tundu lissu

  1. Tundu Lissu: Watekaji wanataka wanimalize wamsingizie Mbowe

    Enyi watu wabaya mjulikanao kama 'watu wasiojulikana,' nimezisikia njama zenu. Mnataka kuniumiza halafu mumsingizie Mwenyekiti wetu wa chama, Freeman Mbowe. Ndivyo mlivyofanya wakati wa kifo cha marehemu Chacha Wangwe. Ndivyo mlivyofanya tena wakati mliponishambulia tarehe 7 Sept '17. Na ndivyo...
  2. PreGE2025 Tundu Lissu hana karama ya kuongoza chama kikubwa kama CHADEMA, msifanye makosa ya kumpa Uenyekiti

    Huenda Kuna watu wanahisi kuwa Mwenyekiti wa chama pinzani chenye nguvu Afrika ni lelemama, la hasha ni vita hasa tena ni uhaini mkubwa kwa watawala Hawa ambao hawapendi kukosolewa. Tundu Lissu amekuwa akitapatapa kusaka uongozi wa juu kwenye chama bila kujua kuwa makamu Mwenyekiti ni nafasi...
  3. L

    PreGE2025 Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe

    Ndugu zangu Watanzania, Nikiri wazi kuwa sijawahi kufikiria wala kuwazia wala kutizamia wala kuota wala kutarajia wala kuona Eti Lissu akichukua Fomu ya Kuomba Kuongoza CHADEMA kama Mwenyekiti wake Taifa. huu ni utani ,huu ni Mzaha anaoufanya Lissu kwa sababu hana uwezo huo wa kuongoza...
  4. John Mnyika ajibu tuhuma za Tundu Lissu kuhusu rushwa, adai tuhuma zenye ushahidi kupelekwe kwenye vikao vya Kikatiba vya Chama

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amejibu tuhuma za Tundu Lissu, adai tuhuma zenye ushahidi kupelekwe kwenye vikao vya Kikatiba vya Chama "Ikiwa kuna kiongozi yeyote au mtu yoyote kwa maana ya mwanachama wa CHADEMA anatuhuma dhidi ya yeyote aziwasilishe ili zishughulikiwa kwa mujibu wa...
  5. Ngurumo: 90% waliohudhuria huo mkutano wa Tundu Lissu alipokuwa akikinanga chama chake, walikuwa ni wana CCM waliovaa sare za CHADEMA bila yeye kujua

    Kweli ccm ni zaidi ya hatari. Ni wabobezi na welevu wa kila mbinu za ku deal na upinzani in a friendly way bila wao kujua. Kumbe waliohudhuria ule mkutano wa Tundu Lisu alipokuwa akikinanga chama chake cha chadema, wengi waliohudhuria mkutano huo, pasipo Tundu Lissu kujua, walikuwa ni wana ccm...
  6. Video: Hebu tujadili kasoro za mkutano wa Tundu Lissu na waandishi wa habari (Sehemu ya KWANZA)

    Courtesy: SK Media Online TV Saga la Tundu Lissu kutangaza nia kugombea nafasi ya uenyekiti CHADEMA (T) ili kumrithi mwenyekiti wa sasa Mh. Freeman Mbowe linaendelea kuzua mjadala ndani na nje ya nchi yetu... Katika video hii, utatazama na kusikiliza uchambuzi murua wa kasoro za mkutano wa...
  7. Nikisema Tundu Lissu, Mbatia na Slaa waunganishe nguvu pale NCCR MAGEUZI tupate Chama makini na imara nitakuwa nimekosea?

    Habari jf , baada ya mwaka 2022 Mbatia kusimamishwa NCCR MAGEUZI , May 2024 mahakama ilimsafisha na kuamuru Selasini amlipe milioni 80 Mbatia kwa kumchafua . Vivyo hivyo kwa Dr slaa , mazingira ya kuondoka kwake CHADEMA yaligubikwa na sintofahamu nyingi sana . Tundu lissu baada ya kutangaza...
  8. PreGE2025 Tundu Lissu: Uhusiano wa Mbowe na Serikali ya Rais Samia umetugharimu

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameweka wazi sababu za kuwania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho ngazi ya taifa na kutoa maoni yake kuhusu changamoto za kisiasa nchini. Lissu ameyasema hayo wakati wa mahojiano ya hivi karibuni na kituo cha habari cha...
  9. Exclusive Interview: Tundu Lissu amwakia mwandishi kwa kutokujua maana ya "Tume Huru ya Uchaguzi". Bila mfumo mpya wa uchaguzi hakuna uchaguzi 2025

    Courtesy: Mwanahalisi online TV In summary: 1. Amkemea mwandishi kwa kusisitiza kuwa, serikali ilishafanya mabadiliko waliyoyataka ya kuundwa "Tume Huru ya Uchaguzi". Yeye amkemea na kumwambia: "....kama unaamini kuwa kilichopitishwa na Bunge mwanzoni mwa mwaka huu ni Tume Huru ya Uchaguzi...
  10. S

    Jicho la tatu: Tundu Lissu unaweza kukabiliwa na assassination attempt nyingine wakasingiziwa CHADEMA kiwa hoja ya maswala ya uchaguzi ndani ya chama

    Tundu Lissu, wewe kwa sasa ndio tishio kubwa sana kwa watu wa chama fulani na mgombea wao mtatajiwa wa uchaguzi mkuu wa mwakani. Hivyo, nakushauri uwe makini sana katika mienendo yake yote kwani wanaweza kukufanyia jambo lolote baya na wakasingia chama chako ndio kimehusika kwa hoja ya vuguvugu...
  11. PreGE2025 Lissu jitokeze ukanushe habari za Msigwa kugharamia Press ya kutangaza nia, vinginevyo umekwisha

    Mimi ni mmoja wa watu tusio amini kwenye uzushi wa mitandaoni. Lakini kwa hili nililosikia naona linahitaji ulitolee ufafanuzi wewe mwenyewe maana linaenda kukupoteza mazima katika siasa hadi ubaki nawe unatembezwa mitaani ukiwa unabeba picha za mwenyekiti wa CCM kama huyo Msigwa. Je, ni kweli...
  12. PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA Mbeya: Tutamlazimisha Mbowe agombee Uenyekiti

    Wakuu, Tunaendelea kumywa mtori tukifiatilia hili kwa karibu. Bado ni mbinu ya kuichanganya CCM?? ==== Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Mbeya Masaga Kaloli, amesema anaamini bado Mwenyekiti wa sasa wa chama hicho Taifa Freeman Mbowe ana nguvu za kukitumikia chama hicho. Akizungumza na...
  13. PreGE2025 BAWACHA Mbeya wamuunga mkono Lissu

    Wakuu, Mambo yanazidi kunoga wakati tunaelekea 2025. === Siku moja tangu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu atangaze nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho Taifa katika mchakato wa ndani wa uchaguzi unaoendelea leo, Ijumaa...
  14. Nakubali Tundu Lissu awe Mwenyekiti na Mgombea Urais wa kambi yote ya Upinzani. Anza na kazi hii. Rudisha kundini kina Mdee na Wenzake.

    Ukweli usemwe. Kilichowaponza kina Mdee ni ule utawala wa mabavu wa awamu ileee. Ulishapita, Chadema ni muhimu ijengwe kuanzia ilikoishia kabla ya awamu hii.
  15. Je tuamini katika busara za Mwenyekiti Mbowe au tuamini katika ujasiri na misingi thabiti anayo amini Tundu lissu?

    Habari Jf , ujasiri,upambanaji , uzalendo na uwepo wa mwanasiasa Tundu lissu unafanya wapenda mabadiliko kuanza kufikiria sana utendaji kazi wa Mbowe hasa ukichukulia ni Zaidi ya miaka yuko madarakani. Kuna tunaoamini hatuwezi kuitoa CCM madarakani kwa Busara na utendaji kazi wa Mzee Mbowe...
  16. Ugumu na uzito wa kupandisha tukio la Tundu Lissu unatoka wapi?

    Nadhani msimamizi na muendesha channel ya CHADEMA MEDIA TV na CHADEMA DIGITAL atakuwa amejisahau kuweka clip ya hotuba ya makamu mwenyekiti chadema,Tundu Lissu akitangaza kugombea uenyekiti CHADEMA Taifa. Sio yeye tu nadhani hata wasimamizi wa CHADEMA blogs za chama na mabaraza ya chama kwa...
  17. B

    Chief Odemba: Nimeanza mazungumzo ya awali ya mdahalo baina ya Tundu Lissu na Freeman Mbowe

    Nimeanza mazungumuzo ya awali ya kutaka kuweka mdahalo baina ya wagombea wa nafasi ya mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA mazungumuzo yatakapokamilika nitatangaza siku ya mdahalo, nawatakia maandalizi mema ya mchakato wa uchaguzi. Ameandika Chief Odemba kwenye mtandao wa X.
  18. Kwanini CHADEMA TV Haikurusha Live mkutano wa Tundu Lissu wakati ilialikwa?

    Je wamekumbwa na tatizo gani? Habari ya mwisho ni ile ya mkutano wa Freeman Mbowe. Je, waliishiwa bando, walisahau au nini kimetokea? Erythrocyte unaweza kuwa na majibu au na wewe ni kama Yericko Nyerere ?
  19. R

    Lissu na Mbowe kama vile Uhuru na Ruto: Je, CCM wanaweza wakaruhusu uchaguzi kama wa Chadema kwa Mwenyekiti?

    Nimependa na kukubali sana hatua ya Lisu kugombea uwenyekiti. Anagombea akija na siasa za akina Dr. Slaaa. Anaibuka siku moja baada ya kuwa meza moja na mwenyekiti. Natamani kumwona nani atasimama nafasi ya makamu mwenyekiti Mchuano huu unakwenda kufukua mjadala. Namwona Odemba ameanza...
  20. PreGE2025 Steve Nyerere ampongeza Tundu Lissu kwa Uamuzi wa Kugombea Uenyekiti wa CHADEMA

    Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa ‘Mama Ongea na Mwanao,’ Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere, amempongeza Tundu Lissu kwa kutangaza nia yake ya kugombea uenyekiti wa CHADEMA, akisisitiza kuwa ni haki yake kikatiba mradi anazingatia miko na katiba ya chama. Kupitia ujumbe aliouandika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…