tundu lissu ashambuliwa kwa risasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na masaibu ya kushindwa kutumikia nafasi za kiuongozi

    Mwezi Machi mwaka 2017 Tundu Lissu alichaguliwa kuwa Rais wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika- TLS.Alishinda kwa kishindo kwa zaidi ya asilimia 88. Mwezi Septemba 2017 Tundu Lissu alipigwa risasi huko Dodoma na kupelekea kulazwa hospitali na kupatiwa matibabu kwa zaidi ya miaka miwili. Hii...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Hii kauli ya Magufuli masaa kadhaa kabla ya Tundu Lissu kupigwa risasi mwaka 2017 inafikirisha sana!

    Wanajamvi, Nikiwa X leo nimekutana na video clip ya the late Magufuli akimuongelea mtu ambaye alimuita kama "Mpiga Kelele" ambaye kwa maneno yake alikuwa ni adui wa serikali kwenye vita ya kiuchumi na kwamba at some point serikali ili-trap simu ya adui huyo na baada ya kutrap walikuta adui huyo...
  3. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

    Hints: Tundu Lissu anasema kuwa siku aliyopigwa risasi ndio siku Rais Magufuli alikuwa akipokea ripoti ya makinikia. Na masaa mawili kabla ya shambulio lake alitangazia umma kuwa kuna mtu anapiga kelele sana huko nje na katika vita jeshini watu wa namna hiyo ni sawa na wasaliti hivyo kazi huwa...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Taifa linahangaika na wasiojulikana waliomshambulia Tundu Lissu! Je, ni hawa?! Mhe. Mwigulu, IGP, anzieni hapa!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la swali tuu kuhusu watu watu, kwa kulisaidia jeshi letu la polisi na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kuitumia mitandao ya kijamii positively as source of a security tip ya vital information kuhusu uchunguzi mbalimbali. Usisubiri hadi mtu akaripoti polisi kuhusu...
Back
Top Bottom