Simba ni timu tunayojiamini hata mashabiki wake wanajielewa.
Kwa upande wa Yanga hamjiamini mnaiba iba wachezaji wetu .
Mnawaita kisiri kama wachawi halafu mnawawekea madawa yenu ya kichawi nakuwawekea fitina ili wahamie huko.
Kama mnajiamini acheni wachezaji wetu tafuteni wenu na mjiamini...