tupige kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kimbesa11

    GE2025 INEC, Tunawaomba mturuhusu tupige kura ya Rais, sisi wenye kadi za kupigia kura lakini kazi zetu hazituruhusu kutuliza sehemu moja, asante

    Husika na kichwa Cha habari hapo, Kuna watu wanakadi za kupigia kura lakini kazi zao haziwaruhusu kutulia katika eneo moja, Tunawaomba INEC mturuhusu tupige kura ya Rais kwenye kituo kilicho karibu nasi. Asanteni sana
  2. Trainee

    Kuna watu wanakusudia kuandamana siku ya uchaguzi: Tupige kura wanaounga mkono maandamano hayo na wanaoyapinga

    Nakusudia maandamano yale yenye lengo la kupinga zoezi la uchaguzi Kama ni hoja watu wametoa hoja zao sana na kama ni elimu watu wametoa elimu ya kutosha juu ya jambo hilo. Sasa tufanye tathmini ndogo hapa kila mtu aoneshe upande wake anaochagua kwamba anaunga mkono au haungi mkono maandamano...
  3. M

    Ni dhahiri sasa tunakwenda kwenye kampeni za ama tupige kura au lah sio Rais na Wabunge tena

    Kwa hali ya mambo ilipofikia uchaguzi wa mwaka huu ni KUPIGA KURA AU KUBAKI NAYO ndio kampeni kubwa ya mwaka huu. Sio kampeni za Rais na Wabunge tena. Naikumbusha Dola kuwa kama nchi tumeshatumia rasilimali nyingi sana kujenga uwezo na mifumo ya uchaguzi tusikubali hasara ya kurudi nyuma na...
  4. G Jonathan Kamenge

    GE2025 Tuendelee kushiriki mchakato wa uchaguzi mkuu ili tupige kura za uchafuzi mkuu wa taifa letu!!?

    Kushiriki Mchakato wa Uchaguzi kwa Mtanzania yeyote si jambo linaloepukika hasa kwa sababu huu ni msimu na wakati hasa wa uchaguzi, na kusema kweli kila siku ya kila wiki, ya kila mwezi, kwa kila mwaka tunafanya uchaguzi kwenye mambo mengi; isipokuwa uchaguzi Mkuu wa Taifa letu ilipaswa...
  5. M

    Nani Spika Bora zaidi , Toka Mwaka 1995, tupige kura

    Kwa wale wazee wenzangu na wafuatiliaji mabunge awamu mbali mbali, nimeona Leo tujikite kidogo kuangalia maspika wa Bunge walioongoza Bunge vipindi mbali mbali, Kila mmoja alikuwa na staili yake, Kariba yake, maspika Hawa wote walitoka chama Cha CCM. Hivyo tuangalie je nani alikuwa Bora zaidi...
  6. Bezecky

    KURA: Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

    FREEMAN MBOWE-MTIA NIA •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• TUNDU AM LISSU-MTIA NIA •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Tanzania ni yetu sote!! Habari kuu ndani ya CHADEMA ni mchuano mkali wa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA baina ya Mwenyekiti anayemaliza muda...
  7. K

    Itengenezwe application tupige kura kwa Simu zetu tusipotezeane muda

    Hivi wafrika ni lini tutadhamini muda wetu Kwenye foleni saa kadhaa eti nasubiri nimpigie diwani kura. Twendeni na technology inavyotaka watu wapige kura wakiwa nyumbani ofisini Serikali inapoteza fedha nyingi eti kuweka mawakala waandikishe watu wachague wenyeviti!!!! Hii SI sawa zaidi ya...
  8. Nehemia Kilave

    Kiuhalisia hayati Magufuli alishinda uchaguzi 2020, vijana jitokezeni kujiandikisha na kupiga kura

    Habari JF, Linapokuja suala la kuchagua viongozi vijana wengi tunakuwa bize na kazi, hatujiandikishi, hatupigi kura ,sababu kubwa ni kwamba ya ubize ,umbali wa vituo walivyojiandikisha na kura yake haiwezi badili chochote CCM itashinda. 2020 ukiachana na upande wa ubunge ambako hayati Magufuli...
  9. Boss la DP World

    Kabla ya Katiba Mpya tupige kura kuhusu hatima ya Muungano

    Kabla ya zoezi la kuandaa katiba mpya halijaanza, nivema tupige kura kuamua hatima ya muungano huu ambao kwa maoni yangu sioni kama una tija. Baada ya kupiga kura ikitokea wananchi wamekataa muungano basi Watanganyika tuendelee na zoezi la kuunda katiba yetu, na wazanzibari watajua wenyewe...
  10. The Father of All

    Kama tungetakiwa tupige kura juu ya mkataba wa bandari

    Wanangu wapendwa, Je kama tungetakiwa wabongo tupige kura kupitisha au kuupiga chini mkataba wa bandari, wapi ungeeelekeza kura yako? Kama itawafurahisha hasa ikizingatiwa kuwa inatoka kwa baba yeni, pigeni kura kuonyesha nini kifanyike. Maaskofu wa dhehebu moja linalosifika kwa ubakaji na...
  11. USSR

    Tupige kura kuamua au kukataa serkali kubinafsisha bandari zetu

    Moderators Kama mtaona inafaa tuwaache wanajamii forums ambao ndio platform kubwa kupitia zote hapa Tanzania members wake waamue Kama ndio au hapana ili kutoa sauti ya pamoja kwa jambi hili lililogawa taifa na kuzua maswali mengi bila majibu, Tupige kura hapa kauona uungaaju mkono wa saula la...
  12. Erythrocyte

    Mkataba wa kuendesha Bandari za Tanzania wa DP WORLD ya Dubai hautazihusu Bandari za Zanzibar

    Miongoni mwa siri zilizofichuliwa leo kuhusu Mkataba wa kuiuzia kampuni ya Waarabu Bandari za Tanzania, imo habari kwamba Bandari zitakazohusika ni zile za Tanganyika Pekee, za Zanzibar hazitahusika. Ikumbukwe kwamba Bandari ni miongoni mwa mambo ya Muungano, ikiwa kama jambo hili lina faida...
  13. M

    Uchaguzi 2025 Watanzania tupige kura 5

    Heshima kwenu wakuu! Kama wengi tunavyojua watanzania tunatarajia kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 na uchaguzi mkuu mwaka 2025. Kwa kujifunza kutokana na uchaguzi mkuu uliomalizika nchini Kenya hivi karibuni ni wakati sasa kwa Tanzania kuendesha uchaguzi wa serikali za mitaa...
Back
Top Bottom