Natoa angalizo tu Tume fake ya Mama itapuuzwa: Tume ya Kijaji yenye maamuzi ingepokelewa kwa namna tofauti.
Tume ambayo wanaoshiriki kuelezea wanafichwa imejaa wastaafu wanaolipwa na serikali. Haina maamuzi yeyote na Raisi ndiye ataamua kitu gani aseme!!! .
Tanzania bado hatujajua tutatokaje hapa
"Rais alisema ataunda tume jambo jema kabisa na mimi nikaona kwa uzoefu wangu tuunde tume ya kijaji, ukienda Kwenye account ya X utaona kwamba nilipendekeza i iundwe tume ya kijaji.
Sasa kama ilivyo mambo mengi labda haikueleweka tangu Tanzania iundwe haijawai kuunda na tume ya kijaji...
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu kuwa chama hicho kikipata ridhaa ya kuongoza nchi kitahakikisha ndani ya siku 100 kinaunda tume ya kijaji ili itoe majibu ya matukio ya nani wanaohusika kupoteza na kuteka watu nchini
Ametoa kauli hiyo Oktoba 12, 2025 akiwa Kata ya Pasua na...
Mgongano wa ndani ndani ya uongozi wa Chadema unaonekana wazi katika namna wanavyoshughulikia Masuala nyeti kama uchunguzi wa utekaji na mauaji ya Ali Mohamed Kibao.
Mwenyekiti Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu wanatofautiana waziwazi, jambo linalodhihirisha ukosefu wa mshikamano...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amesema haiwezekani Vyombo vya Usalama nchini kuchunguza Matukio ya Uhalifu ikiwemo Utekaji na Mauaji yanayoripotiwa nchini kwasababu vinatuhumiwa kuhusika na matukio hayo.
Akizungumza na JamboTV, Lissu amesema "Lini Jeshi la Polisi liliwahi kuchunguza...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amemwambia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni kuwa amfikishie salamu Rais Samia Suluhu Hassan kuwa anatakiwa kuunda Tume ya Kijaji ya Mahakama kuchunguza matukio ya utekaji na mauaji Nchini.
Amesema Tume hiyo ambayo itachunguza pia tukio la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.