timu za tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Timu za Tanzania hazitumii Mascot kwenye Match

    Mascot ni mavazi yenye umbo mbalimbali yanayovaliwa hili kuleta uchachu wa shughuli fulani. Mfano wa mascots ni hizo chini Au hii Mimi natamani zile kamati za hamasa na vikundi vya ushangiliaji zingekuwa zinabuni hizi mascot na kwenda nazo viwanjani, hususani kwenye mechi za kimataifa...
  2. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Makonda amteua Manara kuwa Msemaji wa Timu za Taifa

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amemteua Haji Manara kuwa Msemaji wa Timu za Taifa za Tanzania, akifanya kazi chini ya Baraza la Michezo la Taifa (BMT). Waziri Makonda ametangaza uteuzi huo leo Mei 28, 2026, akiwa viwanja vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kuifunga Simba ndiyo kipimo cha ubora kwa timu za Tanzania

    Kwa Tanzania ili timu ijue ubora wake ni lazima icheza na Simba na kuifunga. Ndiyo maana timu nyingi zinapocheza na Simba uahidiwa mamilioni ya fedha tofauti zikicheza na timu nyingine. Timu yoyote ile ikiifunga Simba, furaha ya wachezaji wake, makocha, viongozi na mashabiki huwa kubwa sana na...
  4. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania NI ushindi mkubwa kwa timu za Tanzania kufungwa CAF

    Kwanza wanaongea Sana, midomo mingi, captain WA timu anasema tutapawapiga tano Yani anaongea kama anaharisha, Bora wamefungwa Kodi zetu watanganyika zimepona, maana wangeshinda wangemwagiwa hela nyingi Sana Tuombe na WA kesho wafungwe.
  5. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Timu za Tanzania jezi zao ni uchafu

    Yaani aisee ulaya itazidi kuwa juu mpaka dunia itapoishia yaani huu uchafu waliozindua simba na yanga mmoja kazindua sanda yaani mijezi haieleweki aisee imekaakaa kishamba. Mwingine jana usiku kazindua vitenge yaani mijezi imezubaa haina muonekano aisee. Kweli nilikua sahihi kushabikia FC...
Back
Top Bottom