tuna

A tuna (also called tunny) is a saltwater fish that belongs to the tribe Thunnini, a subgrouping of the Scombridae (mackerel) family. The Thunnini comprise 15 species across five genera, the sizes of which vary greatly, ranging from the bullet tuna (max. length: 50 cm (1.6 ft), weight: 1.8 kg (4 lb)) up to the Atlantic bluefin tuna (max. length: 4.6 m (15 ft), weight: 684 kg (1,508 lb)). The Atlantic bluefin averages 2 m (6.6 ft), and is believed to live up to 50 years.
Tuna, opah, and mackerel sharks are the only species of fish that can maintain a body temperature higher than that of the surrounding water. An active and agile predator, the tuna has a sleek, streamlined body, and is among the fastest-swimming pelagic fish – the yellowfin tuna, for example, is capable of speeds of up to 75 km/h (47 mph). However, greatly inflated speeds can be found in early scientific reports and still widely reported in the popular literature. Found in warm seas, it is extensively fished commercially, and is popular as a game fish. As a result of overfishing, some tuna species, such as the southern bluefin tuna, are threatened with extinction.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwa yanayotokea uwanjani MC Alger na TP Mazembe. Afrika tuna safari ndefu sana ya football

    Mwarabu anabebwa kupita kiasi, hii mechi ni kielelezo tosha cha waarabu wanavyofanya kwenye soka letu, bora tu waanzishe ligi yao na watuache na yetu
  2. G

    Rais wetu anajali sana starehe kuliko maisha ya watu?

    Ni mwepesi kutoa pongezi kwa timu za mpira mara tu zinapopata ushindi LAKINI hana wepesi huo kwa watu waliotekwa. Anaona fahari kutoa zawadi ya fedha kwa timu ya taifa ama Simba na Yanga WAKATI kuna watu wanakufa kwa kukosa tiba mahospitalini kwa kuwa hawana uwezo wa kulipia matibabu (hawana...
  3. K

    Unatembelea Pemba? Tuna Malazi kwa ajili yako

    Karibu Pemba, Karibu Furaha Lodge, katikati ya mji wa Chakechake, bed and breakfast, free WiFi, Self contained rooms, Satellite TVs na ukarimu ni jadi yetu. Wasiliana nasi 0765448065 & 06795099901
  4. kule Kenya,Vijana leo wameanzisha maandamano ya kupinga kutekwa kwa kijana mwezao. Tanzania hii haiwezekani tunataka mtu atuandamanie.

    Tanzania narudia kusema Movement za kiuanaharakati hatuziwezi na tunazania mtu mmoja anaweza fanya kwamba kuna mtu anaweza andamana kwa niaba yetu au anaweza paza sauti na sisi tukakaa kutazama jioni kwenye taatofa za habari. Wakenya wana spirt ya asili ya kupambana na sio kutegemea wakina...
  5. S

    Chadema kama ni sawa Mbowe kuendelea uenyekiti wanadamu wote tuna mapungufu, kwa nini si sawa CCM kuendelea kutawala maana vyama vyote vina mapungufu?

    Lojiki ya kufikiria ya Watanzania wenzengu mara nyingine inaniacha nashindwa kuwaelewa. Sielewi kwa nini suala la Mbowe na Lissu kugombea uenyekiti liwe jambo linalotishia uhai wa Chadema. Tukirudi nyuma, hatuwezi kusema Nyerere aliacha uongozi kwa sababu aliishiwa fikra sahihi na ghafla Mwinyi...
  6. Kongole kwa Simba. Yanga tuna mengi ya kujifunza kimataifa

    Sina haja na salamu. Hakuna asiyejua kama mimi ni Shabiki kindakindaki ya YANGA SC. 1.Yanga yangu kimataifa inapwaya sana.Jana tumezubaa mpira hata haujavuka mstari refa akaita kati wachezaji plus Captain wamezubaa tu kama yale yale ya Mamelod hakuna hata kumlalamikia refa. Kama umeona game...
  7. M

    KERO Wakazi wa Kimara na kata zake hawana maji zaidi ya wiki sasa, DAWASA hamuelezi maji yatatoka lini!

    Uongozi wa mamlaka ya maji safi jijini Dar-es-salaam hautoi taarifa ni lini huduma ya maji safi itarejea Kimara na kata zake zote kwa ujumla. Wanawake na watoto wanasumbuka kutembea umbali mrefu kusaka maji bila ya mafanikio. Tunaitaka mamlaka ya maji Dar-es-salaam (DAWASA) kutuelezea ni lini...
  8. Mabati ya chinichini ndio yamejaa Dar, Bado tuna safari ndefu kufikia skyscraper city

    Imepigwa kutoka PSSSF tower floor ya 33
  9. Nchi hii tuna bora viongozi na si viongozi bora

    Wasalaam, Leo naandika kwa uchungu sana kuhusu tabia ya makampuni ya simu hasa hawa tigo kukwepa kodi kila baada ya miaka 5. Serikali ina viongozi ambao wengi wapo pale kwa maslahi yao na si watanzania. Tangu jana nawapigia ndugu zangu waliopo tigo najibiwa kwamba namba unayopiga haipo...
  10. Watanzania wengi tuna upungufu wa IQ

    Ukitaka kujua akili ta watanzania wengi ilivyo na shida, subiri foleni. Yani kuna foleni badala watu wakae kwenye line yao wanahamia kwenye line ya magari yanayoelekea uelekeo mwingine. Mwishowe foleni haiendi si kwa magari yanayokwenda wala kurudi. Sijui watanzania tuna shida gani. Kuna...
  11. LGE2024 Geita: Maneno haya ya Dotto Biteko kwenye Uchaguzi si mageni jijini. Labda kwa mgeni jijini. Kwa wenyeji tushayazoea

    Wakuu, Nimekutana na clip hii ya Dotto Biteko akizungumzia malengo ya CCM kwenye Uchaguzi huu. Tunajua nini wataenda kufanya. Ni kama marudio ya 2019. Ushindi wa asilimia 99.99
  12. LGE2024 Tuna mtaji wa imani ya Watanzania: Dkt. Nchimbi

    TUNA MTAJI WA IMANI YA WATANZANIA: NCHIMBI Azindua kampeni Mwanza akitamba na takwimu za kura za uhakika Awasihi wanaCCM kila mmoja kutafuta kura 10 kwa ajili ya ushindi wa kishindo Ahamasisha kampeni za nyumba kwa nyumba na mtu kwa mtu, isiachwe kura hata moja, wakiwemo wapinzani Awataka...
  13. LGE2024 Emmanuel Nchimbi: Tuna Mtaji wa Imani ya Watanzania

    TUNA MTAJI WA IMANI YA WATANZANIA: NCHIMBI Azindua kampeni Mwanza akitamba na takwimu za kura za uhakika Awasihi wanaCCM kila mmoja kutafuta kura 10 kwa ajili ya ushindi wa kishindo Ahamasisha kampeni za nyumba kwa nyumba na mtu kwa mtu, isiachwe kura hata moja, wakiwemo wapinzani Awataka...
  14. Rais Samia: Watu 13 wamefariki kwenye jengo lililoporomoka Kariakoo. Serikali kugharamia matibabu ya majeruhi na kuhakikisha waliofariki wanasitiriwa

    Rais Samia ambaye amesafiri kwenda Jijini Rio de Janeiro nchini Brazil 16 Novemba, 2024 kwa mwaliko wa Rais wa Brazil, Luiz Inácio Lula da Silva kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa Kundi la G20, amezungumza na Wananchi kufuatia kuporomoka kwa ghorofa...
  15. Uganda analipwa mara nne ya mshahara wa Daktari wa Tanzania

    Sasa udokta Tanzania umekuwa kama uuguzi au ualimu wa shule ya msingi. Unatolewa kama UPE. By the way how can you strike for your rights if literally you were unqualified to study medicine? Madaktari wenye akili waliishia kwa akina Ulimboka. Nenda page 21, schedule 6. Kama mvivu kusoma...
  16. Tanzania, hapa tunatosha wapi?

    Aristotle, the great philosopher, alisema unaweza kuainisha serikali zote duniani katika haya makundi sita. Mimi binafsi naona nchi yangu ipo kwenye Oligarchy.
  17. Tanzania tuna Vyama vya Siasa vitatu tu sio Ishirini

    Dkt Emanuel Nchimbi juzi kasema kuna vyama walishiriki kuvianzisha na vimekua kwa sasa vyama ambavyo wameanzisha na vimekua ni vifuatavyo. CHADEMA, ACT-WAZALENDO ni vyama ambavyo vyote vilianzishwa na CCM japo kwa nyakati tofauti lakini leo vyama hivi vinatafuta njia ya kushika dola kwa...
  18. T

    Generali Ulimwengu: Miaka 60 baada ya uhuru tuna rais mfalme hawajibiki kwa mamlaka yoyote

    Nimemsikia akiongea mahali mchambuzi huyu wa mambo ya kisiasa anasema Tanzania ina Rais jina tu lakini kiuhalisia mamlaka ya rais wa Tanzania ni ya kifalme. Sii Baraza la mawaziri wala bunge lenye mamlaka ya kumfanya chochote rais wa Tanzania. Kwa maana hiyo rais yuko juu ya Sheria
  19. D

    Shida ya nchi hii tuna wabunge vilaza wakiongozwa na spika. Eti spika anashadadia ajira za kunitolea. Hii ni failure ya serikali kabisa

    Spika kabisa unaona poa kushadadi ajira za kujitolea yaani mtu anasoma mpaka university halafu manaona kumpa cheap labour ndo halali yake, kweli. Badala ya spika wa bunge kukemea hilo we ndo kwanza unaona poa tu unalitumia kuwakandamiza wengine ili nao wajitolee ili kupata kazi. Halafu mobunge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…