trump

Donald John Trump (born June 14, 1946) is the 45th and current president of the United States. Before entering politics, he was a businessman and television personality.
Trump was born and raised in the New York City borough of Queens, and received a B.S. degree in economics from the Wharton School at the University of Pennsylvania. He took charge of his family's real-estate business in 1971, renamed it The Trump Organization, and expanded its operations from Queens and Brooklyn into Manhattan. The company built or renovated skyscrapers, hotels, casinos, and golf courses. In the 1980s and 1990s, following setbacks in several highly leveraged real estate ventures, Trump diversified into various side ventures, mostly by licensing his name. He co-authored several books, including The Art of the Deal. He owned the Miss Universe and Miss USA beauty pageants from 1996 to 2015, and produced and hosted The Apprentice, a reality television show, from 2003 to 2015. Forbes estimates his net worth to be $3.1 billion.
Trump entered the 2016 presidential race as a Republican and defeated 16 other candidates in the primaries. His political positions have been described as populist, protectionist, and nationalist. He was elected in a surprise victory over Democratic nominee Hillary Clinton, although he lost the popular vote. He became the oldest first-term U.S. president, and the first one without prior military or government service. His election and policies have sparked numerous protests. Trump has made many false or misleading statements during his campaign and presidency. The statements have been documented by fact-checkers, and the media have widely described the phenomenon as unprecedented in American politics. Many of his comments and actions have also been characterized as racially charged or racist.
During his presidency, Trump ordered a travel ban on citizens from several Muslim-majority countries, citing security concerns; after legal challenges, the Supreme Court upheld the policy's third revision. He enacted a tax-cut package for individuals and businesses, rescinding the individual health insurance mandate. He appointed Neil Gorsuch and Brett Kavanaugh to the Supreme Court. In foreign policy, Trump pursued an America First agenda, withdrawing the U.S. from the Trans-Pacific Partnership trade negotiations, the Paris Agreement on climate change, and the Iran nuclear deal. He imposed import tariffs triggering a trade war with China.
A special counsel investigation did not find sufficient evidence to establish criminal charges of conspiracy or coordination with Russia, but found that the Trump campaign welcomed the foreign interference under the belief that it was politically advantageous. Trump was also personally investigated for obstruction of justice and was neither indicted nor exonerated. In a July 2019 telephone call, Trump pressured the Ukrainian president to investigate Joe Biden, a potential rival U.S. presidential candidate for 2020, and his son Hunter Biden. A whistleblower alleged a White House cover-up and a wider pressure campaign which may have included the withholding of military aid to Ukraine, sparking the Trump–Ukraine scandal. In response, the House of Representatives initiated an impeachment inquiry to investigate whether Trump had abused his office for political gain.

View More On Wikipedia.org
  1. Trump awafutia kinga maraisi na mawaziri kadhaa waliomtangulia huku Zelensky akimwambia "achana na vinu vyetu vya nyuklia!".

    Orodha ya viongozi waliomtangulia aliowafutia kinga ya kutoshtakiwa ni wengi miongoni mwao ni raisi mstaafu Biden,Anthony Blinken,Obama na Hillary Clinton. Kwa upande wa Ukraine raisi Zelensky amejibu mpango wa Trump na Putin wa kugawana ardhi na mali za Ukraine kwa kusema Trump akae mbali na...
  2. Trump: Mapigano Urusi na Ukraine kukoma hivi punde, mazungumzo Kuhusu kugawana Ardhi yanaendelea

    Raisi WA Marekani Donald Trump akizungumza na waandishi wa habari akiwa live ofisini kwake (oval office) amesema kwamba:- "mapigano urusi na Ukraine kukoma hivi karibuni, mazungumzo juu ya kugawana Ardhi yanaendelea" Chanzo: rt, spectator index, Kyiv post
  3. Trump sasa kuachia mafaili ya safari ya kwenda mwezini

    Mamilioni ya mafaili kuhusiana na kifo cha aliyekuwa raisi wa nchi hiyo,John F. Kennedy sasa rasmi yameachiwa kwa walimwengu waweze kupekua wapendavyo kupata jawabu ya kifo hicho. Yapo matumaini kuwa kabla ya muhula wa uraisi Donald Trump yale mafaili ya siri juu ya safari ya mwezini nayo...
  4. Trump aifuta wizara ya elimu.Kisa walimu wengi wanakiunga mkono chama cha Democratic.Mfumo anaoutaka ni K-12

    Pamoja na onyo kutoka kwa wafuasi wake wa MAGA,rais Trump ametia saini amri ya kuifutilia mbali wizara ya elimu ya nchi hiyo. Amri hiyo imetajwa itaathiri sana vyuo vya elimu ya juu na vya kitafiti na hivyo kutazidi kudidimiza fikra ya Marekani kuwa taifa kubwa lenye maendeleo makubwa ya...
  5. Waafrika elfu 70 waonyesha nia ya kuhamia kwa 'Trump' USA

    Hatua ya Marekani imejiri kufuatia tuhuma za ubaguzi dhidi wa Afrikaner uliohusishwa na utawala wa rais Ramaphosa kupitisha marekebisho kwenye sheria za umiliki wa ardhi na kuipa serikali mamlaka ya kutwaa ardhi kutoka watu binafsi waliodhaniwa kufanya unyakuzi. Rfi
  6. US Aid Cuts to Africa: A Looming Crisis or a Catalyst for Self-Reliance?

    US Aid Cuts to Africa: A Looming Crisis or a Catalyst for Self-Reliance? The landscape of international development in Africa has been significantly altered by recent decisions from the United States. An executive order issued by President Trump, followed by an announcement from Secretary of...
  7. Rais Trump ashuhudia maandalizi makubwa ya kumpokea Masihi, nchini Israeli !!

    Ndugu zangu, habari ya mjini ndio hii. Kiongozi mwenye mamlaka makubwa ya kidini nchini Israeli ametamka wazi mbele ya Rais Trump kuwa Waisraeli wanajiandaa kujenga hekalu la tatu, kubwa, mjini Yerusalemu. Ujenzi wa hekalu la tatu ni hatua muhimu sana kwa Waisraeli katika maandalizi ya kumpokea...
  8. CIA: Vituo vya Siri vya Operesheni za CIA Vilivyosambaa Duniani Vyatajwa kwenye Mafile ya JFK Yaliyowekwa Hadharani na Trump

    Nyaraka muhimu zinazohusu kifo cha aliyekuwa Rais wa Marekani John F. Kennedy ambazo Rais Trump ameruhusu ziwekwe hadharani zimetaja kwa kina Miji ambayo CIA wana vituo vya kuendeshea operesheni zao duniani. Miongoni mwa miji iliyotajwa kuwa na vituo hivyo kipo Nairobi nchini Kenya. Miji...
  9. Trump na Putin wakubaliana kumaliza vita vya Ukraine na Urusi

    "Tulikubaliana kusitisha mapigano mara moja kwenye sekta zote za Nishati na Miundombinu, kwa uelewa kwamba tutafanya kazi kwa haraka kufanikisha kwa ukamili kusitisha Mapigano, na hatimaye, MWISHO wa vita hivi vya kutisha kati ya Urusi na Ukraine. Vita hivi visingeanza kamwe kama ningekuwa...
  10. Trump amuomba Putin kuongea na Iran asiangamize Israel

    Katika mazungumzo Yao hii leo Rais Trump alimdokeza Rais Putin kuwa ajitahidi Iran isiwe katika Hali ya kuiangamiza Israel. Wajuvi wa mambo wanaeleza kuwa hatua hii tayari inaonesha kuwa marekani inachukua tahadhari zote kabla ya kupambana na Iran ikiwa ni pamoja na kuwasiliana kwanza na Russia.
  11. Trump ni mhamiaji asiyependa wahamiaji.

    Anajisahau kuwa Wamarekani 99.98% ni wahamiaji. Trump anafukuza wahamiaji wenzake. Dhambi hii itamtafuna yeye na Marekani yote kama taifa kama ikiachwa iote mizizi.
  12. Kim Jong Un ampa onyo kali Donald Trump asema msaada wowote wa Marekani utazuiliwa na kuangamizwa vibaya!

    Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, ameionya Marekani kupitia shirika la habari la serikali, KCNA, akisema kuwa “msaada wowote wa kijeshi” ambao Marekani itatoa katika Asia ya Kaskazini “utazuiliwa na kuangamizwa kabisa.” Hii inakuja wakati Japan inapanga kupeleka makombora ya masafa...
  13. Naibu Gavana wa Benki Kuu EU: Donald Trump ni janga baya kuliko Corona

    Naibu wa Gavana wa Benki Kuu ya Umoja wa Ulaya Luis de Guindos amesema kuwa, rais wa Marekani, Donald Trump amesababisha kukosekana utulivu katika ghughuli za kiuchumi na rais huyo ni janga baya zaidi kuliko hata janga la Corona la miaka mitano iliyopita. Shirika la Habari la IRNA limemnukuu...
  14. VOA na US AID nyenzo zilizofanya Marekani ionekane taifa kubwa, Trump azifuta baada ya kutoa matokeo hasi

    Moja ya taifa lililofurahia kwa kuvunjwa kwa sauti ya Marekani (VOA) ni China ambayo imesema redio hiyo kwa lugha zote kubwa duniani ilikuwa ni kiwanda cha hadhithi za uongo. Katika hatua za hivi karibuni alizochukua raisi Trump ni kufukuza kazi wafanyakazi wote wa VOA na kuifanya taasisi hiyo...
  15. Trump na Putin Kujadili Mustakabli wa Kumaliza Vita vya Ukraine

    Donald Trump anatarajiwa kuzungumza na Vladimir Putin siku ya leo huku wawili hao wakitarajiwa kujadili eneo na udhibiti wa mtambo wa nyuklia wa Zaporizhzhia - Baada ya rais wa Urusi wiki iliyopita kusukuma nyuma mpango uliosimamiwa na Marekani wa kusitisha mapigano mara moja nchini Ukraine...
  16. Ujio wa Mapinduzi ya Viwanda vya Giza

    Sekta ya uzalishaji inatarajiwa kuingia katika hatua mpya ya maendeleo ambapo viwanda vitaendeshwa kikamilifu kwa teknolojia bila kuhitaji wafanyakazi wala mwanga. Viwanda hivi vitajulikana kama viwanda giza, kutokana na uwezo wake wa kufanya kazi bila mwanga wa taa, kwa kuwa havihitaji uwepo wa...
  17. Ushajuliza kwa nini watu kama Elon na Donald Trump wanapata chuki kubwa nchini mwano na duniani kote ingawa wanafanya yale ya kuimarisha nchi yao?

    Katika misimamo ya ki-conservative, majemedali hawa wanataka marekani iwe marekani ya viwango vikubwa bila ya kupoteza asili, utamaduni na chapa yake ya kuwa nchi yenye nguvu zaidi duniani. Wamekuwa maadui kwa wafuatao: Mashoga Transgenders Wanaofanya abortion Wahamiaji holela Wavushaji wa...
  18. Trump amuomba Putin awasamehe wapiganaji wa Ukraine

    Hapa ndipo vita vilipofikia. Baada ya askari wa Ukraine walioingia eneo la Kursk mwaka jana kuzingirwa na kuwa karibu na kifo,raisi wa Marekani amewaombea huruma askari hao kutoka kwa raisi wa Urusi Akiandika kwenye mtandao wake wa Truth ,Trump amemuomba Putin awaache askari hao warudi kwao...
  19. X

    China vs U.S Trade War: Walmart kampuni ya Marekani yaanza kuonja joto la jiwe la tariffs za Trump kwa bidhaa za China

    Walmart kampuni ya kimataifa inamilikiwa na Walton family inashikilia rekodi ya kuwa muajiri mkubwa zaidi duniani ikiwa imeajiri watu zaidi ya milioni 2 katika nchi tofauti tofauti, na ina stores zaidi ya 10,000 sehemu mbalimbali duniani. Biashara yao kubwa ni kuuza bidhaa za aina tofauti...
  20. Wapalestina kuhamishiwa a.mashariki-Trump plans!

    according to AP, D.Trump na Israeli wana mpango wa ku clear gaza na kuwahamishia wapalestina somalia, somali land na sudan. gaza kugeuzwa kuwa “riviela of the middle east” …
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…