TAARIFA KWA UMMA
KUHUSU KUSITISHA UCHAGUZI KATIKA KATA YA KIRUA VUNJO MAGHARIBI
Tafadhali rejea somo tajwa hapo juu.
Kwa kuzingatia masharti ya Kifungu cha 71(1) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024 na kwa barua yenye Kumb. Na CMV/U.30/10/VOL.II/45 ya tarehe...
Je, Umewahi kujiuliza jinsi viongozi wa Tume ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) wanavyopatikana?
Jaji Mkuu Martha Koome (wa tatu kutoka kushoto) akiwa na wajumbe wa Jopo la Uteuzi la Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) baada ya kuapishwa Januari 27, 2025
Katika taifa ambapo uchaguzi ni...
Twalibu Kadege - Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha UPDP , Anasema kwa uwazi kuwa: Tume huru ya taifa ya uchaguzi iko vizuri sana na atakayeshinda atatangazwa.
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetangaza nafasi za kazi za muda za watendaji wa vituo vya kupigia kura katika Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu.
Taarifa kwa umma iliyotolewa jana Juni 28,2025 na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC,Ramadhani Kailima nafasi hizo ni
wasimamizi wa vituo vya...
INEC | Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele
Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele
Mwenyekiti na Mjumbe wa Tume
Mhe. Jaji Rufaa Mst. Mbarouk Salim Mbarouk
Makamu Mwenyekiti na Mjumbe wa Tume
Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu Asina A. Omari
Mjumbe wa Tume
Mhe. Balozi Omar Ramadhani Mapuri
Mjumbe wa Tume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.