twaha mwaipaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kutekwa kwa Twaha Mwaipaya, CHADEMA yamuandikia barua Rais Ruto

    Akizungumza Oktoba 27, 2026 Jijiji Dar es Salaam, Katibu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika amesema chama hicho kimemuandikia barua rais wa Kenya William Ruto kufuatia taarifa za kutekwa kwa kada wa chama hicho Twaha Mwaipaya nchini humo. Soma Pia: Twaha Mwaipaya atekwa...
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya, Paradiso Ya Watekaji! Kutoka Kimbilio Hadi Mtego: Kenya Yageuka Uwanja wa Kuwinda Wakosoaji wa Serikali Za Kigeni

    Kenya kwa muda mrefu imekuwa ikitambulika kama mahali pa usalama kwa watu wanaokimbia mateso, vitisho na ukandamizaji wa kisiasa katika nchi zao. Lakini sasa, sifa hiyo inakabiliwa na maswali mazito kufuatia matukio ya kutoweka kwa wanaharakati na wakosoaji wa serikali kutoka nchi jirani wakiwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kutekwa kwa Twaha Mwaipaya: Wanaharakati nchini Kenya wamshitaki Mkuu wa Polisi nchini Kenya, Mkurugenzi wa Mashitaka na kigogo mwingine

    Hii ndio hatus waliochukua wanaharakati nchini Kenya na kesho ndio watatinga mahakamani Chanzo; Akaunti ya X ya Hilder Newton yenye taarifa rasmi kuhusu habari hii.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kutekwa Kwa Twaha Mwaipaya: Mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya polisi Wala Serikali wakati ni mtanzania mwenzetu

    Kuna baadhi ya watu wanaona kama vile CCM au Serikali yao inaonewa Kwa kutumiwa kuhusika na utekaji mfano mzuri suala lile la mabinti waliomaliza form iv walivyorecord na kutoa maneno ambavyo hayana maadili Serikali ilireact haraka kupitia waziri Gwajima na Sio tu hili mambo mengi ambavyo...
  5. JamiiForums Tanzania Kaka yake Twaha Mwaipaya, ambaye ni kada mtiifu wa CCM haoni uchungu ndugu yake kutekwa?

    Mkuu wa wilaya ya Mtwara Abdallah Mwaipwaya ni kaka yake na ndugu wa damu wa Twaha Mwaipwaya aliyetekwa huko oversees. Haoni uchungu na kuhoji alipo ndugu yake? Au bora ushibe kuliko uhai wa ndugu!
  6. C

    JamiiForums Tanzania Picha za Nchimbi ni mkakati wa kupoteza lengo ili tusihoji kutekwa kwa Twaha Mwaipaya

    Kwa hiyo ili kuzima taharuki ya kutekwa kisha kupotezwa kwa Twaha Mwaipaya kule Kenya, watawala wameamua kumpeleka Dubai Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kisha kumpiga picha na kisha wakazituma katika media zao ili kuwapumbaza Watanzania waache kumuwaza Mwaipaya. Kama Nchimbi yuko huru kweli...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Shtuka, Kuachiwa kwa picha za Nchimbi ni Kiki ya kuzima vuguvugu la Oktoba 29 pamoja na Kutekwa Twaha Mwaipaya

    Kuna picha za Nchimbi zimeachiwa kuwa ameonekana Dubai mapumzikoni, tambueni kuwa picha hizo haziko kwa bahati mbaya ila zinatumika kuhamisha upepo mbaki kubishana juu ya uhalisia wa wapi alipo Nchimbi na msahau kutekwa kwa Twaha Mwaipaya pamoja na Vuguvugu la Maandano. CCM wana kila mbinu ya...
  8. JamiiForums Tanzania Madeni ya muda mrefu yadaiwa kuhusishwa na kutekwa kwa Twaha Mwaipaya Kenya

    NAIROBI, KENYA — Madai kuhusu madeni ya muda mrefu yameibuka kufuatia taarifa za kukamatwa kwa Twaha Mwaipaya, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoka Tanzania, nchini Kenya. Kwa mujibu wa madai yaliyotolewa, Mwaipaya alikamatwa na mwenye nyumba aliyokuwa akiishi kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Utekaji wa Twaha Mwaipaya: Je kuna somo ambalo wapinzani hawajalielewa?

    Nimeangalia taarifa zilizochapishwa tarehe 25 Oktoba 2026. Kwa mujibu wa Amnesty International, Twaha Mwaipaya aliripotiwa kutekwa katika eneo la Kamulu, Kaunti ya Machakos, nchini Kenya, alipokuwa akisafiri kwa teksi. Watu waliodaiwa kumchukua walikuwa kwenye magari matatu. Hata hivyo, taarifa...
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaharakati wa Tanzania Twaha Mwaipaya Aripotiwa Kutekwa Kamulu, Kenya

    Mwanaharakati wa haki za binadamu kutoka Tanzania, Twaha Mwaipaya, ameripotiwa kutekwa na watu wenye silaha katika eneo la Kamulu, viungani mwa Nairobi, hali iliyozua wasiwasi kuhusu usalama wake na aliko. Kwa mujibu wa shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International, Mwaipaya...
  11. JamiiForums Tanzania TBC mnazungumzia kuporomoka gorofa Kenya vipi kuhusu kutekwa kwa mtanzania mwenzetu Twaha Mwaipaya hiyo sio habari kwenu?

    TBC mnazungumzia kuporomoka gorofa Kenya vipi kuhusu kutekwa kwa mtanzania mwenzetu Twaha Mwaipaya hiyo sio habari kwenu? TBC hivi kutekwa KWA TWAHA MWAIPAYA sio habari kwenu?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Twaha Mwaipaya , Twaha Mwaipaya Komandoo wa kukataa kutekwa

    Leo nomeona mitandaoni kuwa Twaha Mwaipaya katekwa 1. Inawezekana ikawa ni KIKI kuelekea 29th October 2026 ili kuendelea kuichafua Tanzania kimataifa 2. Twaha amekuwa komandooo wa kutufundisha namna ya kukwepa kutekwa je yeye hakutumia mbinu hizo? 3. Yeye huwa anajiita guachevara au castro...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Twaha Mwaipaya atekwa na watu 'wasiojulikana' jijini Nairobi, Kenya

    🚨‼️ABDUCTION IN NAIROBI‼️ Twaha Mwaipaya - Tanzanian activist was abducted a short while ago in Makuru in a Toyota White HardTop by armed plain clothes men UPDATE: Vyanzo vya uhakika vimethibitisha kuwa Mwaipaya amechukuliwa na 'watu wasiojulikana' jijini Nairobi baada ya kuwa tracked kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Twaha Mwaipaya

    Tunasubiri Taarifa kutoka Nairobi Usiondoke JF
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Twaha Mwaipaya. Tuwaombee misa takatofu wahanga wa 29.10.2026

    TUOMBE 29.10.2026
  16. JamiiForums Tanzania Twaha Mwaipaya alipost kuwa Vivian katekwa Arusha kumbe ni uongo

    Haya matukio ni Moja ya Siasa za hovyo kuwahi kutokea, utaanzaje kutangaza mtu katekwa wakati huna uhakika, wakati huna taarifa za kutosha au bila kureport Polisi ili uchunguzi ufanyike .....acheni kukurupuka na habari zenu za kubumba.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Twaha Mwaipaya: Kama sheikh, Mchungaji na Padri wako hajawahi kukemea mauaji, basi njoo Maria space usali ukemee mauaji kuitikia amri ya MUNGU "USIUE"

    Ndio ujumbe wake leo huko Maria spaces. Kama hao viongozi wa dini yako wanashindwa kukemea mauji ya 29th October 2025, ja maovu mengine, basi achana na huko njoo Maria spaces ukemee mauaji!
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA isipojirekebisha, ina hatari ya kuwa kama kuku aliyekatwa kichwa

    Chadema iko katika hali mbaya mno kwa sasa, imefika wakati vijana ambao ndio tegemeo la chama wamekuwa wendawazimu, TWAHA MWAIPAYA badala ya kujenga hoja na kukosoa kwa fact Leo Twaha, ameshindwa kutofautisha maendeleo ya awamu ya sita na kipindi awamu ya tatu ya serikali ilipokuwa inaanzisha...
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Twaha Mwaipaya: Maandamano ya Oktoba 29 vijana walikuwa na hasira sana

    Maandamano ya Oktoba 29 vijana walikuwa na hasira sana na hii imetokana na serikali imekuwa ikipoka mchakato wa wananchi. Watu wamelalamika na mifumo ya uchaguzi tangu 1995 ambapo Mrema aliliamika kuibiwa kura zake, 2000 CUF pia walilamika, 2015 ndivyo hivyo 2019 katika uchaguzi wa serikali za...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Twaha Mwaipaya aeleza mazito kuhusu mauaji ya Oktobea 29. Asema hakuna umwagaji damu utakaowazuia kudai haki

    Ni interview nzuri sana. Unaweza kuitazama hapa: Oktoba 29, 2025 ilikuwa ni siku kubwa sana ya kihostoria katika nchi yetu ya Tanzania, ambapo ilikuwa ni siku ya maandamano ya kupinga kupwoka haki na vijana walikuwa na hasira sana. Na haya yote ni matokea yalitokea katika kukosa haki katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…