Wakili Dickson Matata akizungumza katika Mdahalo wa "Jicho la Wanasheria Uchaguzi Mkuu 2025" kipindi cha Star TV ameelezea Suala la Uteuzi wa watendaji wa Tume huru ya Uchaguzi ambapo Katiba inasema Rais ndiye mwenye Mamlaka ya kuteuwa Mwenyekiti, Makamumwenyekiti na Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi...
Wakuu,
Kumbe nchi yetu ina mazingira mazuri sana ya Kiuchaguzi katika kipindi hiki na hamsemi?
Akiwa anazungumza jana, Kabudi anasema kwamba tangu Tanganyika au tuseme Tanzania ipate uhuru hakuna kipindi ambacho mazingira ya Uchaguzi yamekuwa mazuri kama kipindi hiki
Kabudi anasema kwamba...
Wakuu,
Kuna jambo nilikuwa naangalia hapa jukwaani kwenye uzi wa siku ya kusaini kanuni za maadili, si ndio nikaona kale ka alama kuonesha video imeondolewa bana, kufika utube wanakwambia sorry, video imeondolewa?
Spana za wananchi na upinzani juu ya kanuni hizo zimechangia Tume kujishtukia...
Mzee Ramadhan Omari Mapuri amehudumu kama kiongozi Mwandamizi kwenye serikali na kwenye Chama cha Mapinduzi, Mapuri ni mwanaccm Mtiifu mwenye kadi hai ya uanachama.(Namba yake kadi tutaiweka hapa)
Huyu ni Mjumbe wa kinachoitwa Tume Huru ya Uchaguzi na ni Mzanzibar.wa Kuzaliwa.
Wasifu wake...
Mwenyekiti Mstaafu wa Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati, ameaga dunia.
Pia soma: Kenya 2022 - Chebukati asimulia yaliyomkuta kabla ya kutangaza matokeo urais Kenya
Jumatatu, Bw. Chebukati alilazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika hospitali moja jijini Nairobi baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.