treni ya mizigo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Treni ya Abiria Dar Hadi Arusha na Treni ya mizigo toka Tanga ndo basi tena

    Hii nchi ni shida Kila nyanja tangu tupate uhuru Hadi Sasa ni ngumu kukuta huduma ya serikali ya uhakika na wananchi wakaifurahia. Magufuli alifufua usafiri wa Treni kwenda kaskazini lakini ndani ya muda mfupi toka afariki Dunia usafiri umekufa kabisa Hadi Leo, hakuna usafiri wa Treni ya Abiria...
  2. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Treni ya Abiria Dar Hadi Arusha na Treni ya mizigo toka Tanga ndo basi tena

    Hii nchi ni shida Kila nyanja tangu tupate uhuru Hadi Sasa ni ngumu kukuta huduma ya serikali ya uhakika na wananchi wakaifurahia. Magufuli alifufua usafiri wa Treni kwenda kaskazini lakini ndani ya muda mfupi toka afariki Dunia usafiri umekufa kabisa Hadi Leo ha, hakuna usafiri wa Treni ya...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzindua Bandari kavu ya Kwala na uanzaji rasmi wa Treni ya mizigo ya SGR

    RAIS DKT. SAMIA KUZINDUA BANDARI KAVU YA KWALA NA UANZAJI RASMI WA TRENI YA MIZIGO YA SGR Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala na kuanza rasmi kwa safari za treni ya mizigo ya reli ya...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Basi la Abiria la Nguruko imegonga Treni ya Mizigo, mabehewa matano yaanguka

    Basi la Abiria la Nguruka T545 D/W imegonga Treni ya Mizigo Y611 na kusababisha mabehewa matano kati ya 30 ya treni hiyo kuanguka na abiria 14 wa basi hilo kupata majeraha madogo Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirika la Reli Tanzania (TRC) imesema ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia...
  5. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Iletwe pia SGR treni ya kubeba magari

    Katika maboresho ya SGR na kuongeza wigo wa huduma, ningeshauri iongezwe treni itakayokuwa inabeba magari madogo. Niliwahi kuona treni ya namna hiyo ikifanya kazi Ulaya. Imagine unasafiri kwenda mkoa fulani mfano kutoka Dar hadi Dodoma na unajua utakuwa huko kwa siku kadhaa na unajua katika...
Back
Top Bottom