tume ya uchaguzi zanzibar

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Harvey Specter

    Mahakama ya Afrika Yaamuru Tanzania Kurekebisha Katiba: Vifungu Vinavyozuia Kuhoji Maamuzi ya Tume za Uchaguzi Vyakiuka Haki za Binadamu

    Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imeamua kuwa vifungu vya Katiba ya Tanzania na Zanzibar vinavyozuia mahakama kuhoji maamuzi ya Tume za Uchaguzi vinakiuka haki zinazolindwa chini ya Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu. Tanzania imeagizwa kufanya marekebisho ya kikatiba...
  2. Waufukweni

    PostGE2025 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yateketeza nyaraka za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025

    Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imeanza utekelezaji wa zoezi la kuteketeza nyaraka za Uchaguzi Mkuu uliofanyia Oktoba 29, 2025 ambapo zoezi hilo limeanzia Kisiwa cha Pemba na baadae Kisiwa cha Unguja. Akizungumza kuhusu zoezi hilo Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Jaji George Joseph...
  3. Roving Journalist

    PostGE2025 ACT: Tunapinga na Kulaani mpango wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar kuchoma Ushahidi wa Wizi wa Kura

    CHAMA CHA ACT WAZALENDO TUNALAANI NA KUPINGA MPANGO WA ZEC WA KUCHOMA USHAHIDI WA WIZI WA KURA ZANZIBAR – 4 FEBRUARI, 2026 – Wakati timu yetu ya Wanasheria ikiwa mbele ya Mahakama Kuu kuomba Kukagua na Kupata nyaraka muhimu za uchaguzi (Application for Discovery and Inspection), Tume ya...
  4. M

    PostGE2025 ACT Wazalendo: Mchakato wa uchaguzi uliharibiwa na tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC). Tutakwenda mahakamani

    Chama cha ACT Wazalendo kimesema kimejipanga kuchukua hatua za Kisheria kwa kile wanachodai kuwa ni kudai haki ya ushindi walioupata katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Kauli hiyo imetolewa na Mnadhimu wa Kambi rasmi ya Upinzani katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Profesa Omar Fakih, wakati...
  5. PAYE

    GE2025 ZEC: Watu wenye Ulemavu 8,021 watashiriki Uchaguzi Mkuu Zanzibar Oktoba 29, 2025

    Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imesema jumla ya watu wenye ulemavu wapatao 8,021 wanatarajiwa kushiriki katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 visiwani Zanzibar. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Uchaguzi wa ZEC, idadi hiyo imetokana na takwimu rasmi zilizokusanywa kupitia mchakato wa uandikishaji wa...
  6. R

    GE2025 ZEC kutumia bilioni 12 katika shughuli zote za Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025, Vyama 17 Kushiriki

    Licha ya ratiba ya uchukuaji wa fomu za uteuzi wa nafasi za urais, uwakilishi na madiwani kuanza leo, lakini kwa nafasi ya urais vyama vya siasa vimeandika barua za kuomba kuchukua fomu kuanzia Agosti 30, 2025. Wakati mchakato huo ukiendelea, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), inatarajia kutumia...
  7. Dalton elijah

    CHADEMA Zanzibara yagoma kusaini Kanuni za Maadili Tume ya Uchaguzi Zanzibar

    Chadema Zanzibara yagoma kusaini Kanuni za Maadili Tume ya Uchaguzi Zanzibar. Yasisitiza msimamo wa chama wa No Reforms No Election
  8. Waufukweni

    GE2025 Dorothy Semu: Tume ya Uchaguzi Zanzibar, msijaribu kuharibu Uchaguzi hatutakubali

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amesema kuwa ACT Wazalendo ndicho chama kilichobeba matumaini ya Watanzania. Amesema, "Tuna waambia Tume ya Uchaguzi Zanzibar, wasijaribu kuharibu Uchaguzi hatutakubali, kama kiongozi wenu nipo tayari kuyaongoza haya mapambano, nimeendelea...
  9. Roving Journalist

    PreGE2025 ACT yalalamikia utaratibu wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar unawakosesha Wananchi wengi haki ya kupiga kura

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI ACT-Wazalendo, tumeshangazwa na kushtushwa na Ujumbe mfupi wa SMS, kutoka Tume ya Uchaguzi Zanzibar, ambao wanatumiwa wananchi, kufika katika Ofisi za Uchaguzi za Wilaya kuchukua Vitambulisho vyao vya kupiga kura (Vote I'd), kuanzia tarehe 17/07/2025, katika Siku na...
  10. Roving Journalist

    GE2025 ACT: Viongozi wa Kisiasa kuwa Wageni rasmi katika shughuli za Tume ya Uchaguzi ni kufungua milango ya upendeleo

    Katibu wa Habari na Uenezi wa ACT-Wazalendo, Salum Bimani amezungumzia mambo mbalimbali mbele ya Wanahabari leo Julai 15, 2025, ikiwemo kuhusu uchaguzi wa Kura za Maoni kuwapata Wagombea Ubunge na Uwakilishi pamoja na ACT kutokubaliana na kitendo cha Rais Mwinyi kupewa mwaliko wa kuwa mgeni...
  11. G Sam

    Jaji aliyesoma hukumu ya CHADEMA ni Mzanzibar? Aliwahi kuwa kamishina wa tume ya uchaguzi Zanzibar

    Nauliza tu huyu mtu ni Mzanzibar? kama ndiyo, vipi kuhusu mahusiano yake na hukumu aliyotoa ambayo iligubikwa na utata? Huyu Jaji aliwahi kuwa kamishina wa tume ya uchaguzi Zanzibar kabla hajawa Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania. Hata kama ni suala la kurafsiriwa kama ubaguzi potelea mbali...
  12. Waufukweni

    PreGE2025 ZEC yapunguza kwa 50% gharama za Fomu kwa Wagombea Wanawake

    Kilio cha Wanawake na Wanaharakati wa kutetea haki za wanawake kuhusu dhamana ya gharama za fedha za uchukuaji wa fomu, kugombea nafasi ya urais,uwakilishi na udiwani katika Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kimepatiwa ufumbuzi baada ya ZEC kupunguza asilimia 50 ya gharama hizo kwa wagombea...
Back
Top Bottom