ubunge kigamboni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    GE2025 Yericko Nyerere achukua fomu kuwania Ubunge Kigamboni, ahaidi kufanya mabadiliko

    Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Yericko Nyerere amechukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Kigamboni mkoani Dar es Salaam Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu kwa msimamizi wa Uchaguzi wa Wilaya ya Kigamboni, Yericko amesema kuwa Wanakigamboni wanahitaji mabadiliko, na kwamba...
  2. ngara23

    GE2025 Eng Hersi Said aachwa ubunge Kigamboni Shafii Dauda apeta Temeke

    Kamati kuu umegoma kulipitisha jina la Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa vilabu vyote Africa Eng Hersi Said kugombea kupitia CCM Jimbo la Kigamboni, Shafii Dauda akipita huko Jimbo la Temeke Sasa rasmi Rais wa Yanga Eng Hersi Said atajikita zaidi kwenye football
  3. Waufukweni

    GE2025 Rais wa Yanga, Mhandisi Hersi achukua fomu ya kuomba kuwania ubunge Kigamboni

    Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said leo Jumamosi, Juni 28, 2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Kigamboni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hersi amechukua fomu hiyo katika Ofisi ya CCM Kigamboni na amekabidhiwa na Katibu wa CCM wa Kigamboni...
  4. GENTAMYCINE

    Mangungu tayari uliyekuwa ukimuuzia Simba SC na kila mara wana Simba SC tunalia nao keshachukua Fomu ya Ubunge Kigamboni nawe yako unaichukua lini?

    Na GENTAMYCINE nina TAARIFA za uhakika kuwa yule MNAFIKI Mstaafu wa Chalinze Bagamoyo Kawe Beach katika moja ya Mkakati wake mkubwa nawe dhidi ya Simba SC alikuhakikishia kuwa hakikisha wana Simba SC wanalia kila mara wakikutana nao ili huu mwaka akufanyie Mipango kwa yule ANAYEMMUDU sasa...
  5. GENTAMYCINE

    Niliposema hapa hapa JamiiForums kuwa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said anajipendekeza Serikalini na CCM kwa Ajili ya Ubunge Kigamboni mkanibeza

    Rais wa Klabu ya Yanga Injinia Hersi Said leo Juni 28, 2025 amechukua rasmi fomu ya kuwani Ubunge katika Jimbo la Kigamboni lilipo Jijini Dar es Salaam kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Hersi amekua miongoni mwa watu mashuhuri wanaokubalika katika jamii kutokana na uongozi wake...
  6. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Kigamboni: Mwana CCM Habib Mchange akamatwa na TAKUKURU kwa Rushwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemkamata mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Habibu Mchange kwa tuhuma za rushwa inayohusishwa na uteuzi wa ndani ya chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu. Mkuu wa TAKUKURU kanda ya Temeke, Joseph Makungu amesema...
  7. M

    PreGE2025 Makonda: Nimenogewa na Ukuu wa Mkoa Arusha, sijui kama nitagombea ubunge Kigamboni

    “Kaka yangu Jafo [Waziri Selemani Jafo] unafahamu 2020 niligombea kule Kigamboni, sina uhakika sana kama nitaenda kwenye jimbo Kigamboni, ni kama vile nimenogewa na hii kazi aliyonipa Dkt. Samia hapa Arusha." Pia soma Pre GE2025 - Makonda ajaribu tena bahati yake Kigamboni Pre GE2025 -...
Back
Top Bottom