toyota

  1. Car4Sale Corolla rumion inauzwa mpya

    Toyota rumion Cc 1490 Year 2007 Price 16milion Call 0686475568
  2. Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani). Mods uzi usiunganishwe.
  3. INAUZWA Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani).
  4. Msaada: Toyota Premio kuishiwa nguvu inapopanda mlima

    Habari wanajamvi, Gari yangu Toyota premio (1.5L) imekuwa na changamoto kadhaa amabazo nashindwa kizipatia majawabu. (i) Gari kukosa nguvu inapopanda mlima, hili tatizo lilianza miezi mitatu iliyopita siku moja nilinusurika ajali wakati nina overtake kwenye mlima nilishangaa gari hainipi ile...
  5. Car4Sale Toyota Crown Royal For Sale (Powerful For Masafa ya Mbali na Karibu)

    • Condition: Used in Tanzania • Second condition: Mint • Registration: D • Document: Full • Status: Duty & Insurance paid • Price: TZS 20 million • Location: Dar (0767157788) . ✓ saloon ✓ white ✓ year 2010 ✓ engine 4GR ✓ petrol ✓ cc 2490 ✓ seat 5 ✓ automatic ✓ gear stick shift ✓ from...
  6. Baada ya kushinda kombe la TOYOTA Yanga ombeni udhamini wa TOYOTA

    Nimerudia kuitazama mara tatu ile mechi kati ya Kaizer Chiefs vs Yanga mashindano ya TOYOTA Cup nimebaini kuwa Kaizer Chiefs haikuwa timu mbovu hata kidogo, ni makosa madogomadogo ya kukosa pumzi na muunganiko kuliko Yanga kulikosababisha Kaizer kuchapwa 4-0. Nabi hana kazi ngumu sana kuifanya...
  7. Toyota cup, Kumbe Yanga inaweza kuvaa logo nyekundu bila kupata mikosi.

    Kule Afrika Kusini Yanga imecheza na Kaizer Chiefs kombe la TOYOTA na kulazimika kuvaa logo ya TOYOTA kifuani mwa jezi yenye rangi nyekundu. Binafsi nilidhani Yanga inakataa logo za wadhamini zenye rangi nyekundu kwa kuhofia kupata mikosi ya kufungwa kumbe bwana hakuna kitu hicho ni hofu tu...
  8. FT: Kaizer Chiefs FC 0- 4 Young African SC | Toyota Cup | Free State Stadium, Bloemfontein | 28.07.2024

    Jumapili hii, wananchi Yanga SC watakuwa dimbani tena katika Kombe la Toyota wakicheza na Kaizer Chiefs ya kocha Nasreddine Nabi. ---- Kikosi cha Yanga kinachoanza 5' Keiza 0 - 0 Yanga 10' Keiza 0 - 0 Yanga 15' Keiza 0 - 0 Yanga 20' Keiza 0 - 0 Yanga 25' Goooooal Dubeee 25' Keiza 0 - 1...
  9. Toyota Prado TX vs TXL: Key Differences

    The Toyota Prado TX and TXL are two popular trim levels of the Land Cruiser Prado SUV. While they share the same robust platform and off-road capabilities, there are distinct differences in terms of features, comfort, and luxury. Key Differences: Interior: TX: Typically features cloth...
  10. Nahitaji Toyota Vellfire au Toyota Alphard new model haraka sana

    Habari zenu Ndugu zangu nina ofa ya mil 15.7 (hela hii pamoja na udalali kama una wewe ni dalali unaeuza) cash nahitaji mwenyewe moja kati ya gari hizo mbili ambazo ni Toyota Vellfire au Toyota Alphard (model mpya) Sio lazima iwe namba E lkn ikiwa D basi iwe ya mwisho mwisho au hata E ya mwanzo...
  11. Kwanini Toyota IST huwa zinawahi sana kuchoka

    mKWA NINI TOYOTA IST HUWA ZINA CHOKA MAPEMA Toyota IST zina injin ambayo ina uvumilivu kwakipindi kifupi 1) INJIN KUA NA MLIO WA TOFAUT Hapa tatizo ni kutumia oil ambayo sio sahihi hivyo injin hizi zitakuvumilia kwa kipind kifupi baada ya hapo Utashangaa gari ni IST ila ina mngurumo wa...
  12. B

    Toyota Cup 2024 Launch: Q&A with Jessica Motaung & Hersi Said | Kaizer Chiefs | Young Africans

    https://m.youtube.com/watch?v=1weIrkCNRgw SuperSport presenter Thabiso Tema chats to Kaizer Chiefs Marketing and Commercial Director Jessica Motaung and Young Africans President Hersi A. Said ahead of the inaugural Toyota Cup between Kaizer Chiefs and Tanzania's Young Africans at the Toyota...
  13. Car4Sale Nauza Toyota Rush - Price 12m

    Karibuni wadau nauza gari aina ya Toyota Rush (SERIOUS BUYER ONLY) Engine - Petrol 1491490 Seats - 5 Colour - Mid Night Silver Metallic Transimition - Manual Mileage - 103,000
  14. Nauza Toyota voltz 8.5m

    .
  15. Tatizo la Power Steering kwenye Toyota Allex

    Wakuu habari! Naomba msaada, gari aina ya Allex imeniwashia taa ya PS, na mara kadhaa imekuwa ikiwasha na kuzima yenyewe baada ya mda. Sasa nahitaji suluhisho la kudumu. 1. Nini sababu haswa? 2. Namna ya kutatua 3. Makisio ya gharama Lakini pia naomba kujua hizi gari kama zinatumia power...
  16. R

    Ushauri kati ya Toyota landcruiser yenye engine ya 1HZ au 1GD-FTV

    Ushauri kati ya Toyota landcruiser yenye engine ya 1HZ au 1GD-FTV Habari wana JF Naombeni ushauri wenu je kati ya Toyota landcruiser yenye engine ya 1. 1HZ-manual cc 4,164 CC au 2. 1GD-FTV automatic 2755 CC ni ipi bora kwa maana ya 1. matumizi ya barabara ambazo sio za lami kwa...
  17. Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

    SUBARU FORESTER Mwaka 2011 Rangi Red Wine Engine 1990cc Mileage 75,000km Bei 27.5m Remote key Winker Mirrors ☎+255626682228
  18. Toyota Brevis na matunzo yake karibuni wajuvi kutoa ushauri

    Habarini za asubuhi wakuu , Samahani naomba kuuliza kwa wale wazoefu wa magari na wengine ni mafundi mtoe ushauri hapa. Toyota brevis ni gari ambayo imesemwa maneno mengi na tunajua uzalishaji wake haupo tena na kila mtu anasema gari ni jini mara inakula mafuta mara spare zake ni ghali kila...
  19. Toyota yaomba radhi kwa kudanganya kuhusu usalama wa baadhi ya Magari yake. Yasitisha utengenezaji Corolla Fielder, Corolla Axio na Yaris Cross

    Mwenyekiti wa Toyota, Akio Toyoda ameomba radhi leo Jumatatu kwa udanganyifu mkubwa katika majaribio ya uidhinishaji wa modeli saba za magari huku kampuni hiyo ikisimamisha utengenezaji wa matatu kati yake. Jaribio kubwa la ulaghai katika kampuni kubwa ya kutengeneza magari ya Japani...
  20. Toyota Hilux: Hi chuma TRA hawataki tuimiliki

    Mi hadi nachoka. Hawa jamaa bwana. Naikuta single cabin CIF $6,000 (mil 16) uko Beforward. Hafu eti ushuru sasa wa TRA mil 28 unalipa. Karibia mara mbili ya bei ya kununua. Gari ya kazi tunabaniana. Sasa ukigusa double cabin unakuta CIF kubwa na ushuru 30+
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…