ubunge 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Jelly Silaa amaliza ubunge 2025 kwa maumivu, aswekwa ndani akidaiwa kutaka kupindua matokeo.

    Miongoni mwa mawaziri wote wa Baraza la Mawaziri la 2020-2025, Jerry William Silaa peke yake ndiye waziri aliyeanguka ubunge hivyo kupoteza sifa ya kuteueliwa kuwa waziri tena kwenye baraza lijalo. Jerry Silaa aligombea ubunge 2025-2030 kwenye Jimbo la Ukonga, Ilala jijini Dar es Salaam kupitia...
  2. figganigga

    GE2025 Waliozawadiwa Ubunge 2025 mbona hawa furaha?

    Wagombea ubunge walioshinda 2025, kwenye uchaguzi mkuu Tanzania nilitegemea Washangilie. Wapo kimya. Walioshinda na walioshindwa nyuso zinafanana. Au nafsi zinawasuta? Naoomba mle chakula kwa mikono. Sababu mikono yenu imejaa damu za binadamu. Si ndicho mlitaka? Uzzuri hakuna Mbunge wa...
  3. funaku

    Walioshinda nafasi za ubunge 2025

    Thread hii ni kwa ajili ya kuwatambua wabunge wateule kwa kila jimbo kufuatia uchaguzi wa 2025. Tuma jina la Mbunge mteule wa jimbo lako hapa
  4. Mhaya

    GE2025 Watoto na ndugu wa familia za viongozi wakuu wa nchi waliojitosa kuwania ubunge 2025 na kupita kamati kuu

    Wakati wewe unachangaa na Mwijaku kukosa ubunge, pembeni kuna familia za viongozi wameamua familia nzima ziingie bungeni. Miongoni hapo chini ni wanafamilia wa familia za viongozi wanaowania ubunge 2025 na wamefanikiwa kupita kamati kuu Familia ya Rais SAMIA SULUHU HASSAN 1. Mtoto - Wanu...
  5. Mindyou

    Huyu Wakili Ukashu ameelezea vizuri sana kwanini watu maarufu wanapenda kwenda Bungeni. Neema iliyopo kwenye Ubunge ni kubwa sana

    Wakuu, Hili suala la watu maarufu kutaka kuwa wabunge na kuacha kazi walizonazo naona huyu jamaa ameielezea vizuri sana. Huyu ni Wakili anaitwa Emmanuel Ukashu ameelezea kwanini watu maarufu wanapenda kuwa wabunge. Hapa walikuwa kwenye mjadala hapo TBC uliofanyika a few days ago
  6. M

    GE2025 Hivi kwanini kazi ya ubunge isiwe na kipindi cha kujitolea kama kazi zingine?

    Hivi kwanini kazi ya ubunge isiwe na kipindi cha kujitolea kama kazi zingine? Mtu akishachaguliwa ajitolee mwaka Mmoja au miwili baada ya hapo akiwa ameonesha uwakilishi mzuri apewe ajira Kwa miaka iliyobaki.
  7. The Zanzibar Echo

    Ni nani waziri mkuu ajaye?

    Baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutangaza leo kutokugombea tena nafasi ya ubunge bila shaka sasa lazima baada ya uchaguzi mkuu kutapatikana waziri mkuu mpya Kwaio guys njoon hapa tutabiri nani atakua wazir mkuu anaefata
  8. A

    Kisa ubunge 2025 wenye nia ovu waanza kumchafua Mkurugenzi wa Msama promotion!

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama amewataka Watanzania kutozitilia maanani na kuzipuuza habari zinazosambaa mitandaoni kwamba, amefukuzwa kwenye nyumba yake iliyopo Upanga jijini Dar es Salaam. Msama amesema hayo leo jijini Dar es Salam kuwa kuna baadhi ya watu wenye...
  9. A

    PreGE2025 Iringa Mjini wamtaja Daudi Masasi ubunge 2025

    Anaitwa Daudi Masasi. Huyu ni mzaliwa wa Iringa pande za Nyanda za Juu Kusini. Mbali na kuzaliwa na kukulia Iringa pia ni mfanyabiashara kwa muda mrefu akiwa pia mdau wa habari. Alianza kuvuma mwaka 1996 alipoanza kutoa Jarida la Burudani lililojulikana kwa jina la Tabasamu. Jarida la Tabasamu...
  10. R

    PreGE2025 Wameanza kuombewa na Masheikh mixa Wachungaji, muda si mrefu waganga wanarudi kwenye soko. October pamoto!

    Waziri wa Mawasiliano na Mbunge wa Jimbo la Ukonga Jerry Silaa, amefanyiwa Maombi, kuombewa Dua na kuchangiwa Fedha ya kuchukua Fomu Jimboni ukonga "Nawashukuru sana sana sana wenyeviti wa serikali za mitaa wa Tarafa ya Ukonga hususan Jimbo la Ukonga kwa upendo wao, kunichangia fedha za fomu...
  11. K

    Dear Gwajima, soma Danieli 5:25. Mene, mene, tekeli, na peresi. Ubunge wako huwezi kuulinda kwa kuzitisha mamlaka

    Mama, Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Rais na Mwenyekiti wangu wa chama Dk Samia Suluhu Hassan. Kawe kuna Mbunge anaitwa Gwajima. Anajiita Askofu na ana kanisa lake. Huwa anajinadi kuponya vilema na kufufua wafu japo hataki kwenda Muhimbili kuponya walemavu wala makaburini kufufua. Mwigizaji pia...
  12. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mohammed Kawaida: Sina mpango wa kugombea Ubunge kwani nataka nikitumikie chama changu cha CCM

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Mohammed Kawaida amesema kwasasa hana mpango wowote wa kugombea Ubunge kwani anataka akitumikie Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
  13. Just Pray

    PreGE2025 Madereva daladala jiji la mbeya wamtaka Dkt. Tulia kugombea tena ubunge 2025

    Wakuu Umoja wa Madereva na Makondakta wa Daladala Mbeya Jiji (UDEKO) umetoa wito kwa Mbunge wa Mbeya Mjini na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, kugombea tena Ubunge katika jimbo hilo kutokana na kazi nzuri aliyoifanya katika kipindi chake cha uongozi...
  14. A

    Christian Bwaya kuhusu mipango ya muda mrefu na muda mfupi ya wabunge

    Akijibu hoja ya ukomo bungeni, Christian Bwaya ameandika: "Wabunge wengi wana mipango ya muda mrefu kaka. Tuwaelewe.Miaka mitano ya mwanzo —kulipa madeni makubwa ya uchaguzi. Miaka mitano ya pili —kufanya uwekezaji mkubwa ili kuwa na nguvu ya kichumi. Kuingia rasmi kwenye tabaka tukufu.Miaka...
  15. aka2030

    Wanamuziki waliopanga kugombea ubunge 2025

    Wengi ni baada ya kuvutiwa na Sugu Prof jay Na sasa Mwana FA Ay - isimani Fid Q - Nyamagana Madee - ubungo Japhet zabron - kahama
  16. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Ruvuma: Wazee wa Madaba wamuomba Dkt. Joseph Mhagama agombee tena Ubunge 2025

    Naona wazee wamesha lamba asali na imekolea utamu! Mpaka nao hawana maana wamekalia uchawa! Tunaenda wapi? Taratibu CCM wanaanza kuingiza mambo za kupita bila kupingwa, tusipokaa vizuri hii itasongea mpaka kwenye uchaguzi Mkuu warudishe mambo mambo za 2020. Imeanza kwa Samia na Nchimbi...
  17. Rijali jandoni

    PreGE2025 Barua yangu kwa Rais, wagombea ubunge 2025 na Mawaziri

    Habari wanajamii napenda kumshukuru MWENYEZI MUNGU mwingi wa rehema kwa kutupa neema hii ya pumzi mpaka muda huu Barua yangu hii fupi naomba niweke mahususi kwa viongozi wa nchi wakiongozwa na Mheshmiwa Raisi na wasaidizi wake wote katika kila taasisi naimani ni wenye afya na mko salama...
  18. Just Pray

    PreGE2025 Video: Baba Levo amsisitiza Vunja bei aache uoga akagombee ubunge 2025

    Wakiwa katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM msanii maarufu Baba Levo akiwa na mfanyabiashara mkubwa Tanzania Fred Vunjabei Babalevo amemtaka mfanyabiashara huyo kuacha uoga kutaka kugombea kiti cha ubunge katika uchaguzi wa mwaka 2025.
  19. Cute Wife

    PreGE2025 Kitila Mkumbo: Nimejipanga vilivyo kugombea Ubunge 2025, msije kudharau nyoka mdogo sumu ni ile ile!

    Wakuu, Kash kash zimeanza rasmi sasa! ===== Mbunge wa Jimbo la Ubungo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, Januari 1, 2025, amewahutubia wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wa Jimbo la Ubungo katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya iliyofanyika Ubungo Plaza...
Back
Top Bottom