tundu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Swali la kizushi: Kwanini Tundu Lisu na Mbowe hawako active humu JF?

    Nikisema hawako humu namaanisha by their true identity. Wanaweza kuwepo kwa fake IDs, but to me , it is most unlikely kuwa wapo kwa fake IDs.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ukivurunda CHADEMA utasahaulika ungali hai!

    Mheshimiwa Tundu Lissu kufanya siasa bila kuungwa mkono na watu (popular support) ni kazi bure. Siasa ni watu. Tundu Lissu tambua kuwa tofauti kati ya watu zipo lakini sio lazima ziwe sababu ya migawanyiko na mafarakano. Kila wakati jaribu kukwepa mitafaruku hata kama sababu za mitafaruku...
  3. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu nakushauri kuwa makini na genge la Mbowe, unapinga wazi maridhiano uchwara wanaweza kukufanyia figisu

    Mbowe na wenzake wote wanaolamba asali wanazunguka Tanzania nzima kuandaa mazingira ya kurudi bungeni. Lakini hii wewe umeishutukia maana 2025 chochote kinaweza kutokea. Wananchi ndio tutaamua. Hata huyo aliyewadanganya kuwapa ubunge anajua vizuri kuwa wananchi tukiamua hawapati alichowaahidi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ashauriwe ajiunge na NCCR Mageuzi

    Habari JF, Nionavyo mimi huyu mwamba huko CHADEMA ni kama anatumiwa kuhalalisha kinachodaiwa chama kinafanya kazi na mikutano kwa maelekezo kutoka Chama Tawala. Mlio karibu na Lissu mshaurini aungane na Mbatia NCCR Mageuzi, sisi wazalendo wa hili Taifa tutawaunga mkono. Nasema NCCR Mageuzi...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kila nikijilazimisha nimuone wa maana, moyo unagoma tu, simpendi na sipendi awe kiongozi kokote kule!

    Mkisema upeo wangu ni mdogo sawa tu! Na matusi yoote juu yangu sawa tu, Lakini leo nataka tu niseme ukweli wa moyo wangu, Mh Tundu Lissu ni kweli kabisa ni kati ya wanasiasa wanaoifaa sana nchi yangu Tanzania, Tanzania bila viongozi wenye uthubutu wa kufanya mambo, tutaendelea kubaki nyuma...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu agombee tu Ubunge, hiyo ndiyo saizi yake ili akachangamshe Bunge. Urais maji marefu kwake!

    Tunashuhudia nyomi kwenye mikutano yake lakini hiyo nyomi haihusiani kabisa na mvuto wake kisiasa. Watu wanakuja kumtazama mtu aliyekuwa "amekufa" kisha "kufufuka". Biashara inaishia hapo!
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tundu Lissu aliitwa ‘Chief Whip‘ Opposition Leader ndani na nje ya Nchi?

    Wakuu tukirudi nyuma kidogo kwenye siasa za Bongo hapo nyuma kulikuwa na siasa za Weka chuma niweke Ugoko. Jambo moja ninalokumbuka huyu bwana anayeitwa Tundu Lissu alitambulika na kupata umaarufu na hatimaye Vyombo vya habari vya ndani na nje ya Nchi vilimtambua kama Chief Whip Opposition...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kama unaamini mambo ya kiroho utakubali kuwa Urais wa JMT unamtafuta Tundu Lissu

    Siko hapa kubishana na mtu. Na kama wewe ni moja kati ya wale wasioamini Matendo Makuu ya Bwana Mungu, Mungu wa Israeli basi pita kimya kimya tu. Sitaki kusema mengi ila huu uzi tutaurejea miaka michache ijayo. Kwamba walio wazima na wenye nyenzo zote anaondoka harafu watu waliokuwa wanyonge...
  9. JamiiForums Tanzania Siasa anazozifanya Tundu Lissu ni za kizamani mno, Watanzania wanashangaa na kumpuuza

    Watanzania wamesha advance mno kwa siasa kama anazozifanya Tundu lissu, wanashangaa lakini wengi wanamkebei na kuona huyu jamaa anajaribu kutengeneza attention kwa UMMA kizamani kabisa kwa watu wenye maono makubwa mno nadhani kumpita yeye mwenyewe.
  10. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, too late a hero!

    Masikini Tundu Lissu, amerudi toka ughaibuni sasa. Lakini si kishujaa! Lalamiko lake la kwanza alipoonana na Mama Samia huko Ubelgiji, ilikuwa pesayake, mafao. Ni kweli mlo hata kwa mwanasiasa ni muhimu, ataishije? Mambo ya siasa yakawa secondary, hayakuwa na umuhimu sana kwake. Mama Samia...
  11. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu alishuhudia gari lake lililoshambuliwa kwa risasi, asema ataomba kulichukua

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameeleza wapi alipo Dereva wake Adam Bakari ambaye alikuwa naye wakati aliposhambuliwa kwa kupigwa Risasi na watu wasijulikana mwaka 2017 Jijini Dodoma. Akizungumza Leo mei 9,2023 Jijini Dodoma Lissu amesema Dereva...
  12. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hatutaki maridhiano ya nusu mkate, tunataka Katiba Mpya

    Tundu Lissu aibua SIRI nzito CCM na CHADEMA. atibua Maridhiano,"hatutaki kupewa nusu mkate, tusikubali kupewa viti vya Ubunge kwa hisani, Chadema tunaambiwa tutapewa majimbo halafu tunachekelea huu ujinga" Chanzo: Jambo TV
  13. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kwasasa hana mvuto tena ndani na nje ya chama

    Tundu Antipas Lissu wa 2015 -2020 sio huyu wa Leo 2023. Lissu wa Sasa ameporomoka hata hoja anazojenga hazina nguvu tena. Labda ni kwa sababu mara nyingi amekuwa akirudia hoja zile zile!! Sijajua wazungu wamemfanyaje Huko alikotoka!! Ajitafute upya huyu sio Lissu tunayemjua
  14. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aache kumkebehi Rais Samia

    Tundu Lissu kwa maneno yake mwenyewe na kwa kujiamini alisema Magufuli ndiye aliyeagiza apigwe risasi kwa madai kuwa alikua msaliti bahati nzuri akapona. Lissu alidai tena aliponea kuuawa mara ya pili baada ya uchaguzi kumalizika na akaokolewa na ubalozi wa Ujerumani. Rais Samia ambaye ndiye...
  15. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Serikali imenilipa nusu ya stahiki zangu, nikilipwa fedha za matibabu sitazirudisha kwa walionichangia

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameulizwa kama Serikali imeshakamilisha malipo ya kiinua mgogo chake alichokuwa anadai, majibu yake ni haya: “Nilikuwa nadai kiinua mgogo cha miezi 44 niliyokuwa Bungeni, nimelipwa kiinua mgongo cha miezi 20 bado cha miezi 24. “Nilikuwa nadai fidia ya...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu awa bubu, ashindwa kueleza msimamo wake

    Inasikitisha na kutia aibu sana! Msimamo wa Tundu Lissu na Chadema ni kutowatambua wabunge 19 wa kuteuliwa kutoka ndani ya chama hicho. Msimamo huo huo pia, ni kutokumtambua mbunge halali wa chama hicho Aidan Joseph Kenan tokea tu walipoapishwa, na chama chao kiliapa kutochukua kabisa ruzuku...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kilichofanya Tundu Lissu apigwe risasi hadharani hiki hapa

    Kama ikipata wasaa wa kusoma kitabu kinaitwa "Zero Fail" (2021) utaelewa nini hasa ninachozumgumza. Kitabu hicho kinaainisha matukio ambayo Idara ya Ujasisi na Ulinzi wa Marekani imewahi ku-fail kama kifo Cha JF Kenedy. Kuna mengi katika kitabu nadhani nitayasema nikiandika Uzi kuhusu uhalisia...
  18. JamiiForums Tanzania Nani aliagiza na waliohusika kumshambulia Tundu Lisu? Serikali itoe kauli au ifunge jalada

    Kwa mujibu wa yanayoendelea nchini sasa ni kwamba wananchi wengi hawaamini kauli nyingi za serikali hususani zinazotolewa na Jeshi la Polisi kuhusu masuala ama matukio ya kinyama waliyofanyiwa upinzani. TUndu Antipas Lisu ni Mtanzania anayestahili haki zote za kikatiba na kisheria. Haki yake ya...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: CHADEMA tumeanza kupokea Ruzuku

    Makamu Mwenyekiti Mh Tundu Lissu akiwa katika mtandao wa Club house ameweka wazi kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimeanza kupokea Ruzuku Mwezi huu uliopita. Makamu huyo nguli wa sheria na siasa bora Tanzania ametumia nafasi hiyo kuwapongeza watanzania waliokiunga mkono chama hicho kikiwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wasaka ubunge ndani ya CHADEMA waanza kumzidi nguvu Tundu Lissu

    Ni dhahiri ndani ya CHADEMA watu wanachekeana usoni ila mioyoni mwao watu wanapiga mahesabu ya 2025. Baada ya uchaguzi wa 2020, Kamati kuu ya chama hicho ilitoa msimamo kuwa hakuna kushiriki uchaguzi wowote ujao bila uwepo wa Katiba mpya yenye Tume huru ya Uchaguzi. Mwanzoni kabisa, msimamo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…