Kwanza niwapongeze kwa huduma zetu nzuri za usafiri wa treni, hata hivyo kuna hii changamoto naileta kwenu; Kuna baadhi ya vituo vipo nje kabisa ya Mji, mfano; MOROGORO, Pugu nk na hakuna usafiri wa kueleweka zaidi ya bajaji; sasa mtu anakwenda na usafiri wake asubuhi ili jioni akirudi apate...