Video ambayo imechapishwa mtandaoni ikiwaonesha baadhi ya watu wakisafiri kwa kutumia mtumbwi hali ilyozua mkanganyiko na hatari iliyopo.
Katika video hiyo watumiji wengi wa mitandao wameshindwa kutambua kuwa vudeo hiyo imerekodiwa maeneo gani hapa nchini Tanzania au nje ya Tanzania
Video imeripotiwa kuwa ni tukio lililotokea nchini Indonesia baada ya mafuriko makubwa ambapo tembo anaonekana akimuokoa Chui kutoka kwenye mafuriko hayo kitendo kilichovutia watu wengi.
Je, video hii ni halisi au imetengenezwa?
Kwa kutumia nyenzo za kidigitali zinazokuwezesha kuthibitisha uhalisia wa video, bainisha eneo halisi video hii iliporekodiwa huku ukieleza Nyenzo uliyotumia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.