ubalozi wa tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    DOKEZO Mabinti wanafanya kazi uarabuni wanateseka hawana msaada Ubalozi wako kimya!!

    Mabinti zetu waliopelekwa kufanya kazi uarabuni kutokea Tanzania wanasoma huko uarabuni baada ya kushindwa kuvumilia unyanyasaji wanaofanyiwa na waajiri wao huko Oman. Inasemekana wazi Hana hao wanateseka sana hata chakula kwao ni shida na Ubalozi watu haw awasaidie chochote picha I ni wake ya...
  2. H

    Kikao cha pamoja baina ya Ubalozi wa Tanzania nchini Uswidi, kampuni ya Raddy Energy, Benki ya CRDB na wawakilishi wa taasisi za fedha

    Kikao cha pamoja baina ya Ubalozi wa Tanzania nchini Uswidi, kampuni ya Raddy Energy, Benki ya CRDB na wawakilishi wa taasisi za fedha za Serikali ya Uswidi wakiendelea na kikao jijini Stockholm, hivi karibuni.
  3. Genius Man

    PostGE2025 Marekani: Watanzania waandamana kwenye ubalozi wa Tanzania

    Watanzania na wanajumuiya wa Afrika Mashariki wamekuwa na maandamano makubwa mbele ya ubalozi wa Tanzania na wameweza kupeleka ujumbe kwa dunia kuwa SAMIA ni rais haramu na tunahitaji ndugu zetu waliotekwa warudishwe na waliouwawa miili yao irudishwe. DUNIA imeona na watanzania tumeona jinsi...
  4. Q

    Gen Z wa Kenya wamepanga kuandamana tarehe 9/12 kuelekea ubalozi wa Tanzania Nairobi

    Wanasema wataandamana kuunga mkono maandamano ya jirani zao GenZ wa Tanzania waliopanga kuandamana siku hiyo.
  5. Roving Journalist

    Kassim Majaliwa atembelea Ubalozi wa Tanzania, Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) uliopo Abudhabi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 25, 2025 ametembelea ubalozi wa Tanzania, Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) uliopo Abudhabi. Majaliwa alipokelewa na Balozi wa Tanzania UAE Luteni Jenerali Mstaafu,Yacub Mohamed na watumishi wa ubalozi huo.
  6. Ojuolegbha

    Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden Unawaalika kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani

    Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Stockholm - Sweden Unawaalika kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani Mahali: Piazzablu, Hallonbergsplan 5-7, 174 52 Sunday Sundbyberg Tarehe: Julai 5, 2025 Muda: Saa 7:00 Mchana - Saa 1:00 Jioni Burudani: Saa 1:00 Jioni - Saa 4:00 Usiku
  7. Mhaya

    Wakenya washangazwa na Ofisi za Ubalozi wa Tanzania kuwa katika Jengo la Kibiashara

    Hii wiki wakenya wameandamana na kutishia vurugu baada ya wanaharakati wa Kenya kukamatwa na wengine kufukuzwa Tanzania hivi majuzi kwa sababu ya kutaka kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu. Baada serikali ya Kenya kuimarisha ulinzi katika ubalozi wa Tanzania jijini Nairobi, Wakenya wengi...
  8. Waufukweni

    Polisi Kenya wakiwa na Silaha wazingira Ubalozi wa Tanzania Nairobi kuzima maandamano ya Wanaharakati kisa Boniface Mwangi kushikiliwa Tanzania

    Jeshi la Polisi nchini Kenya limepelekwa nje ya Ubalozi wa Tanzania jijini Nairobi leo Mei 22, ikiwa ni hatua ya tahadhari kufuatia taarifa za maandamano yaliyopangwa kufanywa na wanaharakati wanaoshinikiza kuachiwa huru kwa mwanaharakati maarufu Boniface Mwangi. Soma, Pia: Wakenya, akiwemo Mke...
  9. Roving Journalist

    Balozi Kaganda asisitiza Ushirikiano kwa Watumishi wa Ubalozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe

    Balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe Mheshimiwa Suzan Kaganda, amewasili Nchini humo tayari kuanza majukumu yake katika Balozi hiyo huku akiwaomba watumishi kushirikiana ili kutimiza azima ya viongozi wa Nchi hizo mbili katika masuala mbalimbali. Ametoa kauli hiyo leo Mei 05, 2025, Jijini Harare...
  10. Ojuolegbha

    Balozi Mobhare Matinyi awasili kwa mara ya kwanza ofisini Stockholm Sweden

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, akipokewa na watumishi wa Ubalozi wa Tanzania jijini Stockholm alipoingia ofisini kwa mara ya kwanza leo Mei 5, 2025. Mbali ya Sweden, Balozi Matinyi ataiwakilisha pia Tanzania katika nchi za Sweden, Norway, Denmark, Finland, Iceland...
  11. Ojuolegbha

    Mkurugenzi ZBC atembelea Ubalozi wa Tanzania Comoro

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Ramadhani Bukini leo ametembelea Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Comoro ambapo amefanya mazungumzo na Maafisa Ubalozini hapo wakiongozwa na Mhe. Balozi Saidi Yakubu. Bwana Bukini alitumia wasaa huo kuelezea maboresho yanayoendelea...
  12. L

    Hivi ndivyo David Kafulila alivyotua mbele ya sanamu la Mwalimu Nyerere New Delhi nchini India

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa David Kafulila Chuma cha Reli ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa PPP, ametua mbele ya Sanamu ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Katika ubalozi wetu wa Tanzania Nchini India . Ambapo Mzalendo huyu mwenye maadili na aliyenyooka kama rula. Na ambaye amekuwa...
  13. Ojuolegbha

    Wasanii wa Tamthilia ya Mawio watembelea ubalozi wa Tanzania Comoro

    Wasanii wa tamthilia maarufu ya Mawio nchini Tanzania Gabo, Barnaba na Sarah leo wametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Comoro na kupokewa na Mhe. Balozi Saidi Yakubu. Wasanii hao walioongozwa na Gabo wamemueleza Balozi Yakubu wapo Comoro kwa kuwa tamthilia yao ina mashabiki wengi Comoro na...
Back
Top Bottom