Mtangazaji, muigizaji na mtayarishaji wa filamu nchini Tanzania, Idris Sultan, amepata mwaliko mkubwa wa kuwa mmoja wa washereheshaji wa msimu wa 20 wa tuzo mashuhuri za The Future Awards Africa (TFAA) zitakazofanyika mwezi Novemba jijini Lagos, Nigeria.
Idris Sultan atajumuika kwenye jukwaa...