tundu lissu

  1. PreGE2025 Lema afunguka baada ushindi wa Tundu Lissu Uchaguzi CHADEMA, Mbowe ni kaka yangu ila Lissu ni bora zaidi wakati huu

    Godbless Lema avunja ukimya baada ya ushindi wa Tundu Lissu Uchaguzi CHADEMA adai yeye kwenda kinyume na Mwenyekti Freeman Mbowe ilikuwa ngumu sana. "Nitendo gumu la kisiasa, katika matendo magumu ya kisiasa nimeshawahi kuyafanya hili ni namba moja katika maisha yangu, Mbowe ni kaka yangu, ni...
  2. PreGE2025 Watanzania wabubujishwa na machozi ya furaha na matumaini kwa ushindi wa Lissu. matumaini kwa upinzani kurejea?

    Wakuu, Watanzania wote mpaka CCM akina Lucas Mwashambwa na mwenzake aliyejitoa ufahamu mwishoni Retired wamebubujikwa na machozi baada ya Lissu kunyakua ushindi wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA, na Heche akiwa kama Makamu wake. Si huku bara tu hata Zanzibar kule Kizimkazi nako ni shangwe...
  3. PreGE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

    Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.
  4. PreGE2025 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

    Wakuu, Leo mbali na kuwa ni Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA pia wanasherekea Miaka 32 ya CHADEMA kupata Usajili wa Kudumu, ambapo ulipatikana Januari 21, 1993. https://www.youtube.com/watch?v=6W33TIKrrOE Mbivu na mbichi kujulikana leo, tumeona mengi na kusikia mengi kila upande ukitetea kwake. Je...
  5. Wajumbe Wapiga kura katika Uchaguzi wa CHADEMA wanasinzia sana ukumbini kulikoni?

    Halafu mbona bado mapema sana my friends, ladies and gentlemen? Yaani wamepoteza umakini kabisa. Au kuna kitu wamekula au kunywa kinawafanya kusinzia kwa pamoja? Na inaruhusiwa kufanya hivyo kwenye jambo muhimu kama hili? Au ni njaa ndungu zangu? Si wapatiwe chochote kitu basi? Au ni uchovu wa...
  6. PreGE2025 CHADEMA is not ready for prime time!

    Hiki chama kinachojinasibu kuwa ndo chama kikuu cha upinzani nchini [whatever that means], bado sana. Bado hakipo tayari kuongoza nchi. Kinaweza kuwa na miaka 30+ sasa tokea kiundwe, ukweli wa mambo ni kwamba bado hakijakomaa. Yaani zoezi dogo tu la kupiga kura ndani ya chama kuchagua viongozi...
  7. PreGE2025 Selemani Bungara (Bwege): tatizo kubwa la Tundu Lissu ni kusema ukweli sana

    Wakuu Ukweli unaweza kugeuka sumu, Bwege naye kasema TAL tatizo ni mkweli kupiliza Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Selemani Bungara maarufu kama Bwege anasema tatizo kubwa la Tundu Lissu ni kusema ukweli sana. Soma: Musiba: Tundu Lissu hafai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ni mkweli mno
  8. M

    Utabiri wangu: Mbowe atashinda uchaguzi na atamtangaza Tundu Lissu kuwa mgombea urais 2025, imeisha hiyo

    Mimi nimesoma Political Science, siasa za Tanzania tangu 1992 vuguvugu linaanza la mfumo wa vyama vingi nilikuwa nafatilia. Nimekuwa nikimsikiliza Mbowe akihubiri amani ndani ya chama, in fact kwa mahela aliyoweka katika kusaidia chama chake ni mengi na hawezi kuachia chama coz hatalipwa mahela...
  9. PreGE2025 PICHA: Lema, Boni Yai wakigonga tano kwa furaha kwenye mkutano mkuu CHADEMA

    Wakuu Kitaalam tunaiitaje hii? Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema, ambaye ni wakala wa mgombea uenyekiti Taifa wa chama hicho, Tundu Lissu, akifurahia jambo na Boniface Jacob, ambaye ni wakala wa mgombea Freeman Mbowe, wakati wa uhakiki wa wajumbe katika mkutano...
  10. PreGE2025 Ndio kwanza wanahakiki majina, bado wagombea kujinadi ndio zoezi la kura lianze! Wanatoboa kweli leo?

    Wakuu, Naona CHADEMA leo wanataka kutulaza saa tisa usiku :BearLaugh: :BearLaugh: .Maana ndio kwanza wapo kwenye zoezi la kuhakiki wajumbe, mara wamesema sijui kuna kanda ya Rukwahaikuwepo kwenye orodha, hapo inabidi wajadili tena ili naowahakikiwe. Kupoteza muda tu. Wakimaliza kuhakiki...
  11. Lissu amekosea kwenye Final touch. Kumchagua Lema haukuwa uamuzi sahihi

    Bado Tupo! Mchezaji anaweza mzuri kwenye ku- defence, ku-drible, kushambulia lakini akawa anashindwa kwenye final touch kumalizia kufunga Bao. Huyo Mbowe tayari alikuwa ametepeta, Timu yake ilikuwa ICU. Chenga nyiiingi kwa Lisu Mpaka kamchenga Kipa. Alafu mwishoni kabisa ati anatoa Pass kwa...
  12. PreGE2025 Uchaguzi Chadema waanza, hivi ndivyo uhakiki wapiga kura unavyofanyika

    Ni rasmi; agenda ya uchaguzi utakaoamua nani atakayeiongoza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa miaka mitano ijayo imeanza, na uhakiki wa wajumbe watakaofanya uamuzi umeanza. Uhakiki wa wajumbe hao unafanyika kwa kuita majina ya wajumbe wa kanda mojamoja ili kupata uhalali wa...
  13. PreGE2025 Tundu Lissu amteua Lema kuwa wakala wake uchaguzi CHADEMA

    Mgombea uenyekiti wa CHADEMA Taifa na makamu mwenyekiti anayemaliza muda wake, Tundu Lissu, amemteua Godbless Lema kuwa wakala wake katika uchaguzi unaofanyika leo. Kuteuliwa kwa Lema, ambaye si mjumbe wa mkutano mkuu kwa sasa, kumetangazwa na Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika, leo...
  14. Uchambuzi wa Kinyota na Nambari kwa Freeman Mbowe na Tundu Lissu

    Uchambuzi wa Numerology Numerology inahusisha kupunguza tarehe ya kuzaliwa hadi Nambari ya Njia ya Maisha (Life Path Number) ili kufunua sifa za kibinafsi na uwezo. Uchambuzi: Mbowe akiwa na 4 anaonyesha uongozi wa utulivu na wa vitendo, jambo linalovutia wanaotaka kuendeleza hali ilivyo. Lissu...
  15. PreGE2025 Tanesco yadaiwa kuhujumu Mkutano Mkuu wa CHADEMA. Yakata umeme Lissu akihutubia

    Inadaiwa wanakata umeme na kuwasha mara kwa mara Taarifa hii ni kwa Mujibu wa Katibu Mkuu wa Chadema aliyoitoa Ukumbini hapo. Nashauri wazime umeme wa Tanesco wawashe Generator. Kuhusu uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu M/kiti fuatilia LIVE - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya...
  16. PreGE2025 Hotuba ya Mbowe Uchaguzi Mkuu CHADEMA: Bora alivyokimbia Mdahalo maana Lissu angemvua nguo kweupe!

    Wakuu, Lissu amepiga hotuba moja safi sana, Mbowe karudi kule kule kuanza kuanza kuongelea historia ya chama, mara kusifia wafanyabiashara (wanaompa hela za kuhonga wajumbe :BearLaugh: :BearLaugh: :KEKWlaugh:), mara aanze kupiga majungu kuhusu matusi kwenye chama, yaani bure kabisa. Ndio maana...
  17. PreGE2025 Kwanini TBC hawarushi Live Mkutano Mkuu wa CHADEMA? Je, hiki ni chombo cha CCM au Watanzania wote?

    Inasikitisha sana kuona chombo kikuu cha habari hapa nchini, kikifanya ubaguzi kwa walipa kodi ambao kimsingi ndiyo chanzo cha uwepo wa chombo hicho. Uchaguzi wa CHADEMA, soma Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5% Mimi nikiwa kama Mtanzania ambaye...
  18. PreGE2025 Lissu awasili Mlimani City akiwa ndani ya gari yake aliyopigwa nayo risasi Dodoma na watu wasiojulikana, tena ikiwa bado na matundu yake ya risasi

    Mgombea wa Uenyekiti CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amewasili Mlimani City akiwa ndani ya gari alilopigiwa risasi na watu wasiojulikana mjiji Dodoma mwaka 2017 likiwa bado na alama za risasi katika ubavu wa kushoto ambao alikaa wakati akishambuliwa, ambapo leo Januari 21, 2025 unafanyika uchaguzi...
  19. PreGE2025 Wagombea CHADEMA walivyowasili kwa mbwembwe kwenye ukumbi wa Mlimani City

    Mgombea Uenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, amekuwa wa kwanza kuwasili katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaa, ambapo leo Januari 21, 2025 unafanyika uchaguzi wa kuwapata viongozi wa juu wa chama hicho. Lissu amewasili katika viwanja vya ukumbi huo saa 10:15 asubuhi, akiwa ndani ya gari...
  20. PreGE2025 Mwamakula: Wajumbe wameambiwa kuipiga picha au kuweke alama karatasi ya kura kama ushahidi wa kuongezewa pesa baadaye

    Wakuu, Kupitia ukurasa wake wa X, askofu Mwamakula amasema wajumbe wameambiwa waweke alama ya ushahidi kwenye kura ili wapewe kipoozeo baadaye kwa kumchagua (Mbowe). Mambo yameanza kuwa yamoto mapema kabisa! ===== Pia soma: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…