uagizaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Harufu ya upendeleo uagizaji wa mafuta; Serikali yakanusha ukiukwaji wa sheria

    Harufu ya upendeleo uagizaji wa mafuta; Serikali yakanusha ukiukwaji wa sheria Kupanda kwa bei za mafuta nchini, kunakoendelea kuwa mzigo kwa Watanzania, kumezua mjadala mpana kuhusu mfumo wa uagizaji wa mafuta, huku baadhi ya wadau wakidai kuwa mabadiliko yaliyofanywa na Serikali yameongeza...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Harufu ya upendeleo, upigaji uagizaji wa mafuta Tanzania, bei zikipanda

    Kupanda kwa bei za mafuta nchini, kunakoendelea kuwa mzigo kwa Watanzania, kumeambatana na tuhuma za upendeleo na matumizi ya mgogoro wa kimataifa kujinufaisha kupitia biashara ya mafuta. Ongezeko hilo limehusishwa na vita kati ya Iran, Israel na Marekani, ambavyo vilisababisha mshtuko mkubwa...
  3. JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI: Kutoka Symbion hadi Sheria ya Fedha 2026 na Ufisadi katika Uagizaji Mafuta. je, Luhaga Mpina amebadili msimamo?

    Dar es Salaam. Taarifa waqliyoitoa Chama cha ACT-Wazalendo walipokuwa wanaongea na Waandishi wa habari. kuwa litafungua mashauri mahakamani kupinga baadhi ya vifungu vya Sheria ya Fedha ya Mwaka 2026 limefungua mjadala mpya kuhusu nafasi ya siasa za upinzani katika usimamizi wa fedha za Umma...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha amjibu Luhaga Mpina kuhusu ufisadi kwenye uagizaji mafuta Tanzania

    Waziri wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omaramjibu Luhaga Mpina kuhusu ufisadi kwenye uagizaji mafuta Tanzania Pia soma: Luhaga Mpina: Bei ya mafuta imeshuka soko la Dunia kwa 22% lakini hatuoni bei zikishuka hapa nchini
  5. L

    JamiiForums Tanzania "Dhahabu ya kijani" ya Tanzania itakayooneshwa kwa mara ya kwanza katika maonesho ya uagizaji ya China kuleta matumaini na urafiki mkubwa

    Katika Mkoa wa Njombe uliopo kwenye nyanda za juu za kusini mwa Tanzania, Juliana Yotham Mwalyepelo mwenye umri wa miaka 38 anachunguza safu za miparachichi ambayo imestawi vizuri. Akiwa afisa mkuu mtendaji wa Kampuni ya Chrises Real Solutions, kila tunda kwake si kwamba analiona ni mavuno tu...
  6. JamiiForums Tanzania China yasitisha uagizaji wa Ndege za Boeing

    China imeonyesha kuchafukwa sasa wameingia kwenye Vita rasmi ya kibiashara sasa wanayanyoosha makampuni ya Marekani kitu ambacho kitasababisha mdororo wa kiuchumi na ukosefu wa ajira huko US. The trade war: China has ordered its airlines to halt all deliveries of Boeing jets and stop purchasing...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mahakama Kuu yatupilia mbali shauri la Luhaga Mpina dhidi ya Uagizaji wa Sukari

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo tarehe 14, Februari 2025 imetupilia mbali shauri la kikatiba lililofunguliwa na Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Mpina juu ya kupinga uaagizwaji wa sukari nje ya nchi. Uamuzi wa shauri hilo umesomwa na Jaji Salma Maghimbi akieleza...
  8. JamiiForums Tanzania Biashara za simu na kompyuta na uagizaji: Bei zetu zote kwa biashara Tanzania

    BIASHARA ZA SIMU NA KOMPYUTA NA UAGIZAJI: BEI ZETU ZOTE KWA BIASHARA TANZANIA 📦 Bei Nzuri Za Simu, Laptop, nHuduma za Uagizaji Bidhaa ➡️Kwa wale wanaoagiza bidhaa kutoka China, ikiwa ni pamoja na simu 📱, kompyuta 💻, kamera 📷, na bidhaa nyingine ambazo ni vilipukizi hasa kwa njia ya mdege...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya Uagizaji na Mauzo ya Nje ya China ni mfano wa kunufaishana kati ya China na dunia

    Maonyesho ya 135 ya Uagizaji na Uuzaji wa Bidhaa ya China, maarufu kama ‘Canton Fair,’ yameanza tarehe 15 mwezi April mjini Guangzhou, mkoa wa Guandong, hapa China. Katika maonyesho ya mwaka jana, idadi kubwa ya kampuni zilishiriki, na mwaka huu, idadi hiyo imeongezeka tena kwa kiasi kikubwa...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali ya Uganda inapendekeza njia ya Tanzania kwenye uagizaji wa mafuta

    Uganda imeanzisha mashauriano na Tanzania kuruhusu Kampuni ya Mafuta ya Kitaifa ya Uganda kuuza na kushughulikia uagizaji wa mafuta. Hatua hii inafuatia kukataliwa kwa leseni ya Kampuni ya Mafuta ya Kitaifa ya Uganda (UNOC) kufanya kazi kama muuzaji wa mafuta wa ndani. Waziri wa Nishati na...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mzozo wa uagizaji mafuta, Uganda yaifikisha Kenya Korti ya Afrika Mashariki

    02 January 2024 MZOZO WA UAGIZAJI MAFUTA BAINA YA KENYA NA UGANDA Kufuatia kinachodaiwa bei ya juu ya udalali inayofanya Kenya juu ya nishati ya mafuta Uganda inayoagiza kutoka nje, Serikali ya Uganda yafikisha mzozo huo Mahakama ya Afrika ya Mashariki. Uganda inadai bei ya mafuta katika...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Rafael Mgaya: Mnadanganywa, wafanyabiashara hawafichi mafuta ila uagizaji umepungua kwa 28% tangu January wakati matumizi yamepanda kwa 10%

    Akizungumza kwenye kipindi cha asubuhi katibu wa waagizaji wa mafuta anasema hao wanaosema mafuta yamefichwa hawasemi ukweli. Anasema waliishauri serikali tangu January kwamba iongeze dollar ili kuongeza kiwango cha mafuta kinachoagizwa kutokana na kupanda kwa thamani ya Dola dhidi ya shilingi...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali kupunguza uagizaji wa bidhaa za Afya kutoka 80% hadi 50% ifikapo 2030

    Serikali kupitia Wizara ya Afya imedhamiria kupunguza uagizaji wa bidhaa za Afya ikiwemo dawa kutoka zaidi ya asilimia 80 hadi chini ya asilimia 50 ifikapo mwaka 2030. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema hayo kwenye hafla fupi iliyofanyika Hoteli ya Johari Rotana na kuwakutanisha Wadau pamoja...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Kodi ya uagizaji gari Japan kuja Tanzania unatisha. Land cruiser Prado bei TZS 40,638,290 (hadi Mwanza via DSM). Kodi + gharama zingine 42,060,235!!

    Mfumo wa kodi ya uagizaji gari (used abroad) toka nje hususani Japan kuingia Tanzania unatisha na kushangaza sana... Mathalani hivi inawezekanaje kodi na gharama zingine pale bandarini ziwe kubwa kuliko bei ya gari yenyewe? Msingi wa kutoza kodi kwa jinsi hii UNAKUWA ni nini eti..? Nimeagiza...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania kupunguza uagizaji vifaranga nje ya nchi

    Mwaka 2022/2023 Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, imewezesha uwekezaji wa shamba la kuzalisha kuku wazazi halisi (Grandparent Stock) lenye uwezo wa kufuga kuku 60,000 na kuzalisha mayai ya kuku wazazi halisi 40,000 kwa siku, uwekezaji huu utapunguza uagizaji wa vifaranga nje ya nchi...
  16. JamiiForums Tanzania Nchi jirani na Ukraine zatangaza marufuku ya uagizaji wa bidhaa za kilimo kutoka Ukraine

    Poland na Hungary, ambazo ni nchi jirani na Ukraine, Jumamosi wiki iliyopita zilitangaza marufuku ya uagizaji kutoka Ukraine wa bidhaa za kilimo hadi Juni 30. Serikali za nchi hizo zinasema hatua hiyo inalenga kulinda wakulima wa ndani. Slovakia imefanya hivyo pia jana Jumatatu. Bidhaa za...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Bidhaa za Afrika zaoneshwa kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China CIIE

    Bidhaa za Afrika kama vile kahawa ya Ethiopia, divai ya Afrika Kusini, maparachichi ya Kenya, n.k. zinatangazwa kwenye Maonyesho ya kimataifa ya Uagizaji bidhaa ya China (CIIE). maparachichi ya Kenya pilipili ya Rwanda kahawa ya Ethiopia asali ya Zambia divai ya Afrika Kusini
  18. JamiiForums Tanzania Serikali yasema uagizaji wa Sukari nje ya nchi mwisho 2025

    Bodi ya Sukari nchini Tanzania imesema jitihada zinazofanyika za upanuzi na uanzishaji wa viwanda vya uzalishaji wa sukari, vitawezesha kufikia tani 756,000 ifikapo mwaka 2025 hivyo kuondokana na uagizaji wa sukari kawaida. Hayo yamesemwa leo Jumanne Oktoba 25, 2022 na Mkurugenzi Mkuu wa bodi...
  19. JamiiForums Tanzania Je, nini kitatokea endapo serikali itapiga marufuku uagizaji wa magari binafsi ya kutembelea?

    1.) Je, ni shillingi za kiTanzania trillion ngapi hutumika na waTz kwa mwaka kuagiza magari ya kutembelea? Na je, baada ya zuio hilo matrillion hayo wanaweza kuyatumia kwenye nyanja ipi kama mbadala? Ujenzi au kilimo? 2.) Je, mikangafu inayoozea gereji juu ya mawe inaweza ikapanda thamani na...
  20. JamiiForums Tanzania Boeing yasimamisha uagizaji wa "aluminium" kutoka Urusi, yaani Mrusi anakandamizwa kote

    Anguko la uchumi wa Urusi ni dhahiri, mpaka wakome Boeing said it stopped buying Russian aluminum in March after suspending operations in Russia. It's the second crucial metal Boeing has stopped buying from Russia, Reuters first reported. Boeing told Insider it sourced the metal from other...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…