trump

Donald John Trump (born June 14, 1946) is the 45th and current president of the United States. Before entering politics, he was a businessman and television personality.
Trump was born and raised in the New York City borough of Queens, and received a B.S. degree in economics from the Wharton School at the University of Pennsylvania. He took charge of his family's real-estate business in 1971, renamed it The Trump Organization, and expanded its operations from Queens and Brooklyn into Manhattan. The company built or renovated skyscrapers, hotels, casinos, and golf courses. In the 1980s and 1990s, following setbacks in several highly leveraged real estate ventures, Trump diversified into various side ventures, mostly by licensing his name. He co-authored several books, including The Art of the Deal. He owned the Miss Universe and Miss USA beauty pageants from 1996 to 2015, and produced and hosted The Apprentice, a reality television show, from 2003 to 2015. Forbes estimates his net worth to be $3.1 billion.
Trump entered the 2016 presidential race as a Republican and defeated 16 other candidates in the primaries. His political positions have been described as populist, protectionist, and nationalist. He was elected in a surprise victory over Democratic nominee Hillary Clinton, although he lost the popular vote. He became the oldest first-term U.S. president, and the first one without prior military or government service. His election and policies have sparked numerous protests. Trump has made many false or misleading statements during his campaign and presidency. The statements have been documented by fact-checkers, and the media have widely described the phenomenon as unprecedented in American politics. Many of his comments and actions have also been characterized as racially charged or racist.
During his presidency, Trump ordered a travel ban on citizens from several Muslim-majority countries, citing security concerns; after legal challenges, the Supreme Court upheld the policy's third revision. He enacted a tax-cut package for individuals and businesses, rescinding the individual health insurance mandate. He appointed Neil Gorsuch and Brett Kavanaugh to the Supreme Court. In foreign policy, Trump pursued an America First agenda, withdrawing the U.S. from the Trans-Pacific Partnership trade negotiations, the Paris Agreement on climate change, and the Iran nuclear deal. He imposed import tariffs triggering a trade war with China.
A special counsel investigation did not find sufficient evidence to establish criminal charges of conspiracy or coordination with Russia, but found that the Trump campaign welcomed the foreign interference under the belief that it was politically advantageous. Trump was also personally investigated for obstruction of justice and was neither indicted nor exonerated. In a July 2019 telephone call, Trump pressured the Ukrainian president to investigate Joe Biden, a potential rival U.S. presidential candidate for 2020, and his son Hunter Biden. A whistleblower alleged a White House cover-up and a wider pressure campaign which may have included the withholding of military aid to Ukraine, sparking the Trump–Ukraine scandal. In response, the House of Representatives initiated an impeachment inquiry to investigate whether Trump had abused his office for political gain.

View More On Wikipedia.org
  1. Trump alifanya kosa kubwa sana kumuua Ayatollah Khamanei

    Kwanza nianze kwakusema hakuna anayefurahia mauaji yanayotokea kwa raia wasio na hatia pande zote mbili Iran na Israel,kwakuwa wao ni victim tu au wahanga tu Twende kazi..... Mzee wa hovyo Trump alidhani kwamba kutokana na uzoefu ambao unafahamika siku zote,kwamba ukimuondoa kiongozi...
  2. Trump: Kiongozi mpya wa juu wa Iran hatadumu bila idhini yake.

    Rais wa Marekani amesema kiongozi anayefuata wa juu wa Iran “hatadumu muda mrefu” ikiwa Tehran haitapata idhini yake kwanza ili kuchukua nafasi ya Ayatollah Ali Khamenei aliyeuawa katika shambulio la anga siku ya kwanza ya vita. “Atalazimika kupata idhini kutoka kwetu,” Trump aliambia ABC News...
  3. Trump: "Kutakuwa hakuna makubaliano yoyote na iran isipokuwa kujisalimisha bila masharti"

    “Hakutakuwa na makubaliano yoyote na Iran isipokuwa kujisalimu amri bila masharti (UNCONDITIONAL SURRENDER). Baada ya hapo, na baada ya kuchaguliwa kwa kiongozi au viongozi bora na wanaokubalika, sisi pamoja na washirika na marafiki wetu wengi wazuri na jasiri tutafanya kazi bila kuchoka...
  4. Ilikuaje Trump na Elon Musk matapeli wakubwa zaidi kuwahi kutokea katika siasa za Marekani kuaminiwa na raia wengi?!

    Hawa watu wawili sijui waliwezaje kuwadanganya na kuwalagahi mamilioni ya Wamarekani kuweza kuwaamini! Ahadi zote kubwa kubwa Trump alizowaahidi Wamarekani hadi wakamchagua kwa kishindo hajatekeleza hata moja na zaidi sana ameenda kinyume chake na hakuna maelezo yoyote anayowapa Wamarekani...
  5. Trump Ataka Kupitishwa kwa “Save America Act” Ili Kulinda Mfumo wa Uchaguzi na Sera za Kijamii

    Kumekuwa na mjadala mkubwa nchini United States kufuatia wito wa kupitishwa kwa sheria mpya inayojulikana kama “Save America Act.” Sheria hii inapendekezwa na Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, ambaye amesisitiza kuwa hatua hiyo inalenga kuimarisha uadilifu wa uchaguzi pamoja na kulinda...
  6. M

    Washirika wa Iran, wote wanaamini Trump aliwekwa na Putin uongozini, halafu hao hao wanalialia Putin aingilie kati vita vyao

    Kama Iran na washirika wake wanaamini Trump ni zao la Putin, kwa nini pia wasiamini kwamba Trump analinda masilahi ya Putin kwa kuwapiga Iran? Siku zote kobazi wamekuwa wakiamini, uchaguzi mkuu wa Marekani uliingiliwa na kuambiwa kupitia intelejensia ya Russia ikiongozwa na Rais wa nchi hiyo...
  7. UAE na Qatar zinajaribu kumshawishi Trump afupishe vita dhidi ya Iran

    UAE na Qatar zinashawishi washirika kusaidia kumshawishi Trump 'kufikia njia ya mkato ambayo itawezesha operesheni za kijeshi za Marekani dhidi ya Iran ziwe fupi', kulingana na ripoti ya Bloomberg. Ikumbukwe kimahesabu endapo vita itakuwa ndefu, kiuchumi siyo tu Iran itapata hasara kiuchumi...
  8. Huenda hasira za kidini zikazidisha na kuchochea uhasama zaidi na kupelekea kuuawa kwa Benjamin Netanyahu au Donald Trump wakiwa bado wako mamlakani

    Kuuawa kwa kiongozi wa dini ya kiislamu pale Tehran-Iran, Grand Ayatollah Seyyed Imam AIi Hosseini Khamenei, kumeamsha hasira, chuki na uhasama usiomithilika na wenye sura mpya ya kidini ambayo huenda ikaleta maafa makubwa sana ulimwenguni na kuchochea zaidi matukio ya kujitoa muhanga na ugaidi...
  9. A

    Trump ndio anaomba mazungumzo sio Iran

    Trump anaomba mazungumzo wala sio Iran, sababu ya Trump kuomba mazungumzo silaha zao zimesambaratishwa na Iran. Pia kuna habari wanaficha kuongelea walio kufa na walio umia kuna nchi moja uarabuni wanajeshi wa USA wamejazana hospital na ukichukulia logical vipi Iran apige base zote wadai...
  10. Rais Donald Trump karibu sana Tanzania. Tunataka JamiiForums ifunguliwe bila masharti

    Mzee wetu Donald Trump karibu utusaidie kuifungua JamiiForums kwa kumteka aliyeamuru ifunguliwe. Mchukue uende naye hatumtaki. Turudishie waliotekwa ukifanya hivyo bandari zote za tanganyika nilizopewa bure nakupa wewe uziendeshe kwa sharti la kulegeza masharti ya kupata VISA ya marekani kwa...
  11. O

    Rais wa Marekani, Donald Trump Amethibitisha Kifo cha Khamenei

    Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuuawa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei, baada ya mashambulizi ya anga ya pamoja ya Marekani na Israel kulenga makazi yake siku ya Jumamosi. Trump alisema kuwa Khamenei na maafisa wengine wa Iran “hawakuweza kukwepa ujasusi wa Marekani na mifumo...
  12. B

    Donald Trump: Vyombo Vyote Iran Iwe Polisi, Jeshi, mgambo wekeni silaha zenu chini la sivyo utakabiliwa na kifo cha uhakika

    Hotuba kamili ya Rais wa Marekani Donald Trump akitangaza vita dhidi ya Iran Muda mfupi uliopita, jeshi la Marekani lilianza operesheni kubwa za mapigano nchini Iran. Lengo letu ni kuwalinda watu wa Marekani kwa kuondoa vitisho vinavyotarajiwa kutoka kwa utawala wa Iran, kundi katili la watu...
  13. Trump: Watu wa Iran saa ya ukombozi imewadia. Kwa miaka mingi mmeiomba Marekani msaada lakini hamkuupata, Tutakapomaliza kazi yetu chukueni nchi yenu

    Wakuu, Haya ni maneno ya Donald Trump baada ya Marekani na Israel kushambulia Iran "Hatimaye, kwa wananchi wa Iran, nasema usiku wa leo kwamba saa ya uhuru wenu imewadia. Kaeni mahali salama. Msitoke majumbani mwenu. Nje ni hatari sana. Mabomu yatakuwa yakidondoka kila mahali...
  14. Donald Trump: Jeshi la Iran shusheni silaha zenu chini na tutawapa kinga vinginevyo mtakutana na kifo

    Wakuu Akizungumza muda mfupi baada ya shambulio kwa Iran, Donald Trump amesema kuwa Jeshi la Iran linatakiwa ku-surrender na kuacha kupambana kumtetea Ayatollah "To the members of the Islamic Revolutionary Guard, the armed forces and all of the police. I say tonight that you must lay down your...
  15. Jana nimeangalia marudio ya hotuba ya Trump katika bunge la US. Nimegundua uongozi ni karama, uongozi ni zali kwa wengi ila kuongoza ni born-gift

    Hapa tunazugumzia bilionea alietengeneza empire yake kwa kuwa master wa man-magement, corporate na negotiations. Mwamba wa miaka 79, kasimama lisaa limoja na nusu, bila makaratasi bila maneno ya siasa bali akiwa na confidence na facts za mambo aliyoyafanya. Mwamba amesimama muda wote...
  16. Tangu 2021 kumekua na Ongezeko kubwa sana la Meli zinazopeperusha Bendera ya Tanzania na ambazo Zina Usajili wa Tanzania kukamatwa

    Kwa Sasa Mbwa kichaa ni lazima apewe majina yote mabaya mabaya ili Tumuue. Tangu 2021 kumekua na Ongezeko kubwa sana la Meli zinazopeperusha Bendera ya Tanzania na ambazo Zina Usajili wa Tanzania kukamatwa ama 👉Zinasafirisha Mafuta ya Magendo ya Wa Iran yalowekewa vikwazo ili yaingie katika...
  17. Trump kawadhalilisha wayahudi wa Tandale

    Niaje waungwana Mimi ni miongoni mwa watu wachache wenye uwezo wa kuongea ukweli, hata kama ukweli huo utakubaliwa na wachache na kukataliwa na wengi. Kwa wakongwe wa jukwaa hili la mambo ya kimataifa haswa kuhusu mambo ya Iran, Israel, Marekani nk nafikiri mnanifahamu vizuri kwenye uchambuzi...
  18. CBS NEWS: Illinois Gov. JB Pritzker sends bill for $8.68 billion refund to Trump after Supreme Court tariffs ruling

    Gavana wa Illinois, JB Pritzker, anamtaka Rais wa Marekani, Donald Trump, kuirejeshea jimbo la Illinois zaidi ya dola bilioni 8 baada ya Mahakama Kuu ya Marekani kubatilisha Ijumaa ushuru mpana wa kulipizana aliouweka. Mahakama hiyo iliamua kwa kura 6–3 kwamba Sheria ya Mamlaka ya Kiuchumi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…