Tulia Ackson (born 23 November 1976) is the Speaker of the National Assembly of Tanzania, in office since 2022. She was appointed as a Member of Parliament by President John Magufuli. On 27 October 2023, she was elected the President of the Inter-Parliamentary Union (IPU) through the meeting convened at Luanda Angola where she passed other contestants by a great margin.
Spika mstaafu wa Bunge la Tanzania, Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge wa Jimbo la Uyole, Dkt. Tulia Ackson, leo Disemba 19, 2025, ameifuta machozi ya familia ya Emmanuel Julius Kyanula kutoka kata ya Igawilo, Uyole, ambayo ilipata janga la nyumba kuungua kwa moto.
Akizungumza...
Hii leo Disemba 19, 2025, Spika Mstaafu wa Bunge la Tanzania ambaye ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge wa Jimbo la Uyole Dkt. Tulia Ackson amepeleka nuru kwa Familia ya Anyomwisye Mwalyaje ambayo ilipata janga la nyumba kuungua kwa moto katika kata ya Ilemi.
Dkt.Tulia...
Tulia Trust watoa vifaa vya ujenzi wa nyumba iliyoungua kwa moto, Kata ya Ilemi Mtaa wa Mwafute, waiomba jamii kuendelea kutoa taarifa kwa wenye mahitaji ili waweze kufikiwa pia.
Muwakilishi wa Idara ya Habari na Mawasiliano TULIA TRUST, Addy Kalinjila amezungumza baada ya kukabidhi vifaa vya...
Taasisi ya Tulia Trust Chini ya Mkurugenzi Wake ambaye ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) Dkt. Tulia Ackson imewasaidia mahitaji watoto wa familia moja walioshindwa kuendelea na masomo kwa kukosa vifaa vya shule...
Taasisi ya Tulia Trust chini ya Mkurugenzi Wake ambaye ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson imefika Kata ya Ilomba na kuwapa msaada wa mavazi wananchi 22 wenye uhitaji.
Leo 23 Machi 2025 Tulia...
Taasisi ya Tulia Trust chini ya Mkurugenzi wake ambaye ni Spika wa Bunge, Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) na Mbunge Mbeya Mjini Dkt. Tulia Ackson imetoa futari kwa waumini 200 wa dini wa kiislam.
Futari hiyo imekabidhiwa leo Jumatano, Machi 19,2025 kwa Shekhe Mkoa wa Mbeya, Msafiri...
Wakuu,
Kwa picha hizi tutakuwa tunakosea tukisema Tulia anatumia Watanzania masikini kama mtaji wa kisiasa?
Kuna haja gani ya kuwasaidia hawa watanzania kama huo msaada unahusisha makamera na press za kutia tia huruma?
Kuna watanzania wengi sana, wana majina makubwa na wanasaidia watu...
Wakuu,
Kama unafuatilia ukurasa wa Instagram wa Tulia, Mbunge huyo wa Mbeya Mjini amezidi kumwaga misaada kwa Wana Mbeya.
Hivi sasa ukurasa wake umejaa video za watu wakiwa wanapewa na kugawiwa nguo pamoja na majengo ambayo foundation yale imejenga.
Sugu anaona lakini mambo haya anayofanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.