini kwamba tatizo halikuhusiana na kuzimwa kabisa kwa mtandao, bali...
  7. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Wanaotoa takwimu za vifo wakati wa uchaguzi ni uchochezi

    Akiongea na waandishi wa Habari, Msemaji wa Serikali amesema idadi ya waliofariki na kujeruhiwa inatakiwa kutolewa na vyanzo rasmi vyenye mamlaka ambavyo vimefanya tathmini, kwa sasa wanaotoa takwimu hizo ni uchochezi.
  8. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Vyombo vya habari vya nje vimechapisha na kutangaza taarifa za upande mmoja na kupotosha kuhusu machafuko wakati wa uchaguzi

    Msemaji Mkuu wa Serikali amedai kuwa Vyombo vya habari vya nje vimeandika habari ya upande mmoja kuhusu machafuko wakati wa uchaguzi "Kumejitokeza wimbi kubwa la vyombo vya habari hasa vyombo vya habari vya nje kuchapisha na kutangaza habari ambazo ni za upande mmoja na wakati mwingine kufanya...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchaguzi umepita, tujikite kwenye hoja za kusaidia wananchi

    Hakuna mwanasiasa anayesapoti mauaji na wala hatotokea ,wote watakana kuhusika ...it is done! Kamwe usijiingize kwenye vurugu na kamwe usifikiri kutumia nguvu kufanikisha jambo lako unless una nguvu ya ziada. sasa tujenge Taifa na tukutane 2030
  10. JamiiForums Tanzania Tume ya Uchunguzi wa Uvunjifu wa Haki na Amani Katika Wiki ya Uchaguzi Mkuu 2025: Naomba Nakala ya Tangazo Husika Katika Gazeti la Serikali

    Wadau, Kwa mujibu wa kifungu cha 20 cha Sheria ya Tume za Uchunguzi (Commissions of Inquiry Act), Sura ya 32, Toleo la 2023, Rais anapounda Tume ya Uchunguzi husika, Tume hiyo inapaswa kuanza kazi baada ya Uamuzi wa Rais kuchapishwa kwenye Gazeti la Serikali . Taarifa ya gazetini inapaswa...
  11. JamiiForums Tanzania Hakutegemea baada ya uchaguzi bandia hali itakuwa hivi na anazidi kufanya makosa na tume yake ya uongo

    Hakutegemea baada ya uchaguzi bandia hali itakuwa hivi na anazidi kufanya makosa na tume yake ya uongo. Hakuna anaye mtawala.
  12. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CNN Evidence: Tanzania Police Killed Protestors

    In the chaotic aftermath of Tanzania’s disputed presidential election last month, police and gun-wielding men on patrol shot at groups of protesters, many of whom appeared unarmed or were holding only rocks and sticks, a CNN investigation has found. Geolocated videos from the scenes, audio...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchunguzi wa CNN: Madaktari waliambiwa na polisi wasitibu waliojeruhiwa, bali wawapeleke Mochwari wafie huko!

    Wakuu, Ripoti ya CNN imetoka, watu wenggi wametuma shuhuda zao na kuthibitisha yaliyotokea. Katgi ya hayo ni madkatri waliosema polisi walikuwa wakiwakataza wasitibu wale waliojeruhiwa, badala yake wapelekwe mochwari wafie huko.
  14. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, Dkt. Lazarus Chakwera ni Mjumbe Sahihi kuongoza maridhiano Tanzania baada ya Uchaguzi?

    Hivi kiongozi aliyeshindwa kusimamia mageuzi na uwajibikaji nchini kwake anaweza kweli kuongoza upatanishi nchini Tanzania? Jumuiya ya Madola (Commonwealth) imemteua aliyekuwa Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera, kuongoza jitihada za maridhiano nchini Tanzania. Hata hivyo, rekodi yake ya uongozi...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msimamo wa CHADEMA kuhusu tume iliyoandaliwa kuchunguza “matukio ya uvunjifu wa amani” baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025

    MSIMAMO WA CHADEMA KUHUSU TUME ILIYOANDALIWA KUCHUNGUZA “MATUKIO YA UVUNJIFU WA AMANI” BAADA YA UCHAGUZI WA OKTOBA 29, 2025 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma wa Watanzania na Jumuiya ya Kimataifa kwamba haiitambui Tume ya Uchunguzi iliyoteuliwa na Ndg. Samia...
  16. JamiiForums Tanzania Mdau ameongezea ufafanuzi kuhusu tume ya kuchunguza vurugu za uchaguzi

    Mdau ameweka ufafanuzi kwenye majina ya tume ya kuchunguza vurugu za uchaguzi. Angalia kushoto mwa kila jina… Angalizo: ni tume ya kuchunguza vurugu, siyo vifo.
  17. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche: Uchaguzi wa Rais Samia ni Matusi kwa Watanzania

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokradsi na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizunguma leo Novemba 19, 2025 amesema kuwa Uchaguzi wa Rais Samia ni matusi kwa watanzania akilinganisha na chaguzi zilizopita 2015 kati ya Hayati Rais John Pombe Magufuli na Hayati edward Lowassa na chaguzi ya 2020...
  18. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: Maandamano wakati wa uchaguzi Oktoba 29 yalilenga kuharibu mali za Waislam tu halafu TEC wanataka amani, we cannot accept

    Wahadhiri wa Kiislam kwa pamoja wamesema Maandamano wakati wa uchaguzi yalilenga kuharibu mali za Waislam tu halafu TEC wanataka HAKI, we cannot accept this
  19. JamiiForums Tanzania Nawakumbusha viongozi wa Vyombo vya Dola: Utekaji unaoendelea baada ya kiini macho cha uchaguzi siyo afya kwa jamii, mnachochea moto

    Mimi najiuliza hivi ni kweli IGP wambura hana washauli wazuri wakumshauli namna bora ya utendaji kazi wa jeshi la polisi katika kutekeleza majukumu yake zaidi ya haya mambo yanayoendele ya utekaji baada ya kiini macho cha uchaguzi yaliyofanyika october29. ? Hawa viongozi hawajui kama kuendelea...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wanaokataa Maridhiano msiwaite sio wazalendo. Nanyi mlikataa maridhiano kabla ya Uchaguzi na mlikuwa mnaonywa, hamkusikia

    Wakati huu kumezuka rundo la maandiko, Nasaha kutoka kwa watu mbalimbali Nchini Tanzania Ma Prof, watu wenye nyadhifa mbalimbali za Juu na ndogondogo. Wote hawa wanasemea Taifa kuliunganisha na wanakua wakali na kusema wale wanaosema D9 na kusema serikali iwajibishwe juu ya kile kilichotokea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…