uchaguzi wa haki

General elections were held in Tanzania on 25 October 2015. Voters elected the president, members of Parliament, and local government councillors. By convention, the election was held on the last Sunday of October and was supervised by the National Electoral Commission (NEC). Political campaigns commenced on 22 August and ceased a day before the elections.
The incumbent president, Jakaya Kikwete, had served out two terms, the maximum allowed under the law, and was ineligible to run for a third term. Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant ruling party, selected Works Minister John Magufuli as its presidential nominee instead of the front-runner, former Prime Minister Edward Lowassa. After failing to secure the CCM's nomination, Lowassa defected to the opposition Chadema party despite it once labelling him as "one of the most corrupt figures in Tanzanian society". This year's election was seen as the most competitive and unpredictable in the nation's history.
The government had warned politicians to refrain from engaging in witchcraft, and a deputy minister told parliament that reports linking politicians with the killings of people with albinism could be true as it increases during the election period. A ban on witch doctors was imposed in January 2015, as some of them condone the killings due to superstitious beliefs that the victims' bodies "possess powers that bring luck and prosperity".
On 29 October, CCM's Magufuli was declared the winner of the presidential election ahead of Chadema's Lowassa, who has yet to concede amid a dispute. In the National Assembly election, the CCM maintained its supermajority in parliament, but key figures in the previous cabinet suffered defeats in their constituencies. Chadema securing its largest-yet number of seats.

View More On Wikipedia.org
  1. baz kaiza

    Uzuri ni kwamba tumejua CCM itaondoka madarakani sio kwa box la kura bali ni kwa Nguvu ya Umma

    Watanzania wote wenye akili timamu na wananchi wote wamejua kupitia uchaguzi wa mwaka huu kwamba CCM haiwezekani kuondoka madarakani kwa box la kura na box la kura ni utapeli mtupu baada ya wananchi 98% kuonekana wamepiga kura kitu ambacho ni Uongo...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    PreGE2025 Tunahitaji Reforms ili uchaguzi wa Haki Ufanyike

    Nipo Salama! Hofu Kwenu! Tunahitaji reforms sio kwaajili ya Chama Fulani bali kwaajili ya vyama vyote. Reforms kwaajili ya CCM, Reforms kwaajili ya CHADEMA, Reforms kwaajili ya vyama vyote vya siasa nchini. Reforms kwa Sisi tusio na vyama lakini ni wapiga Kura. Reforms ambazo zitafanya...
  3. 888I

    PreGE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) boresheni haya kwa huu muda uliobakia

    (Sehemu ya Pili – Mapendekezo ya Maboresho ya Kimuundo na Kiutendaji) 1. Uteuzi wa Viongozi wa INEC Kwa sasa, Rais ndiye mwenye mamlaka ya kuteua Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, na Makamishna wa Tume. Hii inaleta wasiwasi kuhusu uhuru wa Tume, hasa ikizingatiwa kuwa Rais ni kiongozi wa chama...
  4. Waufukweni

    PreGE2025 Dkt Tulia: Tuombee uchaguzi, viongozi wapatikane kwa haki

    Spika wa Bunge na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson ametumia mazishi ya aliyekuwa Askofu Mkuu wa kwanza wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Askofu Immanuel Lazaro kuwataka Watanzania kuliombea Taifa katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu ili viongozi wapatikane kwa...
  5. M

    Uchaguzi wa haki na huru CHADEMA, Mbowe kukiri kushindwa kazi iliishia hapo

    Kitendo cha kuendesha uchaguzi wa haki na huru na Mbowe kukubali kiwa Lissu alishinda kazi iliishia hapo. Iwapo Mbowe asingeruhusu kufanyika uchaguzi wa haki huru na wazi chadema isingekuwepo. Kwa hili nampongeza Mbowe, Lissu na Wanachadema wote. Heshima na msingi wa uimara wa chadema uko hapo...
  6. Genius Man

    PreGE2025 ACT wazalendo kushiriki uchaguzi wakati bado hakujafanyika mabadiliko yoyote yale ya kufanya uchaguzi wa haki alafu wanategemea kupata haki ipi ?

    ACT wazalendo wameamuwa kushiriki uchaguzi bila kuwepo kwa mabadiliko yoyote yaliyofikiwa hadi sasa ya kiuchaguzi ili kuifikia haki hiyo ya uchaguzi kuwa huru na wa haki kama wanavyo hubiri kwenye vyombo vya habari. sasa swali wanapo sema wanataka kushiriki kwenye uchaguzi bila mabadiliko hayo...
  7. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Sheikh wa Mkoa wa Mbeya, ampongeza Rais Samia kuimarisha Demokrasia na kuleta matumaini ya uchaguzi huru na wa haki, 2025

    Sheikh wa Mkoa wa Mbeya, Msafiri Ayasi Njalambah, amesisitiza kuwa amani na utulivu ni fahari ya Jiji la Mbeya na msingi wa maendeleo endelevu. Sheikh Njalambah amepongeza juhudi za Serikali ya Tanzania katika kujenga jamii yenye umoja na mshikamano, akisema kuwa Serikali imekuwa mstari wa...
  8. Genius Man

    kwa hii tume anayounda mgombea wa chama tawala tutegemee kitendo cha kujiteuwa na sio uchaguzi wa haki

    Katika uhalisia ndani ya taifa mgombea wa chama tawala ndio anajiundia tume mwenyewe hii sio demokrasia wakati nchi inawagombea zaidi ya mmoja na inamfumo wa vyama vingi vya siasa na ina wataalamu wa kisiasa kwanini mgombea anaunda tume ? Nilishauri tume huru kuundwa na wataalamu wa masuala ya...
  9. Mindyou

    PreGE2025 Lissu ataka mabalozi wa nchi mbalimbali wawepo kama waangalizi wa Uchaguzi wa ndani ya CHADEMA ili "kuongeza macho"

    Wakuu, Kumbe suala la wizi wa kura haliko ndani ya CCM tu, hadi huko CHADEMA mambo yanaonekana kuwa moto. Lissu akiwa anazungumza leo amesema kuwa ameishauri kamati kwamba wawepo mabalozi au wawakilishi wao ambao watakuwa kama wangalizi wa Uchaguzi wao wa ndani ya chama. Haya ndiyo maneno...
  10. Mr Why

    Mh Mbowe amewaasa CHADEMA kushiriki uchaguzi wa haki ili ulimwengu wote uone uaminifu wao mkubwa wa kuhesabu kura kwa haki

    Mh Mbowe amewaasa CHADEMA kushiriki uchaguzi wa haki ili ulimwengu wote utambue uaminifu wao mkubwa wa kuhesabu kura kwa haki Amewaomba akina mama waliomlipia fomu wawaombee CHADEMA lakini pia waongeze maombi mengi kwaajili yake
  11. Waufukweni

    LGE2024 Wananchi Dodoma: Tunataka kupita katika uchaguzi wa haki na huru

    Baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Dodoma wameviasa vyama vya siasa nchini kudumisha amani wakati wa kukamilisha michakato ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024 Pia, Soma: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma 2024 Kadhalika, wameishukuru...
  12. Roving Journalist

    LGE2024 Ado Shaibu: ACT haturidhishwi na uandikishaji, Bila uandikishaji wa Haki, hakuna uchaguzi wa Haki

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema chama hicho haridhishwi na zoezi la uandikishaji wa Wapigakura linaloendelea hivi nchini. Ado Shaibu ameyasema hayo leo Oktoba 13, 2024 wakati akizungumza na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya ACT Wazalendo, Dar es salaam. Amesema: "Bila...
  13. I

    PreGE2025 Mambo haya yanapaswa kufanyika ili uchaguzi uwe huru na haki

    Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024, kuna mambo kadhaa muhimu ya kuzingatia ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa haki: 1. Elimu ya Mpigakura: Wananchi wanapaswa kupewa elimu ya kutosha kuhusu haki zao za kupiga kura, mchakato wa uchaguzi, na umuhimu wa kushiriki kwenye uchaguzi. Hii...
  14. Kaka yake shetani

    PreGE2025 Huyu ndiyo waziri anayetupa majibu kuwa hakuna uchaguzi wa haki hapa Tanzania

    Ukweli ufichwi mtaficha nyie hapa JF ila kumbuka hupo sehemu hata jf uwezi kuwepo. PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Nape asilaumiwe, hata Rais Samia aliwahi kunena kauli inayoendana na yake
  15. T

    Kwa upepo Tundu Lissu anaowajaza wananchi, bila uchaguzi huru na haki 2025 tutarajie mazito

    Hakuna namna Lissu hataki siasa za maridhiano za Mbowe na kwenda kulia lia kwa wakubwa wa Dunia baada ya kujitoa pale rafu zinapokithili. Lissu anasema ukiteuliwa na Chadema ukajitoa au maafisa uchaguzi ngazi za vijiji na kata wanaoishi nao au polisi wakishiriki kuiba kula itakuwa halali yao...
  16. R

    PreGE2025 Huko Afrika Kusini ANC imepigwa kipigo cha mbwa mwitu kwenye Uchaguzi. Je, huku kwetu CCM watakubali Uchaguzi Huru na wa Haki?

    Kilichotokea Kenya kikaua KANU kinakwenda kutokea Afrika Kusini. ANC imemeguka makundi kama ambavyo KANU ilimeguka kisha ikafa. Kifo cha KANU Kenya kilizalisha mapinduzi makubwa kisiasa na kiuchumi. Kupitia kifo cha KANU; 1. Walipata katiba nzuri 2. Wakapata tume huru ya uchaguzi 3. Wakapata...
Back
Top Bottom