uandishi bunifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Vigezo na masharti ya Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu vyawekwa hadharani

    Mwenyekit wa kamati ya Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu, Prof. Penina Mlama, ametangaza vigezo vya kushiriki katika duru ya nne ya tuzo hiyo ya ya mwaka 2025/2026 yenye lengo la kukuza lugha ya Kiswahili na kuthamini mchango wa Mwalimu Nyerere. Ameeleza hayo kwenye kikao na...
  2. Roving Journalist

    Hafla ya Utoaji Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu, Aprili 13, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=EStE_zPXVuY Utoaji wa Tuzo ya Mwalimu Julius Nyerere ya Uandishi Bunifu 2024-2025 kwa nyanja ya Ushairi, Hadithi za Watoto, Riwaya, Tamthiliya zinatolewa leo, Aprili 13, 2025 kwenye Ukumbi wa Super Dom Masaki Dar rs Salaam na hii ni Kuelekea miaka 50 ya Taasisi ya...
  3. Roving Journalist

    Waziri wa Elimu amtangaza Dkt. Mpango kuwa Mgeni Rasmi Tuzo za Taifa za Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, kuwa mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu, itakayofanyika Aprili 13, 2025 Jijini Dar es Salaam. Hayo yameelezwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf...
  4. Companero

    Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu 2024-2025

    Wizara ya Elimu, Sayansi, na Teknolojia kupitia Taasisi ya Elimu ilizindua Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu mwaka 2022. Tuzo hiyo imekuwa na mafanikio makubwa. Mwaka 2023 na mwaka 2024 waandishi mbalimbali walishinda Tuzo. Mwaka 2025 inatarajiwa waandishi wengi zaidi...
  5. Mohamed Said

    Tune Shaaban Salim: Mshindi wa Tuzo ya Nyerere ya Uandishi Bunifu Maktaba

    TUNE SHAABAN SALIM MWANDISHI NGULI NA MSHINDI WA TUZO YA NYERERE YA BURT AMEFIKA MAKTABA Leo nimetembelewa Maktaba na mwandishi Bingwa na Mshindi wa Tuzo ya Nyerere ya Burt inayoshindaniwa na waandishi vijana kutoka Tanzania, Ethiopia, Kenya na Ghana. Amekuja kunipa kitabu chake, ''Posa za...
  6. Roving Journalist

    Prof. Mkenda: Kilele cha Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu kinatarajia kufanyika Aprili 13, 2023

    Kilele cha Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu kinatarajia kufanyika Aprili 13, 2023 Jijini Dar es Salaam na kushuhudiwa na waandishi mahiri kutoka nchi mbalimbali duniani. Hayo yamesemwa leo Machi 29, 2023 kisiwani Zanzibar na Prof. Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu, Sayansi na...
Back
Top Bottom