Mgombea ubunge kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) jimbo la Longido, Esta Mayunga, hakuteuliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, hatua anayoieleza kuwa haikufanyika kwa haki.
Mbali na Mayunga, mwingine ambaye hakuteuliwa ni Johnson Mauma wa Chama cha TLP, ambaye naye anadai sababu...